Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

HII mijitu mijinga Kweli,eti ukijilipua sokoni ukaua "makafiri"mnyazi Mungu atakuzawadia Bikra 73 akhera 😄😄😄

Bro, yaani mii binafsi hakuna mtu ninayemlaani duniani kama mudi. Sijawahi kuwa na hasira na Adam na Hawa kama nilivyo kwa mudi. Mud ni janga la dunia, ona sasa mtu kama huyu kahtaan amegeuzwa fikra na kuwa zombi la kutajataja maneno ya kiarabu bila kujua hata maana yake, eti ndiyo ataenda mbinguni.
 
Unapotezea watu muda tuu hapa.
Kwanza unajua maana ya kuabudu? Ninyi ndiyo mzigo kwa dunia maana mnaabudu desturi za waarabu. Mnakaririsha watu kurudiarudia maneno ambayo hata wengi wenu hamyajui maana yake.
Mnamuabudu muarabu na kumfanya mungu wenu.

Kwa taarifa yako kuvaa, buibui la mpaka machoni toka kisiginoni, kuvaa magauni yale meupe ambayo mnavaa ninyi wanaume, pia vibakuli vile vya kichwani havitamuokoa mtu. Nyie endeleeni kufanya zina na shiriki maana ndiko mlikobobea halafu ndiyo mtaelewa maana ya "Mungu hazihakiwi".
Unakashifu waislamu wanavyo vaa.
Sasa tazama hawa hapa chini. Jr na hawa ni waislamu au waarabu?
Halafu mtazame na huyo mnaemuita Yesu. Je anatofauti gani na picha ya Osama ? Wanafanana kuanzia mavazi nywele mpk ndevu.
Sasa hapa unawakashifu wafuasi wa Yesu pamoja na Yesu kuvaa km waislamu wa Ummah huu?

Umeona ulivyo mpuuzi usie na elimu?
 
Attachments

  • Screenshot_20240618_144653.jpg
    Screenshot_20240618_144653.jpg
    230.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240618_144356.jpg
    Screenshot_20240618_144356.jpg
    331.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240618_144339.jpg
    Screenshot_20240618_144339.jpg
    516.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240618_144243.jpg
    Screenshot_20240618_144243.jpg
    585.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240618_144208.jpg
    Screenshot_20240618_144208.jpg
    381.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240618_144146.jpg
    Screenshot_20240618_144146.jpg
    338.3 KB · Views: 1
Unakashifu waislamu wanavyo vaa.
Sasa tazama hawa hapa chini. Jr na hawa ni waislamu au waarabu?
Halafu mtazame na huyo mnaemuita Yesu. Je anatofauti gani na picha ya Osama ? Wanafanana kuanzia mavazi nywele mpk ndevu.
Sasa hapa unawakashifu wafuasi wa Yesu pamoja na Yesu kuvaa km waislamu wa Ummah huu?

Umeona ulivyo mpuuzi usie na elimu?
Mkuu huyu aliyeko pichani sio Yesu. Ni muigizaji wa filamu ya Yesu. Asante
 
Duuu hujui hapo ndiyo mnajisema wenyewe. Nyie hamuwezi kusali kwa ala wenu bila kutumia lugha ya mungu wenu mkuu mud.
Kama unabisha wewe hapo ulipo sali kwa mungu unayemuamini wewe bila kutumia misamiati uliyoikariri ya lugha ya mtume wenu mfu mudi.

Katika watu ambao wanahitaji ukombozi wa haraka sana wa fikra ni nyie wafuasi wa mudi. Kazi kutupigia kelele mitaani na mavipaza sauti mmepandisha kwenye vibanda vyenu vya kuabudia ili mtusumbue na maneno yenu yasiyoeleweka ya lugha ya ki -mudi.
🤣🤣🤣
Hakuna muislamu anaesali asiejua anachosema ktk ibada yake.
Sisi waislamu tuna LUGHA YA ASILI Lugha ya Quraan.
Na haijabadilika kuanzia miaka 1450 iliopita na wala haitobadilika mpk mwisho wa dunia hii.

YESU ALIONGEA LUGHA YA "Aramaic"
Leo ukinionyesha BIBLIA MOJA TU YENYE LUGHA YA YESU leo leo unanibatiza. Na Pombe ntakunywa hapo kanisani na ntakubali Padri anilaze lwenye maji km mnavyofanyiwa wakati wa kuhungama madhambi.

Sasa sikiliza IBADA YA KIKRISTO HAPA
Kisha naomba Tafsiri km kweli wewe ni MKRISTO WA KWELI

View: https://youtube.com/shorts/vWc3XcPmvW4?si=v4OtWxBX581ZmI_t
 
Mkuu huyu aliyeko pichani sio Yesu. Ni muigizaji wa filamu ya Yesu. Asante
Sasa inakuwaje makanisa mengi wanaweka picha ya muigizaji?
We huoni kama wakristo Wengi hawajui imani yao .
Yesu alikuwa mzungu au?
 
🤣🤣🤣
Hakuna muislamu anaesali asiejua anachosema ktk ibada yake.
Sisi waislamu tuna LUGHA YA ASILI Lugha ya Quraan.
Na haijabadilika kuanzia miaka 1450 iliopita na wala haitobadilika mpk mwisho wa dunia hii.

YESU ALIONGEA LUGHA YA "Aramaic"
Leo ukinionyesha BIBLIA MOJA TU YENYE LUGHA YA YESU leo leo unanibatiza. Na Pombe ntakunywa hapo kanisani na ntakubali Padri anilaze lwenye maji km mnavyofanyiwa wakati wa kuhungama madhambi.

Sasa sikiliza IBADA YA KIKRISTO HAPA
Kisha naomba Tafsiri km kweli wewe ni MKRISTO WA KWELI

View: https://youtube.com/shorts/vWc3XcPmvW4?si=v4OtWxBX581ZmI_t

Yaani unataka kuniambia kwamba kuna lugha duniani inaitwa quran. Hiyo lugha inazungumzwa na watu wa taifa gani hapa duniani?

Mnadanganyana kwa kukaririshana maneno msiyo yajua hata maana yake.
Mara kibao mimi nawauliza kwamba unaelewa kinachoongelewa au kilichoandikwa kwenye quran wanasema baadhi yake ndiyo najua. Halafu wewe unakuja na ujinga wako unasema eti kila muislam anajua anachosali bure kabisa wewe.
 
Wewe una bichwa gumu kweli kweli.
Yaani unataka kuniambia kwamba kuna lugha duniani inaitwa quran. Hiyo lugha inazungumzwa na watu wa taifa gani hapa duniani?

Mnadanganyana kwa kukaririshana maneno msiyo yajua hata maana yake.
Mara kibao mimi nawauliza wavaa magauni na vibakuli kichwani kwamba unaelewa kinachoongelewa au kilichoandikwa kwenye quran wanasema baadhi yake ndiyo najua. Halafu wewe unakuja na ujinga wako unasema eti kila muislam anajua anachosali bure kabisa wewe.
Teh teh teh.
Yaani leo umenichekesha mpk nimeamua kukusamehe Bure ndugu mgalatia.

Chukua zawadi yako hapa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240618_171527.jpg
    Screenshot_20240618_171527.jpg
    553.6 KB · Views: 1
Teh teh teh.
Yaani leo umenichekesha mpk nimeamua kukusamehe Bure ndugu mgalatia.

Chukua zawadi yako hapa.
Huyu padri kawaambia waumini wake kuwa uume wake unatoa maziwa mtakatifu.
Sijui wamekunywa wangapi mpk sasa.
wewe pia ukiletewa hayo maziwa na mzungu lzm unywe.

Hallelujah!!
 
Unakashifu waislamu wanavyo vaa.
Sasa tazama hawa hapa chini. Jr na hawa ni waislamu au waarabu?
Halafu mtazame na huyo mnaemuita Yesu. Je anatofauti gani na picha ya Osama ? Wanafanana kuanzia mavazi nywele mpk ndevu.
Sasa hapa unawakashifu wafuasi wa Yesu pamoja na Yesu kuvaa km waislamu wa Ummah huu?

Umeona ulivyo mpuuzi usie na elimu?

Sijawahi tishwa na mavazi. Mavazi siyo moyoni. Kuna makahaba wa kutosha wanaovaa mabuibui mpaka kisiginoni mpaka machoni.
Bwana mdogo nisikilize, tangu mdogo sishitushwi na mavazi ambayo wengi wanayatumia kitapeli tu.

Muache kuvaa kidesturi ya kiarabu, halafu mnadanganywa kuwa ili uwe muislam safi lazima uvae hivyo.
Teh teh teh.
Yaani leo umenichekesha mpk nimeamua kukusamehe Bure ndugu mgalatia.

Chukua zawadi yako hapa.

Bwana mdogo sijaja kukutekenya halafu unichekee. Jibu swali, hiyo lugha ya quran inazungumzwa katika nchi gani?
 
Sijawahi tishwa na mavazi. Mavazi siyo moyoni. Kuna makahaba wa kutosha wanaovaa mabuibui mpaka kisiginoni mpaka machoni.
Bwana mdogo nisikilize, tangu mdogo sishitushwi na mavazi ambayo wengi wanayatumia kitapeli tu.

Muache kuvaa kidesturi ya kiarabu, halafu mnadanganywa kuwa ili uwe muislam safi lazima uvae hivyo.

Bwana mdogo sijaja kukutekenya halafu unichekee. Jibu swali, hiyo lugha ya quran inazungumzwa katika nchi gani?
Teh teh teh.
Bi mkubwa leo umebanwa pabaya.
Km chura aliyebanwa mlango.

Suala la Waarabu waulize wao mi msukuma. Tena chapa ya Ng'ombe.
Sasa turudi kwenye Mnakasha uliopo hapa.
Wale masister wa makanisani wanavaa vya nini kichwani?
Kwanini PAPA ANAVAA Kikofia kama cha Ostazi? Na Gauni Jeupe?
KADINALI PENGO umeshawahi kumuona kavaa Suruali? 🤣
Ile picha ya Yesu kavaa Kanzu ndefu nyeupe na Kafuga ndevu ka Osama na kavaa kilemba cheupe kichwani
na Bikira Maria kavaa kitambaa kichwani kama kina mama wa kiislamu

Kifupi SISI NDIO TUNAMUIGA YESU NA MARIA kwenye MAVAZI.
Na Papa na Pengo wanajitahidi.

Sasa nyie makafiri Suti na sketi na vimini mmefunzwa na nani?

Nionyeshe picha moja tu ya PAPA AU KADINALI PENGO KAVAA SURUALI ili nijue nyie mnafuata viongozi wenu.

Nasubiri jibu
Sio mipasho na maneno ya Waimba Taarabu.
Hayo peleka kwa mumeo.
Hapa mwaga Point.
Kwako ndugu mgalatia.
 
Hayo kila mtu anayajua.
Jibu swali langu; lugha ya quran inazungumzwa na taifa gani?
 
Hayo kila mtu anayajua.
Jibu swali langu; lugha ya quran inazungumzwa na taifa gani?
Mataifa yote ya Kiarabu.

Sasa na wewe jibu la kwangu.
Kati ya waislamu na Makafiri Nani anavaa mavazi yanayofanana na aliovaa YESU NA MARIA mama yake na YESU?
Na Suruali , mini skirt na g string Mmefunzwa na nani kwenye BIBLIA?

NIPE JIBU kama wewe kweli ni mke wa mtu unaejitambua
 
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kwamba wale wote wanaotamka maneno ya kiarabu nje ya mataifa ya kiarabu, wanatamka wasicho kijua. Hivyo wanaabudu kwa lugha wasiyo ielewa?

Mavazi hayanitishi.
 
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kwamba wale wote wanaotamka maneno ya kiarabu nje ya mataifa ya kiarabu, wanatamka wasicho kijua. Hivyo wanaabudu kwa lugha wasiyo ielewa?

Mavazi hayanitishi.
Mimi ni msukuma wa kuzaliwa na kukulia usukumani lkn naijuia Quraan kuliko kisukuma.
Na sio hivyo tu.
Kuna watoto wa kinyamwezi wa miaka 7 wamehifadhi Quraan yote na kuilewa nje ndani.
Hio ndio moja ya MIUJIZA YA UISLAMU.
Leo tuna watoto wa kizungu wanaisoma na kuilewa Quraan kuliko lugha yao ya asili.

Lkn juu ya nyie makafiri kuona miujiza hii bado mnakaidi na kuwa na kiburi na bado mnaendelea kuabudu sanamu la mzungu.

Moto wa Jahannam umendaliwa kwa makafiri.
Amka sasa kabla hujavuta pumzi yako ya mwisho
 
Wewe umekulia kwenye ukanda ule waliopita wale washenzi kiarabu/kiislam na kutuachia akina nyie mazombi na masikini mliobakiziwa mwili na akili kumuachia muarabu aondoke nazo.

Na uache upumbavu wa kujisifu kujua tamaduni za kiarabu kuliko mila zenu. Bure kabisa.

Pia achana kuchanganya lugha na kuruwan. Kuruwan ni kitabu katika lugha ya kiarabu. Ambayo ninyi mazombi wote lazima muikariri bila kujua hata maana yake.
 
Kuruwan ni dawa gani tena hio?
Naona umepagawa sasa .
Teh teh teh teh
 
Kuruwan ni dawa gani tena hio?
Naona umepagawa sasa .
Teh teh teh teh

Acha kutafuta visingizio wee mtoto. Najua una uelewa wa chini ya wastani, ndiyo maana unajisifia kujua kutamka maneno ya kwenye kitabu mfu quran (kuruwan) kuliko lugha ya mama yako.
 
Serikali haina dini
Na mtumishi wa serikali anapoitumikia serikali udini wake anatakiwa aweke pembeni kwa sababu watu ambao atawatumia ni watu wa serikali na kila mtu anaimani yake na dini tofauti.

Serikali haiingilii dini ila anayeingia kwenye serikali dini yake anaweka pembeni.

Halafu usirudie kuwaita wengine wapagani.

Shika imani yako kaza amini unachoamini na wengine wataamini wanavyoamini ni uhuru wa kila mtu kufanya hivi

Ila hiyo dini unayoamini siyo asili yako fikiri tena kwamba unapendwa sana hadi wakakuletea dini?

Au ushawahi kujiuliza dini zilifikaje AFRIKA?
 
Dhana ya Kuabudu

JE JUKUMU LA KUWALEA WATOTO WA DINI MBALIMBALI SAWA NA MAELEKEZO YA DINI HIZO?

Kama jukumu hilo ni la mzazi mwenyewe ji serikali ina haki ya kuwa kisababishi na kuzuia haki hiyo kutekelezwa popote ndani na nje ya taasisi za serikali.

Kama serikali haingilii dini kwanini iweke taratibu zinazozuia baadhi ya wenye dini kupractice dini zao.

Haki hiyo inatokana na katiba au ni matumizi mabaya wa tuliowapa madaraka na kuwaamini wanatenda haki bila kubagua.

Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu.

Kuabudu si kuswali, kusali na kusifu tu.

Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako.

View: https://twitter.com/EduTalkTz/status/1804535133359214893?t=CT9uIeBB6Z2Bz7f2JGoZqg&s=19

Katiba ya nchi kifungu cha 19.

Kifungu cha pili kinatoa uhuru wa kuabudu kwa kila raia.

Na ibara ya 29 - 30:5 inayozuia mtu yyt (watendaji wa serikali) kuwazuia wengine kutekeleza haki zilizoanishwa na katiba.

Kwa muhtadha wa mada hii ni KUABUDU.

19. Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo

(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi; na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.

Masharti ya Jumla (Ib 29-30)

29. Haki na wajibu muhimu

(5) Ili watu wote waweze kufaidi haki na uhuru vilivyotajwa na Katiba hii kila mtu ana wajibu wa kutenda na kuendesha shughuli zake kwa namna ambayo haitaingilia haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
30. Mipaka ya haki na Uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu
(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.

Mwisho wa kunukuu.

Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Moja ya kitendo cha kudhalili, kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume kwa lazima. Nazungumzia vibukta.

Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.

Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.

Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama imara na kudai haki hii.

Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.

Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili linafanywa kwa kwa kuwa tunaongozwa na Serikali ina itikadi ya kutokuwa na dini. Bali tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana gani kwa sisi wananchi.

Je serikali unalengo la kuwadhibiti wananchi wenye dini au lengo la serikali ni kutulinda bila kubagua yeyote.?

Katika hali halisi yaonyesha Serikali imeamua kudhibiti baadhi ya imani kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao na kuwalazimisha kufata imani ya kipagani.

Kazi ya serikali yyt duniani ni kuwalinda raia wake. Kulinda ardhi zao, mila na tamaduni zao. Na inapotokea jamii fulani ina mila potofu serikali hufanya kampeni za kuwashawishi raia waondokane na mila hizo.

Tunaomba serikali au watendaji wa serikali watufafanunue je ibada hii kwa wasichana wa kiislam kuvaa unifomu yenye stara ni mila potofu kwa serikali isiyo na dini (kipagani).

Kinyume chake sisi kama sehemu ya jamii inayounda Tanzania tunaamini Serikali imekuwa kuvunja katiba kwa kutowaruhusu mabinti wa kiislam kuvaa uniform zinazikidhi uhitaji wao wa kuabudu.

Katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta, ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.

Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tuliowaamini watekeleza mahitaji na matakwa yetu sisi wananchi tuliowachagua. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani walizonazo ambazo zinatuathiri sisi na haziathiri imani zao binafsi.

Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.

Kwani JKT ni moja ya taasisi za umma inayoendeshwa kwa maamuzi binafsi ya wafanya maamuzi. Jambo hili halikubaliki.

Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea kutokana na sababu za kihistoria ambapo waislam ni asilimia isiyozidi 10 ya wafanya maamuzi.

Kama ambavyo vijana wa kike wana uhuru wa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.

Ni katiba,
Ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo ya jkt na wakati huo huo kuhitaji stara lkn huvuliwa stara zao kwa amri binafsi ya viongozi.

Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi zenye kufata demokrasia na serikali isiyo na dini tena zenye waislam wachache wanavyowaruhusu kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo.

Tukitafakari tutagundua kuwalazimisha mabinti kuvaa vibukta si matakwa ya kisheria bali ni matamanio tu ya watendaji wa serikali wanavyotafsiri mambo sawa na imani zao binafsi.

Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu si sehemu ya Uzalendo? Hakuna manufaa yeyote zaidi ya matamanio ya nafsi.

Na huenda ni takwa na tamani la mtendaji mmoja mvuta bangi anatumia nafasi hiyo kutafuta hamu ya kuwafanya wake zao mabinti hao.

Tunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.

Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu.

Kwanini kama watz wenye imani tofauti tulazimishwe kufata imani na values za kipagani (Ujamaa).

Kwani maandiko wanasema ujamaa ni imani.

Na kwamba Ujamaa ni upagani.

Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.

Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka
Mwongozo kama huu kwa askari na walioko mafunzoni kufata ili waendelee kuwa na dini zao, wapate kuabudu na wakati huo huo wanaitumikia serikali

Hatutaki jeshi la kidini, tunataka jeshi lenye kufata katiba na kuzingatia haki na uhuru wa kuabudu huko makambini.

Kuvaa uniform zenye stara ni kuabudu kwa mabinti wa kiislam.

Nchi zinazojipambanua ni za kidemokrasia zenye serikali isiyo na dini wanalinda wenye dini. Mf Marekani, UK, SA na hata majirani zetu Malawi. Tz wenye waislam wengi kwanini wanadhibitiwa na kubaguliwa.

Kama ni kwa kutokujua basi tunaweza kujifunza kupitia waraka huu.

View: https://youtu.be/WYAUNij6meo?si=KF6MURiFhUFat7Xx

asili yetu afrika hatukuwa na nguo, ni mambo ya kigeni
 
asili yetu afrika hatukuwa na nguo, ni mambo ya kigeni
Kuna tamaduni. Tamaduni ni hali ya kuchukua kila zuri na kuwa na mila desturi zako.

Kunaubaya gn ikiwa hata wamarekani wamecopy kwa waingereza. Na waingereza wamecopy kwa warunmmo, na warumi walicopy kwa wagiriki.
 
Back
Top Bottom