Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Mkuu na ww ulikuwa unawazungusha madem town kama dereva wa uba bana!?
ungewatosa tu ungewaambia upo bize na issue zako na gari ndio kiatu chako....
usikute umewaomba na k wamekunyima!! ndio hizi hasira sasa!!?
mm ili niwe karibu na dem ujue nataka uchi tu sio kingine....
Nilikuwa naenda huko huko town so nimefanya kusogea nao yaani nichome mafuta kuwapeleka watu sehemu nipopajua....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha si ukichape makofi huko ndani aisee,kuna madogo fulani wa kiume nilikuwa naishi nao maskan ndg wa mshikaji wangu mmoja hivi,kuna mmoja alikuwa na tabia kike full mpaka siku nikamwambia ndg yake,dogo alikuwa na vikorombwezo vyote vya kujichubua,ila nashukuru na mm nilikuwa natumia nafasi yangu kumkemea kama alikuwa anamaindi atajua mwenyewe ila kwa ss naona yupo fresh hana zile tabia tena
Nilikapuuza tu, nilikua nakaambia sahivi upo chuo we igiza, ukimaliza ukarudi kitaa utume cv 500 bila kuitwa popote ndio akili itakaa sawa..... hope akili ishaanza kumkaa sawa make sahivi yupo mtaani sasa.
 
Vinapenda kuishi maisha ya maigizo sana....

Kuna kimoja niliishi nacho, tabu tupu kila chakula nnachoamua tule analalamika, " eeh jamani ugali na samaki, eeh jamani viazi, eeeh jamani mihogo, kuna siku nikavurugika nikamuuliza hivi kwenu familia mnakulaga pizza, chips kuku?? Kikajibu hamna nakula tu kwasababu ndio vilivyopo.... nikakaambia good, na kwangu unakula kilichopo ukipata kwako utakula unachopenda.

Kakikaa story ni sijui nimeenda mall gani, sijui mlimani city bla bla wakati mi nakajua kabisa ni katoto ka mkulima... Ovyo sana.
Peasant's daughter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila si ndo mnavyopenda jamani?

Jamii imatufanya tuwe waongo. Mmeshaweka this standard kwamba mwanamke anatakiwa kuwa hivyo na mkikutana nao wanawapanga kweli ili mvutiwe.
 
Dah hii ni kweli kabisa mi mwenyewe nina scenarios nyingi za vi binti vinajiona vijanja ni ulimbukeni unavisumbuaga sijui, njaa kali ila maneno sasa
 
Back
Top Bottom