Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Mkuu unamaanisha na sisi tumeanza zile kauli za "kuna mchongo nausikilizia ukitiki huo...." aargh mi siwezi kujivunga kama sina mishe,pesa nasema wazi tu hakuna cha kusikizilizia wala nini[emoji14]
Kabisa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utasikia,"Dah kuna kazi hapa natype na ndio namalizia ili niweze kuiprint maana natakiwa nimtumie client wangu hapa ili asign mkataba tuanze contract ya production tupeleke mzigo sokoni.....

Hapo namtazama tu lile jicho" mwe, hivi huyu ananionaje lakini?! "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ila unajua siamini kama hayo maneno yanatoka kwa wadada eti🤔 tulivo honest hivi , hizo ni swagger za wakaka kusikilizia michongo bana.😀
 
Mkuu na ww ulikuwa unawazungusha madem town kama dereva wa uba bana!?
ungewatosa tu ungewaambia upo bize na issue zako na gari ndio kiatu chako....
usikute umewaomba na k wamekunyima!! ndio hizi hasira sasa!!?
mm ili niwe karibu na dem ujue nataka uchi tu sio kingine....
 
Ila mbona mimi toka primary napiga boarding mpaka chuo naishi hostel na sijawahi kuwa influenced na yeyote?
Nadhani ni ulimbukeni wao plus malezi... maisha ya kuigiza ni ujinga sana. Siku za sikukuu mf. Nilikua nalala zangu room hostel kimyaa hata christmas[emoji28] yaan sishtuki. Club tukienda sitaki kibambiwa. Simple. Ninprincipals tu
Una mzigo lakini yani “Chura”???
 
Back
Top Bottom