KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Ni yy mkuuu 2016 hapo nipo form 1 ngoma ilibamba sanaHatimae Nikki wa pili kafunguka kwa mara ya kwanza.
Aliyeimba "sweet mangiii" sio wewe kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yy mkuuu 2016 hapo nipo form 1 ngoma ilibamba sanaHatimae Nikki wa pili kafunguka kwa mara ya kwanza.
Aliyeimba "sweet mangiii" sio wewe kweli?
HAKUNA MWANAMKE JEURI KWA MWANAUME ANAEMPENDA...Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Hiyo ni hadi Kikuyu Kenya, wale ni Machame pure wananyoga mchana kweupeKijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
👍💯HAKUNA MWANAMKE JEURI KWA MWANAUME ANAEMPENDA...
Anha. Sawa! Na je mfano kuna mteja anataka kushtakiwa na NMB kutokana na kushindwa kulipa deni, je, anaweza kupelekwa moja kwa moja mahakama ya wilaya badala ya mahakama ya mwanzo?1.Una anzia kanisani/Bakwata/ustawi wa jamii ngazi ya kata kwa ajili ya usuruhishi.
2.Suruhu ikishindikana, unapewa form namba 3 unapeleka mahakamani (ya mwanzo)
3. kama hautaridhika na mwenendo wa kesi/hukumu basi una kwenda mahakama ya wilaya
Kabisaàa ,, hebu amshuhulikie vizuri nje ndani aone kama muda wote hajaitwa majina mazuri mazuriHAKUNA MWANAMKE JEURI KWA MWANAUME ANAEMPENDA...
Wengine ni kama wamerogwa mkuuHAKUNA MWANAMKE JEURI KWA MWANAUME ANAEMPENDA...
[emoji1787]Ilo ni kweli. Kwasababu wana pesa.. huwezi fananisha na mikoa mingine, mwanaume ndiye ana pesa. Mke apeche alolo
Acha songle maza waongezeke tu mkuuuuuuu 😁😁Sasa wataolewa na nani asee,?? Mmewasagia sana kunguni wazee dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Miliona 8 ndoa kubwa? Hii inaonyesha mnaolalamika ni watu wa aina gani.Umeongea ukweli mtupu, kuna jamaangu sana ilimtokea mwaka juzi demu alitoka arusha akaja dar, jamaa akajipakia akaoa kwa matambo sana ndoa kubwa, akachangisha ndugu na jamaa ili afanikishe jambo lake. 8M ikapatikana wakafunga ndoa,
Ebana eee hata miezi6 haikuisha mchaga akaanza yake unaambiwa waliachana mchana kweupe, mchaga alikomba kila kitu. Ile kupanic jamaa akaanza kuuza vitu oyo. Mpaka leo hii unaambiwa mshikaji hana ham na ndoa na alishafulia vibaya mno
😂😂😂😂😂🙌Single kwenyewe changamoto ukilala mwezi mmoja unaanza kuweweseka mara kitanda kipana mara baridi mradi mateso yakupate
Huo ubaridi sisi ndio tunaupenda hivyo hivyo,,kwa kuwa joto tunalo,,, nyie tafuteni wenye joto inawezakana ubaridi mnao nyie!!!NA WALIVYO WA BARIDI SASA KITANDANI....
KWELI MUNGU HAKUPI VYOTE, UKIOA MCHAGA LAZIMA UWE NA MCHEPUKO
Tatizo la wanawake wa kaskazini ni kubwa sana sana ubaguzi na ubinafsi, they don't leave their homes mentality once married. Mimi ntawadinya tu kuoa na upendi noKijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
ahahaha.. bro miaka hii watu wanachanganyikana sana unaweza kukuta mtu mchaga kabila tu ila tabia zake ni only 1% unaweza ku-compare na uchaga.. kazaliwa mbeya, kakulia mbeya, kasomea iringa kazi anafanyia Morogoro hapo kwao baba yake mchaga mama mnyamwezi hizo element anazitolea wapi? Zamani mtu wa kabila fulani alikuwa ana tabia endana na kabila hilo sababu mtu anazaliwa na kukulia mazingira yale yale, baba na mama ni kabila moja hivyo itatokea tu kurithi tabia zile zile.Mtego huo. Fuatilia familia yake watazame kama kuna elements za kuishi vizuri na Wanaume maybe utakuwa umescore bingo. Otherwise ukiona elements za tofauti na upendo kwa familia yake then taratibu anza kujichomoa umalizane nae. Simba huwa hali majani sababu hawezi kuacha asili yake.
We ndo unawajua Sasa,halafu hawahawi hovyo hovyo,Huwa wanajua kujitunza,ni mara chache sana kuona mchagga anaolewa under 20yrs,so ni watu poa sana,ila kama huwaelewi utapata tabu sanaa.Lakini wanaoongoza kwa kuolewa ni wao. Ni wanawake wa maana sana
Heko kwa Chagga na Maasai Queens. Kazeni hapo hapo.
The best comment of the dayWACHAGA hawaepukiki kwenye kuwaoa au kuolewa nao n hv Kama kungekuwa na sensa ya makabila Basi WACHAGA wangeongoza angalia mazingira unayoishi, fanyia kazi au unapopenda kupotezea muda je WACHAGA wapo kwa asilimia ngapi? Na je status yamaisha yao ipoje? Lazima ukute anajiweza na ukimuangalia baada ya miez au miaka kadhaa unamuona ATAKUWA mbali zaidi.
Kwakua umaskini n tatzo kwenye familia zetu nyingi na kupelekea kila anaetaka kuoa au kuolewa lazima achungulie kule anapotaka kwenda kunanin ndipo hapo wengi hujikuta anakutana na mchaga.
WACHAGA Kiukweli ndio kabila lenye spirit ya kumcha MUNGU, kwenda shule na kupambana kwelikweli ndio Mana kila ofisi kila taasisi kila Biashara na kila eneo lolote like lenye pesa WACHAGA ndio umewakuta wakwanza.
Vijana wajifunze kujua Kuna malezi ya familia hvyo mtu kuwa na roho nzuri au mbaya haitokan na wewe kabila gan Bali n maadali yahuko ulipolelewa.
WACHAGA hawaepukiki Kama unataka kuendelea muhimu omba utue kwa mwelewa.