Mabinti wa leo

Mabinti wa leo

Wanapenda kula na kunywa,
Siku zinaenda wanaume kama mabinti,
Ninaposema wanaume si maanishi wote,
Ila wale wenye tabia kama za mabinti!!

Ha ha ha!!! Sio wimbo wangu huo!!
Habari yake Michelle mama!!

sijambo my dear sisy,namshukuru Mungu ni mwema!!
 
mkuu pamoja sana............!
kweli tupu....................!
sio wote, lkn asilimia kubwa ndivyo walivyo kabisa........................!
usitishwe na makelele mkuu..............!
Hii thread imesaidia kuona upande mwingine wa sarafu wa baadhi ya members niliodhani wana hekima na heshima.............!
 
Mabinti wa leo:-
1.. Hawana subira.
2.. Si wadadisi.
3.. Ni rahisi kushawishiwa,waonapo mazingira ya mali.
4.. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu.

Conclusion:
Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex inaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine.
======================================================================================
Hili linahitaji mjadala mrefu usio na jazba - ingawaje ukweli upo karibia 95%, very unfortunately!
======================================================================================

sasa mkuu kwa mtaji huo wanashambulia kama manyigu!
 
mkuu pamoja sana............!
kweli tupu....................!
sio wote, lkn asilimia kubwa ndivyo walivyo kabisa........................!
usitishwe na makelele mkuu..............!
Hii thread imesaidia kuona upande mwingine wa sarafu wa baadhi ya members niliodhani wana hekima na heshima.............!

Father unajua nakushimu sana????? Hiyo red???!!!!
 
Obuntu unajua vile navyokuheshimu na kukupenda sana (Hilo unalijua halina ubishi) pia sasa tafadhali sana tena sana hebu acha hayo mambo yako kama sina shida na hivyo kwenye red???

usitumie udelila. Hebu tumia hoja kumpinga
 
Ndo maana tumemwambia aende amwambie huyo wake ambaye yuko hivyo sio kutuchanganya kama nyanya sokoni

hivi wewe ni binti, mwanamke au mama? Kuna tofauti. Kama umeolewa halikuhusu hili. Waambie na wengine
 
Father unajua nakushimu sana????? Hiyo red???!!!!

nalifahamu hilo sweetie..............!
hapo kwenye red sina nguvu za kupaongelea naomba tupaache kwa sasa..........!
huko nilipopotelea nilikumiss sana.........................!
 
Mi no comment....mi majuto mjukuu....mi no comment, duuh
 
"I want to shoot the moon...and even if it happens that I fail, I will land among the stars" i love this signature!!!!
 
mkuu pamoja sana............!
kweli tupu....................!
sio wote, lkn asilimia kubwa ndivyo walivyo kabisa........................!
usitishwe na makelele mkuu..............!
Hii thread imesaidia kuona upande mwingine wa sarafu wa baadhi ya members niliodhani wana hekima na heshima.............!

kweli mkuu. Nasoma nacheka tu. Mti hujulikana kwa matunda yake
 
nalifahamu hilo sweetie..............!
hapo kwenye red sina nguvu za kupaongelea naomba tupaache kwa sasa..........!
huko nilipopotelea nilikumiss sana.........................!

Haya bana nimekusoma usijali my sweetie!!

Mie na wewe tena
 
Back
Top Bottom