Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake
Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana!
Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅
nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa Kenya (elewa vizuri) baba mkwe anamzalisha mke wa mwanae ili ukoo usipotee😂😂