Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
- Thread starter
- #301
Kabisa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unamaanisha na sisi tumeanza zile kauli za "kuna mchongo nausikilizia ukitiki huo...." aargh mi siwezi kujivunga kama sina mishe,pesa nasema wazi tu hakuna cha kusikizilizia wala nini[emoji14]
Utasikia,"Dah kuna kazi hapa natype na ndio namalizia ili niweze kuiprint maana natakiwa nimtumie client wangu hapa ili asign mkataba tuanze contract ya production tupeleke mzigo sokoni.....
Hapo namtazama tu lile jicho" mwe, hivi huyu ananionaje lakini?! "
Sent using Jamii Forums mobile app