Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Hizo kaptula ni za heshima sana kwani zina mikanda kwenye mapaja. Hivi wanawake waislamu wanaocheza mpira wa miguu na netball wanavaa hijabu!!!???
hivi ni uwezo wa kufikiri au kutokuwa na elimu uraia.

Serikali haiwezi kumlazimisha raia suala la kiimani.

Hata mashuleni si wasichana wote waislam huvaa hijab.

Hata hivyo si haki kwa Serikali kuwa ni chanzo kwa kuweka sheria za kibaguzi dhidi ya imani mojawapo. Serikali inapaswa kufata katiba. Kusimamia haki za wenye imani. Serikali inapaswa kuweka utaratibu wale wanaotaka kupractice imani zao makambini, na wala inawadhibiti na kuwalazimisha kufata imani ya serikali. Kwa maana ya imani ya upagani.

Kuwavisha vibukta wasichana waislam jku serikali imebagua, inawalazimisha kutii imani ya kipagani. Its unconstitutional.
 
Na taasisi Zote za Serikali likiwemo Jeshi hazina dini haiwezekani ukabadilisha taasisi ya Serikali iwe ya kidini au isimamie mambo ya kidini ambayo katiba inatamka kuwa mambo ya dini ni mambo ya kibinafsi
Dini ni nini

Dini ni imani.

Serikali ina imani yake.

Imani ya kipagani (ujamaa)

Ujamaa ni imani

Na dini ni imani

Kimantiki ujamaa ni dini.

Kama wapagani wasivyopenda kufata imani kiislam

Na waislam hatuko yatari kufata imani ya kipagani.

Ni kufuru kwetu.

Kama ccm inataka waislam wote tufate na kutii upagani hatutokuwa tayari kuwapa kura zetu.
 
Hapo ndipo ninapoisikitikia Afrika. Kuzoa zoa desturi za wengine kwa madai kwamba ni imani. Matokeo yake tunakosa muelekeo na kuwepo kuwepo tu katika sayari hii dunia.
Ukisoma somo la falsafa. Utagundua hakuna mtu anaweza kuishi bila imani. Wewe una imani, serikali pia lazima uwe na imani.

Kwa hiyo imani haikwepeki.

kwa maana waafrika wote wana imani.

Kilichopo ni hiki. Ktk jamii na zama tulizonazo za kistaarabu kama serikali inapaswa kuongozwa na sheria ambazo zinaakisi universal law.

Kwa kulitambua hili mataifa ya kistaarabu yenye mchanganyiko wa watu wenye mila, imani na tamaduni mbali mbali kutengeza utaratibu wa kuwaacomodate jamii zote. Kwa mfano wanafunzi kuvaa hijab tz. Ni sheria inayowahusu waislam pekee.

Kule znz kuna wasichana hawavishwi vibukta.

Kwa kumalizia serikali yetu inaongozwa na imani ya ujamaa.

Ujamaa ni imani.

Ujamaa ni unatokana na ukomonist, ni imani isiyoamini uwepo wa Mungu (upagani)

Sasa ninyi ndugu zetu mnataka waislam kuuwa wapagani?

Ni muhali.. hata hivyo naamini serikali haijakusudia kufanya hivyo. Bali inafata mazoea au hawatokujua kuwa wanatenda kosa.

Kwa hiyo ni suala la muda tu. Serikali sikivu hii ikiongozwa na 4R. R moja wapo ni reconciliation (upatanisho)
 
Mpuuzi wewe mwenyewe. Wewe hata ungekuwa mkristo unaweza kumruhusu binti yake aende kufanyiwa vitendo viovu na maafande wavuta bangi wa JKT wamuambukize UKIMWI?

Usitetee ujinga mkuu. Subiri kwanza uoe na upate mtoto wa kike aende huko kwenye makambi ya ngono akaambukixwe maradhi arudi nyumbani uhangaike naye kwenye matibabu. Uchungu wa mwana aujua mzazi. Usicheze na maisha ya watoto wa watu.
Bana mkuu mtoto wako ni kukosa msimamo na kujipendekeza mbona dada angu yupo uko na hana tatizo,
Kuvuliwa nguo ni kupenda
 
Somalia Waislamu watupu wanapigana wenyewe Kwa wenyewe

Sudan Waislamu watupu wanapigana wenyewe Kwa wenyewe
Uko nje ya mada.

Tz si nchi ya kiislam na haitokuwa ya kiislam.

Tz si nchi ta kikristo na wala haitokuwa ya kikristo.

Tz ni nchi ya kipagani na itaondoka ktk upagani siku ccm ikitoka madarakani.

Ni imani yangu watz wengi wangepenga tz iwe ni taifa la Mungu. Na huzu zilikuwa ni ndoto za Magufuli. Nakumbuka kila mara na kauli yake tuntangulize mungu
 
Ni kifungu cha 19 cha katiba. Kifungu cha pili kinachoitoa uhuru wa kuabudu. Na ibara ya 29 - 30 inayozuia mtu yyt kuzuia wengine kutekeleza haki zilizoanishwa na katiba.

Ufafanuzi.

Kuabudu ni nini.

Jamii moja inayounda watanzania wanaamini kuabudu ni kwenda ktk majumba ya ibada au kumsifia Mungu. Ktk uislam kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu. Kwa mfano kuvaa mavazi ya stara tasiyoonyeshesha mapaja, nywele za msichana wa kiislam ni ibada, ni kuabudu. Na ktk miaka ya 80 kama ulikuwepo jamii inayoamini kuamudu ni kwenda kanisani au msikitini walipanga hivi hivi wazo la watoto wa kike wa kiislam kuvaa uniform zenye sifa za kuitwa hijab. Lkn kisheria ikaoneshana yafaa wasichana kuvaa hijab.

Ndio tunachojaribu kutumia kifungu vile vile kwa wanafunzi wa mafunzo ya kijeshi na uzalendo wa kiislam, sinhasinga, wayahudu wavishwe uniform zinazikidhi sifa za kuwa ni uniform ya kiibada (kuabudu).

19. Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo


(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi; na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.


Masharti ya Jumla (Ib 29-30)


29. Haki na wajibu muhimu


(5) Ili watu wote waweze kufaidi haki na uhuru vilivyotajwa na Katiba hii kila mtu ana wajibu wa kutenda na kuendesha shughuli zake kwa namna ambayo haitaingilia haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
30. Mipaka ya haki na Uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu
(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
Kwani mtoa mada anazungumzia uhuru wa kuabdu au kuvaa kaputula?
 
Dini ni nini

Dini ni imani.

Serikali ina imani yake.

Imani ya kipagani (ujamaa)

Ujamaa ni imani

Na dini ni imani

Kimantiki ujamaa ni dini.

Kama wapagani wasivyopenda kufata imani kiislam

Na waislam hatuko yatari kufata imani ya kipagani.

Ni kufuru kwetu.

Kama ccm inataka waislam wote tufate na kutii upagani hatutokuwa tayari kuwapa kura zetu.
Wewe na Mohamed Said ni kama mmefukuliwa kutoka kwenye chungu kimoja, tulishamfundisha huyo mwenzako hapa kwamba "paganism" sio sawa na "atheism" au "secularism". Upagani ni jina ambalo wazungu na waarabu waliowaita babu zako ambao walikuwa na imani tofauti na zao kwao walizozileta.
Serikali za kikomunisti ni serikali zisizo na mafungamano ya kidini au zisizo na dini, sio wapagani kama babu zako waliokuwa na imani zao tofauti na zilizoletwa na majahazi.
 
Uko nje ya mada.

Tz si nchi ya kiislam na haitokuwa ya kiislam.

Tz si nchi ta kikristo na wala haitokuwa ya kikristo.

Tz ni nchi ya kipagani na itaondoka ktk upagani siku ccm ikitoka madarakani.

Ni imani yangu watz wengi wangepenga tz iwe ni taifa la Mungu. Na huzu zilikuwa ni ndoto za Magufuli. Nakumbuka kila mara na kauli yake tuntangulize mungu
Watanzania wengi ni wajinga kama wewe walioathiriwa na dini kiasi cha kushindwa kujua uzuri wa nchi secular kwa hiyo sio ajabu kweli wengi wao wakawa na mawazo ya hovyo kama haya ya kwako.
 
Watanzania wengi ni wajinga kama wewe walioathiriwa na dini kiasi cha kushindwa kujua uzuri wa nchi secular kwa hiyo sio ajabu kweli wengi wao wakawa na mawazo ya hovyo kama haya ya kwako.
Watz wengi ni wafuasi wa Udaivasi. Cultural diversity. Ninaamini our state is Diversity State. Not a monoculture kwamba watz wote wana imani moja kama wabuda Kule burma au China. Kama waasisi walivyotaka iwe.

Je wewe kuamini ktk divesity?
 
Labda ungependekeza unataka wavaeje.Ila hii dini mbona mnapenda sana kurise issues zisizo na msingi?
 
Wewe na Mohamed Said ni kama mmefukuliwa kutoka kwenye chungu kimoja, tulishamfundisha huyo mwenzako hapa kwamba "paganism" sio sawa na "atheism" au "secularism". Upagani ni jina ambalo wazungu na waarabu waliowaita babu zako ambao walikuwa na imani tofauti na zao kwao walizozileta.
Serikali za kikomunisti ni serikali zisizo na mafungamano ya kidini au zisizo na dini, sio wapagani kama babu zako waliokuwa na imani zao tofauti na zilizoletwa na majahazi.
Isijizungushe ktk kichaka hiki.

Hebu tueleze upagani kwa kimombo unaitwaje. Tuanzie hapo.

Kinyunge mwenyewe alijiita ni mpagani Atheism.

Tz hatuwezi kuongozwa na athari za umarxi hadi zama hizi.

Kuwavisha viboxer watoto wa kike ni athari za umarxi upagani Ujamaa. Ccm inakufurisha taifa. Na watajibu hili mbele ya Mungu. Na mimi nitakuwa shahidi sawa na imani yangu
 
Kwani mtoa mada anazungumzia uhuru wa kuabdu au kuvaa kaputula?

Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu.

Unlikely na imani yenu. Na nadhani hapo ndipo tusipoelewana. Kwani kuabudu si kuswali, kusali na kusifu.

Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako
 
Back
Top Bottom