Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Ila mbona mimi toka primary napiga boarding mpaka chuo naishi hostel na sijawahi kuwa influenced na yeyote?
Nadhani ni ulimbukeni wao plus malezi... maisha ya kuigiza ni ujinga sana. Siku za sikukuu mf. Nilikua nalala zangu room hostel kimyaa hata christmas[emoji28] yaan sishtuki. Club tukienda sitaki kibambiwa. Simple. Ninprincipals tu
 
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] my typical parents. Ila haikufika chuo .. ila seemingly kweli yuko smart maana haingii vipindi and yet anatoboa yuko vzr. Hayo maisha atakujaga yakumbuka siku[emoji28][emoji28]
 
Ninyi msiotaka kubambiwa klabu ndo huwa mnatumalizia oksijeni

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] huyo atakuwa wale wa network marketing. Qnet
 
ulikuwa hutaki ushikwe wezele kimasihara
 
Unajua si kila binti anapotoka nyumbani anaondoka na home training zake.....

Wengi wakiondoka nyumbani kwenda vyuoni ni fungulia mbwa.... Majuto yake ni baada ya kumaliza chuo halafu miaka kadhaa baade....

Kama ule msemo wa kiswahili wa kwamba kenge hasikii hadi apate kipigo kimtoe damu ndio adabu huja. The same kwa mabinti wanaojifanya wajuzi wa ujanja wa mjini, balaa ni umri ukishaenda.

Sasa mtu anakuwa anatumia muda mchache wa ujana kujifunza upuuzi na uongo uongo wa kutaka kuonekana ni maridadi hivi kesho na kesho kutwa nani atakuamini akuweke ndani muishi pamoja.

Na sisi wanaume huwa tunashare mafaili. Tunakwambia kabisa.... Dah aisee yule dada ni muongo balaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We huo muda wa kuzungushwa zungushwa umepata wapi? Wameona unawikinesi ndiyo maana wanakuzungusha zungusha kama zuzu
 
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] my typical parents. Ila haikufika chuo .. ila seemingly kweli yuko smart maana haingii vipindi and yet anatoboa yuko vzr. Hayo maisha atakujaga yakumbuka siku[emoji28][emoji28]
Anashika daftari hapa anasoma usiku kidogo na asubuhi anasoma pepa saa nne asubuhi. Akiingia.... Katika maksi 15 hakosi 13 au 12.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] my typical parents. Ila haikufika chuo .. ila seemingly kweli yuko smart maana haingii vipindi and yet anatoboa yuko vzr. Hayo maisha atakujaga yakumbuka siku[emoji28][emoji28]
Dingi yake kampuni ilipofungwa akarudi ground tena hali ikawa tete so kabinti duh kana wenge balaa sasa hivi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unamaanisha na sisi tumeanza zile kauli za "kuna mchongo nausikilizia ukitiki huo...." aargh mi siwezi kujivunga kama sina mishe,pesa nasema wazi tu hakuna cha kusikizilizia wala nini😛
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] huyo atakuwa wale wa network marketing. Qnet
Wazee wa ukiniletea wenzako watano tu, hapo utakuwa umeshamaliza tutakuwa mamilionea ndani ya miaka 3 tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…