Mabinti wa Kiisrael(Wayahudi) wanavutia sana

Mabinti wa Kiisrael(Wayahudi) wanavutia sana

d885c82ca1813963f3884a916bfe6618.jpg

Binti wa Kiyahudi
 
Upo wrong kbs katika mashariki ya kati hakuna mabint warembo km Wadada wa Kipalestina, fuatilia mkuu utagundua hilo
 
Uzi mzuri ila kwenye mahijabu subiri wafike bado wanajikusanya
 
Mie hilo la Ulimbwende ulianzia wapi silijui, lakini kama hatuoni mzuri katika hizo picha lazima tuseme kweli. Mie nimebahatika kuwaona wengi live lakini bado sijakutana na mzuri wa kustua wote huwaona ni wa kawaida sana.

Ulimbwende ulianzia kule mkuu...
Miaka zaidi ya 500B.C
 
Mie hilo la Ulimbwende ulianzia wapi silijui, lakini kama hatuoni mzuri katika hizo picha lazima tuseme kweli. Mie nimebahatika kuwaona wengi live lakini bado sijakutana na mzuri wa kustua wote huwaona ni wa kawaida sana.
Kwenye mambo ya affairs umewachunguza?
 
Back
Top Bottom