Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Katiba haiongelei uniform

Hilo liingie kwenye kichwa chako

Uniform ni maamuzi ya sehemu husika

Katiba imetoa tu uhuru wa kuabudu huko Ruksa ukiabudu vaa mahijabu hata pea mia au vaa suti nk

Swala la uniform Sio swala la kikatiba

Hakuna mgogoro wa kikatiba hapo .
Uniform huamriwa Kwa mazingira ya kazi nk

Hayaamuliwi Kwa misingi ya kidini.Ndio maana hata askari akienda nyumba za Ibada haiendi na uniform huenda na nguo ya ibada ya dini yake kanzu ,baraghashia na hijabu nk Ruksa sababu aenda kuabudu

Watengeneza katiba waliliona Hilo miaka hiyo Kabla wewe kuzaliwa kuwa kuwe na uhuru wa kuabudu Sio uniform
Ubwabwaja pumba tupu
 
Hatua ya pili tutakwenda mahakamani. Nililipeleka bakwata hili lkn wao wakanijibu mamlaka yao wanaishia mlangoni wa msikiti wa kutoka nje. Kwa hiyo hawana msaada.
Peleka huko mahakani Tena wahi haraka katiba inatoa uhuru wa kuabudu wakienda msikitini hawaendi na hizo kaptura huenda na hijabu za msikitini nenda tu unamtishia nyau nani

Bakwata Kuna wasomi wanajielewa tofauti na Answar Sunna Wavaa vipedo kama Taleban wajinga wajinga
 
Uwongo Tena wa Hali ya juu ndivyo mnavyodanganyana misikitini wajinga nyie

Kawaulize wanavyuo mbona kibao tu hawajapitia JKT na wanasoma

JKT Haina uwezo kwanza wa kuchukua wanafunzi wote wanaomaliza form six na hakuna chuo kinachodahili wanafunzi kuwa ili kuimgia chuo kikuu lazima uwe umepitia JKT

Acheni kudanganyana huko misikitini wajinga nyie

Weka website hata ya chuo kimoja ambacho joining instructions zao zinasema uwe umepitia JKT

Waislamu mna tabia mbaya mnataka kumharibia Raisi Muislamu mwenzenu Mama Samia Kwa kitu ambacho hakipo .Hivi mkoje ninyi .Yaani unaongopa mchana kweupe Tena ukiwa kibla msikitini
Sawa tumekuelewa. Haya, changia hoja sasa.
 
si lazima ni kweli na hiyo sio mada yetu. Mada haijasema ni lazima kwa mabinti wa kiislam kwenda jkt. Mada ni jkt wafate utawala bora kwa kutekeleza sheria na haki ya uhuru wa kuabudu iliyoainishwa ktk katiba ya nchi. Kwani kuvaa mavazi ya stara ni ibada.

Tatizo watz tuko nyuma na somo la uraia. Kujua haki zetu
Utawala bora huwa unaanza na uchaguzi, muulize Maalim Seif chaguzi za Zanzibar huwa zinakuaje na zaidi ya 90% ni watu wa imani moja.
 
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume, nazungumzia vibukta kwa lazima.

Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.

Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.

Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.

Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.

Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?

Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao badala ya kuzilinda.

Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.

Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.

Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.

Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.

Kwani JKT ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.

Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.

Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.

Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?

Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusiwa kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo, je, hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?

Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?

Kunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.

Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu. Kila kundi linalounda watanzania. Kwanini tulazimushwe kufata imani na values za kipagani.

Kwani Ujamaa ni imani.

imani ya Ujamaa ni upagani.

Kama dini dini ni imani
Na kama Ujamaa ni imani
Then Ujamaa ni dini.

Hivyo kusema serikali haina dini ni uongo uliotengenezwa, disinformation and unconstitutuion.

Dini ni falsafa na Ujamaa ni falsafa.

Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.

Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka

GUIDE ON RELIGION AND BELIEF IN THE ARMED FORCES.

Unaweza kugoogle hii title na tuelimike

Ulitaka wavae hijab.
 
Mmsheka dini hela wakashika wahuni
Bila hela hutoboi, hakuna namna acha tuoone uumbaji na chuki zenu wakati wote tunakunya vinavyonuka
 
Katiba mambo ya dini ni mambo binafsi Sio ya Serikali Sio kazi ya Serikali kusimamia watu wavae nguo za kidini Hilo lieweke Vizuri Kwa Kila kiongozi wa Serikali taasisi ya Serikali , mahakama au bunge sehemu yenye uniform

Uniform maana yake wote mnakuwa uniform Kila kitu
 
Ni kifungu cha 19 cha katiba. Kifungu cha pili kinachoitoa uhuru wa kuabudu. Na ibara ya 29 - 30 inayozuia mtu yyt kuzuia wengine kutekeleza haki zilizoanishwa na katiba.

Ufafanuzi.

Kuabudu ni nini.

Jamii moja inayounda watanzania wanaamini kuabudu ni kwenda ktk majumba ya ibada au kumsifia Mungu. Ktk uislam kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu. Kwa mfano kuvaa mavazi ya stara tasiyoonyeshesha mapaja, nywele za msichana wa kiislam ni ibada, ni kuabudu. Na ktk miaka ya 80 kama ulikuwepo jamii inayoamini kuamudu ni kwenda kanisani au msikitini walipanga hivi hivi wazo la watoto wa kike wa kiislam kuvaa uniform zenye sifa za kuitwa hijab. Lkn kisheria ikaoneshana yafaa wasichana kuvaa hijab.

Ndio tunachojaribu kutumia kifungu vile vile kwa wanafunzi wa mafunzo ya kijeshi na uzalendo wa kiislam, sinhasinga, wayahudu wavishwe uniform zinazikidhi sifa za kuwa ni uniform ya kiibada (kuabudu).

19. Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo

(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi; na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.

Masharti ya Jumla (Ib 29-30)

29. Haki na wajibu muhimu

(5) Ili watu wote waweze kufaidi haki na uhuru vilivyotajwa na Katiba hii kila mtu ana wajibu wa kutenda na kuendesha shughuli zake kwa namna ambayo haitaingilia haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
30. Mipaka ya haki na Uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu
(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
Hata bangi ni ibada kwa marasta, hembu watetee na wao wapewe haki yao ya kuvuta jani.
 
Kwa hiyo unamaanisha jeshi letu liendeshwe kama bar. Na unamaanisha watoto wa kike wanaokwenda jeshini wafanye kama wanawake wa bar kuwa ni jambo la kawaida jeshini. Nawe unaridhia binti yako akafanyie mambo ya bar.
Wanawake wa bar wanafanyaje?
Mambo ya bar ni yapi?
Inaonekana ungepata fursa ungeweza hata kulipua bar wewe jinsi ulivyo na chuki nazo.
 
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na misimamo ya dini hadi kero kuna siku akaniambia ni vema nisilishwe kama anampango wa kwenda peponi nikamtwanga swali:
Je wewe ni muumini wa dini hiyo ili uende peponi au ni vile baba yako alikuwa wa dini hiyo nawe ukajikuta ni muumini?
Akajibu ukweli ni kwamba hii dini nimeikuta kwa baba lakini ndo dini ya kweli, nitamuuliza ni nani alikwambia kama hiyo dini ni ya kweli ni huyo huyo babako au mtu mwingine.........
 
Back
Top Bottom