Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Unaona sasa huu uongo uongo mimi ndio huwa sipendi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi lakini papuchi wanatoa?..maana naona unazunguka nao dar nzima hii mara kfc mara wapi sijui..

Kuna mmoja aliniambia anasoma udsm degree ya civics..hapo ndo nilikubali hii dunia ina mambo
[emoji23][emoji23]
 
Hiyo gari inakuwa gari kweli uliyonunua kwa jasho na kujinyima au inakuwa gari ya urithi.

Maana kwa kawaida mtu akitaka kuazima kitu chako lazima umuulize akupe details, ili hata yakitokea mengineyo uwe na pa kuanzia.
Kwa mtu asiyeelewa investment ya kununua gari na kuimantain hawezi elewa uchungu pale anapokuja mtu ambaye hana gari au hamiliki gari na udereva wake unatia mashaka plus ukitazama hata kipato chake ni wasi wasi anakwambia naomba gari nitakurejeshea jioni..... Sio kirahisi hivyo ujue....?!

Gari ya kununua kwa pesa ya kudunduliza huwa inauma sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm huwa siwaelewagi kabisa,unajiuliza mtu kama huyo alikuwa anakudanganya kwa mantiki ipi labda au apate nin?,hakika unakosa majibu unabaki kucheka tuu
Ile me nadhani inakuwa ni mbinu ya kukurahisisha akili umuamini na kuona chochote utakachotoa kwake kitarejea.... (of which sahau hakitarudi, wewe ndio fursa na utapoteza sana).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuja akanambia nipambane na hali yangu vitu kaniachia.

Nilichofanya ni kutafuta mteja wa chumba bila kumwambia father house (mwenye nyumba alikuwa Nairobi kimasomo, anaekuwapo nyumbani ni mama yake ambae ni bibi wa makamo, pamoja na dada zake wakubwa).

So nikarudisha kodi nakumbuka ilikuwa imebakia ya miezi kumi na moja..... Nikachukua na vitu vile vyote nikaweka kwangu isipokuwa dressing table ambayo niliuza kwa mdada chumba xha jirani. Hela yote ilirudi na faida nikapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaja kuna jamaa hapo juu kasema ndege wafananao?!,kwanin yy tuu ila teseme mabinti wenye tabia za hivyo baadhi hata ww unaweza kukutana nae,umdhaniaye kumbe sio man
Wapo wengi sasa.... Na nadhani kuna ulimbukeni wa maisha ya kisasa umetamalaki miaka hii.... Watu kwann wawe waongo waongo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu mnatumia lugha za kuamrisha, mnajisahau kana kwamba mnafokea wadogo zenu huko majumbani, kumbe Kuna mama, dada mamdogo na shangazi zenu wa kutosha
Sasa kwa mwanaume mwanamke si ni dogo tu au haujui... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo neno la mwisho lina mushikeri kama wewe ni Me
 
Kuna rafiki yangu aliniambia, yeye anasoma Arusha Technical College (ATC).
course ya kuingiza nyimbo kwenye simu na flash. [emoji23][emoji23][emoji23]. It is a very true story. Nilimhurumia sana kwa fix aliyonipiga.
Hahahaha
 
Hapa ndo unakuta mtoto wa mtu analalamika hakuna waoaji. Hizi tabia za kuigiza zinagharimu sana watu. Achana na hawa watu aisee hizo u ajiokitea ni nuksi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…