Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Waislam mtapiga hatua kubwa siku mkiweza kufikiria vitu bila kutawaliwa na mawazo ya ngono kila wakati. Yaani kuona bukta tu, tayari mtu anafikiria kula mzigo.
 
Usawa na sio udini.
 
Usawa na sio udini.
Usawa ni lazima kuwepo universal law.

Vinginevyo ni kulazimisha watu wa imani moja kufata imani ya ukana Mungu. Ambao kwao ni kufuru

Lkn kubwa zaidi katiba inatoa uhuru wa
freedom of religion.


Na kwamba States have to ensure that fundamental rights and freedoms are not violated by a States entities such as terrorist actors.



The Secular Society works for the separation of religion and state and equal respect for everyone's human rights so that no one is either advantaged or disadvantaged on account of their beliefs.


Else the Government will finger point them that they are favoritism of religious groups interm of laws and policies that are restricting religious freedom.


Doing that its harassment of religious groups
 
Kuvaa bukta sio maadili ila kunajisi watoto wa moaka9 kama mudi mnaona maadili?!!
 
Labda nikuibie code mkuu,jeshini akuna dini hasa ukiwa jkt mafunzoni,ila baada ya pale unaluusiwa kuendelea na dini yako
 
Sina uhakika umepitia JKT au laa
Unajua maana ya neno kunyakua?
Mtoto wa kike umvalishe hijabu au gauni akinyanyua mguu unategemea kuona kitu gani ndani?
Hawa dada zetu kumbuka wanakwenda siku zao unataka ped zidondoke kirahisi
usiige nchi za kiarabu kuna baadhi wanawake hawaruhusiwi hata kuendesha magari na kwenda jeshini
akili ya kuambiwa changanya na zako alisemaga babu wa Musoga
Ukiona mtoto wako atadhalilika kaa nae nyumbani maana hiyo JKT sio lazima hata hivyo
 
Kuhenyeshwa sawa lakini vile vibukta kwa watoto wa kike si sawa...ningependa na viongozi wa dini waingilie hili kati. Kuna mijitu pale inataka tu kulisha macho yao....
Unataka wavae hijabu jeshin? Aisee hii dini yenu mna mambo!!! Aisee mbona kazi sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…