Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na misimamo ya dini hadi kero kuna siku akaniambia ni vema nisilishwe kama anampango wa kwenda peponi nikamtwanga swali:
Je wewe ni muumini wa dini hiyo ili uende peponi au ni vile baba yako alikuwa wa dini hiyo nawe ukajikuta ni muumini?
Akajibu ukweli ni kwamba hii dini nimeikuta kwa baba lakini ndo dini ya kweli, nitamuuliza ni nani alikwambia kama hiyo dini ni ya kweli ni huyo huyo babako au mtu mwingine.........
 
Hakuna lolote hapa, nilichoona mabinti zenu wakikaribia kuingia huko ndio mnaanza kuingiwa na fikra za ajabu.
 
Islamists, fundamentalist, radical islams,
Hii dini hiii, ni, shida Sana,
Hawa walimsumbua Sana Mkapa, 1995 to 2005!,
Kwa wasiojua, ukikutana na watoto wa shule za secondary za serikali, utaona kuna wasichana wamevaa sketi ndefu, hijabu,na blauzi za mikono mirefu,wengine sketi za kawaida mwisho magotini,
Kuwa hv, ilikuwa Vita balaa, miaka hiyo mashekh walikuja juu, wakitaka watoto wa ki Islam waruhusiwe kuvaa mavazi ya dini shuleni,wakataka mpaka hata polisi, wanajeshi wanawake wavae hijab! JWTZ, wakasema hapa mmevuka mipaka ikashindikana!

Hawa akina kahtaan ni shidaa. Wenyewe badala ya kutoa elimu (education) ya dini, wanahimiza itikadi (ideology). Matokeo yake hawatumii uwezo wao wa kufikiri vizuri.
 
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na misimamo ya dini hadi kero kuna siku akaniambia ni vema nisilishwe kama anampango wa kwenda peponi nikamtwanga swali:
Je wewe ni muumini wa dini hiyo ili uende peponi au ni vile baba yako alikuwa wa dini hiyo nawe ukajikuta ni muumini?
Akajibu ukweli ni kwamba hii dini nimeikuta kwa baba lakini ndo dini ya kweli, nitamuuliza ni nani alikwambia kama hiyo dini ni ya kweli ni huyo huyo babako au mtu mwingine.........

Wenyewe wanafikiri hiyo ni dini, kumbe ni utamaduni na desturi za kiarabu. Ndiyo maana kuanzia majina, mavazi, lugha, vyakula vyote ni tamaduni za waarabu. Lakini waislam ukiwaambia hili wanaona unakufuru.

😂
 
Askari dini na yeye tofauti kaulize Somalia na sudani kwenye uislami mtupu wanatwangana Hadi mwezi wa Ramadan wako kazini hakuna Cha Leo idd Wala Nini

Raisi mfano akiwa mapumziko walinzi hawawi mapumziko iwe msabato mlinzi au Mkristo au Muislamu

Kama waislamu hutaki mwanao aende jeshi sio kesi mwambie asiende Jeshini

Hawa wavaa kobazi wa tabata matumbi hawajui hata wanacho abudu ni Mungu au tamaduni za kiarabu. Hata kule Iran 🇮🇷 kuna mambo wanaanza kuyatupa huko. Mfano rais wao aliyekufa kwenye ndege iliyoanguka, amezikwa kwenye jeneza. Sasa sijui hawa waislam wa buza wanasemaje kwenye hili.
 
Mleta mada hajielewi uislamu unakataza Riba Bahkresa anakopa Hadi basi mikopo yenye Riba na waislamu kutwa wanapanga foleni kuomba msàada kwake wao hawataki kukopa Kwa riba

Kamari hairuhusiwi kwenye uislamu lakini Sportpesa za Mo Akipata Pesa kupitia sport Pesa wanafurika kuomba michango ya ujenzi madrasa na misikiti na kuomba kufuturishwa Ramadhani na kumuombea Dua ndeefuuuuuuuu ya heri

Hawajielewi hawa, eti sisi ni wengi kuliko sijui wengine. Lkn ukiangalia wanachoweza kufanya ni kuongeza umasikini nchini. Maana wengi wao hawatumii family planning, hivyo huzaa idadi kubwa ya watoto wasio kuwa na uwezo wa kuwatunza. Matokeo yake tunakuwa na masikini wengi. Hilo linaonekana kwenye mikoa ambayo wame dominate wenyewe.
CC: kahtaan
 
Najua hiki ndicho chanzo cha tatizo.

Kwamba neno ibada lina maana mbili tofauti kati ya waislam ma wakristo.

Wakristo wanatafsiri kufanya ibada ni kufanya matendo maalum kama kwenda kanisani, kumsifu na mfano wa hayo.

Katika uislam kila kitendo ukifanya kwa mujibu wa uislam ni ibada. Kuvaa nguo za stara kwa wasichana ni ibada ni kuabudu. Sasa pale mtumishi wa serikali wanaotafsiri neno ibada kwa mujibu wa imani yake. Tafsiri hiyo si msimamo wa serikali isiyo na dini bali ni tafsiri ya imani yake. Ktk serikali isiyonadini tafsiri sahihi ya kuswali wenye imani na dini kwa mujibu wa katiba si kuwadhibiti kwa kutafsiri dhana sawa na imani ya dini yake binafsi

Ungekuwa uislam uko kama unavyojaribu kuupaka mafuta hapa, basi mambo yangekuwa tofauti sana huko Sudan 🇸🇩,, Syria 🇸🇾, Iraq 🇮🇶 na nchi nyingine nyingi za kiislam zenye machafuko.
 
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume, nazungumzia vibukta kwa lazima.

Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.

Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.

Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.

Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.

Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?

Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao badala ya kuzilinda.

Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.

Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.

Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.

Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.

Kwani JKT ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.

Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.

Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.

Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?

Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusiwa kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo, je, hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?

Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?

Kunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.

Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu. Kila kundi linalounda watanzania. Kwanini tulazimushwe kufata imani na values za kipagani.

Kwani Ujamaa ni imani.

imani ya Ujamaa ni upagani.

Kama dini dini ni imani
Na kama Ujamaa ni imani
Then Ujamaa ni dini.

Hivyo kusema serikali haina dini ni uongo uliotengenezwa, disinformation and unconstitutuion.

Dini ni falsafa na Ujamaa ni falsafa.

Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.

Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka

GUIDE ON RELIGION AND BELIEF IN THE ARMED FORCES.

Unaweza kugoogle hii title na tuelimike

Kifungu Gani katika katiba kinakataza watoto wa kike wenye kuaminika dini ya kiislamu wakiwa jkt katika mwelendezo wa kulifanya taifa la kizarendo wasiruhusiwe kuvaa bukta?
 
Kwa hiyo huyo mwanajeshi wa kike hata akienda vitani avae hijabu ili uislamu uzidi kudumu au sio mzee baba...
 
Hawajielewi hawa, eti sisi ni wengi kuliko sijui wengine. Lkn ukiangalia wanachoweza kufanya ni kuongeza umasikini nchini. Maana wengi wao hawatumii family planning, hivyo huzaa idadi kubwa ya watoto wasio kuwa na uwezo wa kuwatunza. Matokeo yake tunakuwa na masikini wengi. Hilo linaonekana kwenye mikoa ambayo wame dominate wenyewe.
CC: kahtaan
Kwa maana hiyo sisi ni wengi kuzidi nyinyi mnaomwaga nje
Sasa huu upupu wa wagalatia ndio mmejazano bongo mnautoa wapi
Mbuzi nyinyi mnaletwa mijini na Necta, mkilowea mnasahau umasikini wenu wa maporini, mnaanza kulinganisha Masaki na Tandale
kwanini usilinganishe Mbagala na huko ulikotokea Ibadakuli au Mwakaleli
 
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume, nazungumzia vibukta kwa lazima.

Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.

Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.

Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.

Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.

Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?

Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao badala ya kuzilinda.

Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.

Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.

Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.

Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.

Kwani JKT ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.

Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.

Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.

Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?

Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusiwa kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo, je, hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?

Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?

Kunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.

Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu. Kila kundi linalounda watanzania. Kwanini tulazimushwe kufata imani na values za kipagani.

Kwani Ujamaa ni imani.

imani ya Ujamaa ni upagani.

Kama dini dini ni imani
Na kama Ujamaa ni imani
Then Ujamaa ni dini.

Hivyo kusema serikali haina dini ni uongo uliotengenezwa, disinformation and unconstitutuion.

Dini ni falsafa na Ujamaa ni falsafa.

Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.

Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka

GUIDE ON RELIGION AND BELIEF IN THE ARMED FORCES.

Unaweza kugoogle hii title na tuelimike

Mtaani kwangu wapo mabinti wengi wa kiisilamu wamevaa suruali na bukta, pia kwenye mazoezi wanavaa bukta.
Tatizo lako ni kujifanya unaielewa sana dini kwa kutuwekea picha za waarabu wakati hizo hijabu za wanafunzi zimeanza hivi karibuni na si wote wansovaa kwa hiyari zao.
Jeshini hakuna kuvaa hijabu wala madela.
 
Vizuri. Sasa leta link za wanajeshi wanawake wasio waislam kwenye nchi za kiislam tuone haki zao zinavyozingatiwa as well sijui kama wanaruhusiwa kujiunga at all. Mfano, Saudi Arabia, Iran, Egypt nk.
 
Tafuteni sayari yenu ikiwezekana mkaishi huko na huyo Allah wenu mkazitii vizuri sheria zake za ajabuajabu.Mnatusumbua sana huku duniani.
 
Mkuu kwenda JKT sasa hivi ni lazima. Huwezi kwenda Chuo Kikuu ikiwa hukupita JKT. Serikali hii imerogwa. Wanalazimisha kuharibu future za watoto wa wakulima kwa sababu watoto wao hawaendi JKT.

Huwezi kumkuta mtoto wa MamaSamia2025 au Dkt. Gwajima D akienda kwenye mateso ya JKT. Nchi hii ina mambo ya ovyo sana. Wanalazimisha mabinti wa watu waende kuharibiwa JKT ili iweje? Hawa watu wana roho mbaya zaidi ya nyoka. Ni zaidi ya wachawi.

Nyie watu huwa wasumbufu sana..mnataka na wamang'ati na Wamasai nao watake binti zao waende na yale mashuka yao n.k??
Kwa hiyo wewe ukiona hizi bukta wanazovaa hao mabinti wadogo akili yako inavurugwa kabisa.....kichwa cha chini kinaamka??
Kwani tz ni nchi ya kikristo. Au kama saudia hawataki haki hiyo na tz isitoe pia
 
Attachments

  • 1717002628087.gif
    1717002628087.gif
    42 bytes · Views: 3
Back
Top Bottom