Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Nilikuwa naenda huko huko town so nimefanya kusogea nao yaani nichome mafuta kuwapeleka watu sehemu nipopajua....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikapuuza tu, nilikua nakaambia sahivi upo chuo we igiza, ukimaliza ukarudi kitaa utume cv 500 bila kuitwa popote ndio akili itakaa sawa..... hope akili ishaanza kumkaa sawa make sahivi yupo mtaani sasa.
 
Peasant's daughter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila si ndo mnavyopenda jamani?

Jamii imatufanya tuwe waongo. Mmeshaweka this standard kwamba mwanamke anatakiwa kuwa hivyo na mkikutana nao wanawapanga kweli ili mvutiwe.
 
Dah hii ni kweli kabisa mi mwenyewe nina scenarios nyingi za vi binti vinajiona vijanja ni ulimbukeni unavisumbuaga sijui, njaa kali ila maneno sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…