antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Aisee..Wanawake zao ni hatari usijaribu kuoa utajuta
Tatizo lao nini mkuu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..Wanawake zao ni hatari usijaribu kuoa utajuta
Mbele ya pesa wanaweza hata kuua. Hawawazi si ndio maana tunawastaajabu hapa.Na ndio wanafanya vijana wakatae ndoa, niliacha kuwaheshimu pale mmoja wao ( mke wa mtu) aliponiambia nimpe laki moja alafu nichakate mbususu akiwa hana wasi wasi kabisa usoni
So ndugu kama kuna haiba fulani inaonyeshwa sana na jamii au kundi fulani la watu then yaliyowakuta wasiseme lolote?!So you speak from experience Sir [emoji848]
Unajua kuyasemea vibaya hayo makabila inakuwa kama kuyaharibia Image yao, kuna Mabinti zetu watakosa Wame kwa maneno yako ujue.
Manake kama ni ishu ya Changamoto za ndoa, ipo kila Kabila. Muhimu vijana kumuhusisha Mungu wakati wa kutafuta wenza wao wa ndoa na maisha.
Ukichagua Mke kwa kigezo cha Tako, siku hizi kuna matako ya China na Uturuki yamejaa tele. Mungu awasaidie
Tashuhudia vifo vya tai shingoni hadi watafurahi. Mfupa uliomshinda fisi mbwa atauweza?!Baada ya wachaga wenzao kuwakimbia Siku hizi wanailewa kanda ya ziwa kwa Wasukuma na Wahaya. Ndo hawa mnaosikia kwamba wanaolewa kwa ndoa za gharama kubwa. Huko kanda ya ziwa waoaji wanafuata rangi na mabinti wanafuata mapenzi.
Dada kaongelea hela hapo kama haujaelewa sio kudanga. Kuna ambaye akiwekewa hela anaweza kufikiria mara mbili halafu kuna hawa ambao tunawasuta.Hizi tabia mbona hazina ukabila?
Huyo mtoa mada akiambiwa atoe ushahidi wa alichokisema unadhani ataweza?So ndugu kama kuna haiba fulani inaonyeshwa sana na jamii au kundi fulani la watu then yaliyowakuta wasiseme lolote?!
Mfano raia wa Zanzibar huwa tunawasema kwa ubaguzi dhidi ya raia wa bara so ni vibaya?!
Sisi ni watanzania, hiki ni kikao cha familia, miaka hii watu wamevuka mipaka ya ukabila na udini tunaishi kama familia moja. Ndio maana waslamu kwa wakristo wanasutana hapa kila uchao ili kupunguza ile hali ya kuweka Siri mambo ambayo yanatakiwa kuwa bayana.
Same applies kwenye tabia, kinachotokea hapa ni kurekebishana tabia. Watakaposoma watajua kuwa nje ya jamii ya kichagga, kimeru, sijui kabila gani hizo tabia zao ni za hovyo na hakuna anaependezwa naonwajirekebishe.
Hakuna mtu anakuja anzisha uzi hapa ili kuhairibia wengine sababu ya chuki binafsi tu.
Sasa si us*ng* huu. Me nimeoa ili uje nikutazame unatafuta pesa au nimeoa nifurahie ndoa.K
kabisa. ..but hii naona km mke niwahuko ndio changamoto kwa mwanamke akiolewa huko shida yake hutapata muda wamapenzi nae atakua busy muda wote kutafuta hela 24x7x365 labda awe anaumwa au anarudi uchagani kuhesabiwa
Hadi nimedinda maneno yako tu namna yamenisuuza nafsi.Hiyo kaskazini toa Tanga mkuu, wanawake wa Tanga Ni wakarimu sn wao mapenzi ndio kipaumbele wanakupa hata Kama huna hela na unapewa kweli ujue.
Dar kweli Tanga raha jamani.wasafi, wanajua kujiandaa, Kama hujatosheka unaulizwa, mauno Kama yote, na pole unapewa ukimaliza[emoji848][emoji1][emoji1]
Hivi tanga ni Kilimanjaro?!Wasambaa technical unavyoongelea kaskazin lazima na wasambaa uwa include
Wale wanawake ni wapelekeshaji halafu wanaongea kama chirikuKuna mwanamke mmoja wa kinyakyusa alikua anamshurutisha bwana wake aoshe vyombo
Wanyakyusa wanawake ni wakorofi sana
Sio wote hapo unaongelea wanyakyusa, ila wandali, wasafwa, wanyiha hakuna shida wana adabu sana.Ni tatizo sana wanawake wa mbeya usipokua mbabe utajikuta na wewe una zamu ya kuosha vyombo na bado unamfanyakazi wa ndani
Mapenzi njoo pwani mzee. Aisee ukipata mke wa kitanga aliyekaa mjini wanaweza kukufanya usiwe unaenda kazini. Wao muda wote wapo romantic wanapenda kudekezana, kubembelezana. Anawaza mume 24/7.Na hapo bado wana beki tatu alafu wanawake wengi wa mbeya hawako romantic kabisa
Hapo kama siyo kujiolesha sijui !Hicho ni kiebrania au kiarabu? Eti Ngoshi ake?
Umeongea kwa kiburi sana hadi umenikera. Toka hapa. [emoji19][emoji19][emoji19] MxiemMi wakazaskazini and I don't care kwanza hamna matunzo , jingine unetendwa pole zako, jingine ni kweli ila utafanyaje kaoe kwingine sio lazima uje ukaseme huku , wapare wabaya , washirikina , wanaroho mbaya , wauaji, hawana huruma , wachagga the same thing , waarusha ni kabila Hilo langu ila weh wabaya hawana tofauti na hao na wao ndio wabaya hata hayo makabila mawili yanawaogopa , ila sio kama wameru wanatisha sana Kwa uroho, mmbaya , so ndio maisha , wachache kati ya 30% kati ya 70% ni wazuri sana, wanaheshima ila wanyakyusa niwa abaya sana , ila sio wote ila niliowafahamu mie huyu mama kaua mumewe Kisa Mali so maisha ni kuchagua tu mtu sahihi tu , na umshirikishe Mungu aisee ndio anaweza , kukupa wakufanana naye .
Sometimes watu hawarushii mawe mti wenye matunda , wanarushia mawe nyoka mwenye sumu kali. Usifocus zaidi kwenye kurushiwa mawe focus kwenye warusha mawe wanalenga nini huko wanaporusha mawe.Miti yenye matunda
Ndio maana huwa mnatuna tuna juu mnakuwa kama viboko. Jifunze na kwenye jamii nyingine sio unaklemisha tamaduni za jamii uliyozaliwa tu. Wali wenyewe mlikuwa hamjui kupika hadi mlipoanza kuishi Dar na kujifunza kwa watu wa pwani.Wala hatukuwazaa muwaoe ninyi vyasaka. Hata kutunza mke hamuwezi.
Kwenye uzazi unampa supu ya samaki? Dagaa ? Miguu na vichwa vya kuku?
Inahusu!!
Akikutana na sisi ni mwendo wa mguu wa ng'ombe na siagi za kutosha.... bia kwa mbaali mpaka gauni linalowa maziwa.... miezi 6 ndani !
Hapo kama siyo kujiolesha sijui !
Hayo maendeleo yanakusaidia nini kama mwisho wa siku yanakuwahisha kupata mauti yaani unakufa ukitafuta.Kama unataka uwe na maendeleo na akili ya kutafuta pesa oa kaskazini
Kama unataka mahaba shata shata ushindwe kwenda hadi kazini oa mikoa mingine waliowekeza kwenye mapenzi lkn ni kapuku hawana maendeleo