Dyslexia
Senior Member
- Jan 19, 2011
- 188
- 0
Subira yanini wakati hata wanaume wenyewe hamtabiriki?
Nikudadisi inisaidie nini wakati mmeshajiandaa kudanganya?
Sio rahisi kushawishiwa kama udhanivyo.
Kumbe nanyi mnajijua kua mkiona maungo yetu akili zinawaruka? Sasa kwanini mshangae akili zikituruka kwa Pesa?
Bora sisi Pesa kuliko nyie maungo ya mwili,nani yupo pabaya kati yetu?
Tenzi zinisaidie nini,najua kesho utanitenda tu hata kama uliniimbia mashairi matamu.
Mnaona tukilana denda kwenye media huwaoni wanaume wenzako wanaoolewa?
Sorry,nimejaribu kutumia lugha uliyotumia.
Iwewajumuisha wadada as if wote wanafanya haya uliyoyasema ila sikua na lengo la kujumuisha wanaume wote.
nimekubali maneno yako,umesema ukweli kabisaaaaaaaa!!!!