Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Ubwabwaja pumba tupu
 
Hatua ya pili tutakwenda mahakamani. Nililipeleka bakwata hili lkn wao wakanijibu mamlaka yao wanaishia mlangoni wa msikiti wa kutoka nje. Kwa hiyo hawana msaada.
Peleka huko mahakani Tena wahi haraka katiba inatoa uhuru wa kuabudu wakienda msikitini hawaendi na hizo kaptura huenda na hijabu za msikitini nenda tu unamtishia nyau nani

Bakwata Kuna wasomi wanajielewa tofauti na Answar Sunna Wavaa vipedo kama Taleban wajinga wajinga
 
Wakati nasoma course za Mifugo. Tulikua na waisilamu ambao walikua wanaingia kwenye mabanda ya nguruwe+ tunashika nao nguruwe bila kelele.

Mwishowe nikaelewa ni perceptions tu zinatusumbua.

By the way. Unaweza kataa mtoto wako asishiriki hayo mafunzo
 
Sawa tumekuelewa. Haya, changia hoja sasa.
 
Utawala bora huwa unaanza na uchaguzi, muulize Maalim Seif chaguzi za Zanzibar huwa zinakuaje na zaidi ya 90% ni watu wa imani moja.
 
Ulitaka wavae hijab.
 
Mmsheka dini hela wakashika wahuni
Bila hela hutoboi, hakuna namna acha tuoone uumbaji na chuki zenu wakati wote tunakunya vinavyonuka
 
Katiba mambo ya dini ni mambo binafsi Sio ya Serikali Sio kazi ya Serikali kusimamia watu wavae nguo za kidini Hilo lieweke Vizuri Kwa Kila kiongozi wa Serikali taasisi ya Serikali , mahakama au bunge sehemu yenye uniform

Uniform maana yake wote mnakuwa uniform Kila kitu
 
Hata bangi ni ibada kwa marasta, hembu watetee na wao wapewe haki yao ya kuvuta jani.
 
Kwa hiyo unamaanisha jeshi letu liendeshwe kama bar. Na unamaanisha watoto wa kike wanaokwenda jeshini wafanye kama wanawake wa bar kuwa ni jambo la kawaida jeshini. Nawe unaridhia binti yako akafanyie mambo ya bar.
Wanawake wa bar wanafanyaje?
Mambo ya bar ni yapi?
Inaonekana ungepata fursa ungeweza hata kulipua bar wewe jinsi ulivyo na chuki nazo.
 
Tufate ushauri wa mama. Ni muda wa kujadili 4R.

Tufanye Maridhiano kama nchi. Nadhani wewe ni under 20.

Hatutoelewa.

Katiba na haki ya uhuru wa kuabudu ndio mada kuu.
Na mashoga wapewe haki zao pia katika hiyo katiba mpya.
 
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na misimamo ya dini hadi kero kuna siku akaniambia ni vema nisilishwe kama anampango wa kwenda peponi nikamtwanga swali:
Je wewe ni muumini wa dini hiyo ili uende peponi au ni vile baba yako alikuwa wa dini hiyo nawe ukajikuta ni muumini?
Akajibu ukweli ni kwamba hii dini nimeikuta kwa baba lakini ndo dini ya kweli, nitamuuliza ni nani alikwambia kama hiyo dini ni ya kweli ni huyo huyo babako au mtu mwingine.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…