mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Madai yenu huwa hayaishi.Hatutaki watoto wa imani ya kikristo wavae hijab, hatutaki watoto wa imani ya kipagani wavae hijab.
Tunataka watoto wa kiislam wapewe haki hii iliyo ndani ya katiba.
Kwanini iwe kikwazo ndugu zetu. Munaumia nini.
Serikali yetu ilijipambanua inafata imani ya kipagani. Lkn ikasema haitowalaximisha wananchi wafate imani ya kipagani bali italinda imani zote. Ndio maana tunaikumbusha jkt wafate katiba.
Kua haya ni majini.. sikushangai uko contaminated na mafundisho ya kiongozi wako wa dini baada ya kukosa hoja ya kutetea imani yetu ambayo kimsingi suala la family inayotokana ma misingi ya ndoa haipo kwa sasa.
Kwa hiyo kulinda mtoto wa kike si miongoni mwa majukumu yeny
Baada ya hapo mtataka askari wa kiislam wavae ninja.
Hayo mnayopambania hayana maana sana kiimani zaidi ya kuleta mifarakano katika jamii.
Tunatarajia dini zitengeneze watu wema ktk jamii na wala sio mashindano ya tamaduni za mavazi.
Juzi hapa kuna mpuuzi mwingine kaka na wazo la kufanya sensa mashuleni eti ili kujua idadi ya waislam.
Dini zimekuwa bora kuliko taifa letu?
Huko jeshini hatufundishi imani tunafundisha uzalendo.
Na hàta ukiwa muislamu au mkristo inapotokea mtu wa imani yako kaenda tofauti unamgonga tu.
Ikitokea vita na taifa lolote la kiislamu au kikristo tunaweka imani pembeni tunakuwa wamoja kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Je Mungu alimuumba binadamu akiwa katika mavazi gani?
wenye dini yao huko Saudia wameshaanza kuachana na huu upuuzi.