Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Hatutaki watoto wa imani ya kikristo wavae hijab, hatutaki watoto wa imani ya kipagani wavae hijab.

Tunataka watoto wa kiislam wapewe haki hii iliyo ndani ya katiba.

Kwanini iwe kikwazo ndugu zetu. Munaumia nini.

Serikali yetu ilijipambanua inafata imani ya kipagani. Lkn ikasema haitowalaximisha wananchi wafate imani ya kipagani bali italinda imani zote. Ndio maana tunaikumbusha jkt wafate katiba.

Kua haya ni majini.. sikushangai uko contaminated na mafundisho ya kiongozi wako wa dini baada ya kukosa hoja ya kutetea imani yetu ambayo kimsingi suala la family inayotokana ma misingi ya ndoa haipo kwa sasa.

Kwa hiyo kulinda mtoto wa kike si miongoni mwa majukumu yeny
Madai yenu huwa hayaishi.
Baada ya hapo mtataka askari wa kiislam wavae ninja.
Hayo mnayopambania hayana maana sana kiimani zaidi ya kuleta mifarakano katika jamii.
Tunatarajia dini zitengeneze watu wema ktk jamii na wala sio mashindano ya tamaduni za mavazi.
Juzi hapa kuna mpuuzi mwingine kaka na wazo la kufanya sensa mashuleni eti ili kujua idadi ya waislam.
Dini zimekuwa bora kuliko taifa letu?
Huko jeshini hatufundishi imani tunafundisha uzalendo.
Na hàta ukiwa muislamu au mkristo inapotokea mtu wa imani yako kaenda tofauti unamgonga tu.

Ikitokea vita na taifa lolote la kiislamu au kikristo tunaweka imani pembeni tunakuwa wamoja kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Je Mungu alimuumba binadamu akiwa katika mavazi gani?
wenye dini yao huko Saudia wameshaanza kuachana na huu upuuzi.
 
Na hapa ndipo matatizo na mitafaruku mikubwa inapoanzia kati yenu na jamii au tamaduni nyingine
Mitafaruku ipi iwapo katiba itafatwa.

Nani ataleta mtafaruku kati ya anaezuia haki na anataka katiba ifatwe.

Imagine jeshi kingesema na kutekeleza kuwa wasichana wote wavae hijab ninyi mngevumilia.

Kwanini mnapenda waislam wakubali kurata taratibu na imani ya kipagani.

Kumbuka serikali yetu ina imani. Lkn ilijipambanua haitolazimisha wengine kutii imani hiyo.

Ujamaa ni imani.... nukuu
 
Kwakweli hii changamoto niliwahi ipitia, kutoka kwenye kuvaa stara Hadi kuvaa kibukta na t-shirt ya mikono mifupi. Niliumizwa sana na ile Hali ila shidaaa zilinifanya nikafumba macho. Baada ya kumalza nimerudi kwenye mstari alhamdulilah yalipita
 
Madai yenu huwa hayaishi.
Baada ya hapo mtataka askari wa kiislam wavae ninja.
Hayo mnayopambania hayana maana sana kiimani zaidi ya kuleta mifarakano katika jamii.
Tunatarajia dini zitengeneze watu wema ktk jamii na wala sio mashindano ya tamaduni za mavazi.
Juzi hapa kuna mpuuzi mwingine kaka na wazo la kufanya sensa mashuleni eti ili kujua idadi ya waislam.
Dini zimekuwa bora kuliko taifa letu?
Huko jeshini hatufundishi imani tunafundisha uzalendo.
Na hàta ukiwa muislamu au mkristo inapotokea mtu wa imani yako kaenda tofauti unamgonga tu.

Ikitokea vita na taifa lolote la kiislamu au kikristo tunaweka imani pembeni tunakuwa wamoja kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Je Mungu alimuumba binadamu akiwa katika mavazi gani?
wenye dini yao huko Saudia wameshaanza kuachana na huu upuuzi.
Tupunguze upuuzi kwa kufata katiba.

Jeshi lipo chini ya katiba.

uhuru wa kuabudu.

Shida yenu hamuwezi kuvumilia values za makundi mengine yanayounda tz.

jiulize kwanini serikali inakuwa na imani. Ina umuhimu gn. Na je ilijitenfezea imani yake ili kuidhibiti imani za baadhi ya watz. Hapana.

Si lengo kuu.

Hata hivyo huwezi kupata majibu sahihi hadi uwe na ufahamu wa falsafa ya uongozi.

#ujamaa ni imani
 
Kwakweli hii changamoto niliwahi ipitia, kutoka kwenye kuvaa stara Hadi kuvaa kibukta na t-shirt ya mikono mifupi. Niliumizwa sana na ile Hali ila shidaaa zilinifanya nikafumba macho. Baada ya kumalza nimerudi kwenye mstari alhamdulilah yalipita
Hii nchi ina ubaguzi sana.

Ina misingi mibaya sana ya kukiuka haki za baadhi ya matabaka.

Inshallah hili tutalipeleka mahakamani.

Kwani kama vile wapagani si sheria kwa mujibu wa imani yao basi isiwe ndio sheria ya nchi.
 
Mohamed Abubakar Shekau

Nimemkumbuka founder wa Boko Haram,kwa hiyo brother unaamini kabisa watu wanaweza wakapewa mafunzo ya kijeshi wakiwa wamejifunika hivi?
Screenshot_2024-05-29-08-36-31-529_com.google.android.googlequicksearchbox-edit.jpg
 
Kila mahali walipo hawa lazima pakose utulivu.
Huu utulivu tulionao TZ ni kwa sababu hatuwadekezi, lakini wana vichokochoko vya hapa na pale.
Wapuuzi!
Badala ya kujibu hoja unaanza mihemko.

Hebu tujadili uhuru wa kuabudu ktk katiba una mipaka ipi.

Niliwahi msikia mtu wiki sasa kuwa tatizo la watz ni kuona matatizo na kudhani dawa ni kukaa kimya. Na kuna wale wanaoopoga kuambiwa wanataka kuleta fujo.

Hii ni alert tu tutatumia vyombo vinavyotafsiri sheria kujua haki hizi.

Ndugu zetu huenda hii ni fikra mpya. Na maendeleo ni fikra si pesa.

Ingawa fikra mwanzoni lazima ikutaane na vikwazo.

Kwa kukosa majibu ya hoja wezi ni wazi kuwa haki inasiginwa.

Tutaipata inshallah
 
Mohamed Abubakar Shekau

Nimemkumbuka founder wa Boko Haram,kwa hiyo brother unaamini kabisa watu wanaweza wakapewa mafunzo ya kijeshi wakiwa wamejifunika hivi?View attachment 3002459
Natamani usiwe mwana chadema.

Ukiwa chadema na una akili hii ujue hujaelewa sera ya chadema ya kutaka serikali za majimbo yenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Majimbo yote ya mwambao wanaunga mkono motion hii.

Na ndio sababu tunaunga mkono chadema.

Sasa jibu la swali lako liko ktk link hizi

https://assets.publishing.service.gov.uk/media/5a789754e5274a277e68dead/guide_religion_belief.pdf

Minnesota’s first hijab wearing police woman: how cool is she? - MVSLIM

Police Scotland uniform to include Muslim hijab

Malawi Defence Force allows Muslim soldiers to wear hijab Malawi 24 | Latest News from Malawi

View: https://youtu.be/zddiPwicaH0?si=oDVehMbqsHZVbpLm

View: https://youtu.be/RDx2zl5li5k?si=TwW5LxcLzKEYHPPA

View: https://youtu.be/LFVeJK2ZdkQ?si=3xNDM8I5KvSnTWs1

View: https://youtu.be/vwFzn5TucuQ?si=BmHGBiZ5p2LkMIy7
 
Acheni mihemko tufate katiba.

Si watz wanapigania katiba mpya? Itakuwa na maana gn kama haitofatwa kama hii iliopo.

Mada uhuru wa kuabudu ndani ya katiba ni kwa ajili ya wanafunzi tu au taasisi zote ikiwemo jkt, jwtz, jeshi la polisi, magereza nk
Wewe ndio uache mihemuko. Use your common sense. Hata kama kuna katiba lakini kuna taratibu za kufuata kila sehemu. Ndio maana waislam wote wanaosoma shule za kikristo wanafuata taratibu za shule hizo. Hijabu inaachwa getini hutaki usiende.
 
Badala ya kujibu hoja unaanza mihemko.

Hebu tujadili uhuru wa kuabudu ktk katiba una mipaka ipi.

Niliwahi msikia mtu wiki sasa kuwa tatizo la watz ni kuona matatizo na kudhani dawa ni kukaa kimya. Na kuna wale wanaoopoga kuambiwa wanataka kuleta fujo.

Hii ni alert tu tutatumia vyombo vinavyotafsiri sheria kujua haki hizi.

Ndugu zetu huenda hii ni fikra mpya. Na maendeleo ni fikra si pesa.

Ingawa fikra mwanzoni lazima ikutaane na vikwazo.

Kwa kukosa majibu ya hoja wezi ni wazi kuwa haki inasiginwa.

Tutaipata inshallah
Umewahi kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi?
 
Kuhenyeshwa sawa lakini vile vibukta kwa watoto wa kike si sawa...ningependa na viongozi wa dini waingilie hili kati. Kuna mijitu pale inataka tu kulisha macho yao....
Dini gani za kiislam na ukristo au kuna dini nyingine?wanayoyafanya nje ya bukta makanisani na miskitini ni sawa??
 
Hao wanaotaka utengano wa majimbo hawana akili nzuri,Tanganyika ni moja katiba inayotuongoza ni moja,kingine siyo kila kitu ni cha kuiga hao walioona bora ni wao na sisi ni sisi.

Unaonaje ukabaki na mwanao ukampeleka kwenye fani zinazoruhusu hayo mavazi?dini ipo moyoni hao unaodhani wanajifunika sana kuna scenes zinafika wanayavua yote wanafanya maovu mwisho itatokea vita hapa mseme watoto wetu wasiende wataua watu.
 
Back
Top Bottom