Huyo ndie demu wako ?
We endelea kutembea na wake za watuUzi mrefu kama Amina wa Buza
Super women wanakosa hata hela ya kula??Hao wanaitwa masuper women
Kiingereza ndo shida au shida ni mimi??Prioritize yourself kaka ....fanya yako jijenge timiza malengo yako Kisha ndio uanze deal na ya watu ....
Tuendelee kusubiri mpaka tupate mwanamke alie tayari kujenga pamoja sio kubeba mbao akajenge kwake... yule anaetambua maana ya teamwork sio hizi ng'ombe zilizo Jaa ubinafsi utapeli tamaa na Kamasi kichwani
Kwahiyo hawa vijana ni punguani sio?Ukiwa na akili Timamu hauwezi ukawa na mawazo ya kutaka kufanya kitu ili umridhishe mtu (mwanamke/mwanaume) hususani kimapenzi.
Huwa nashangaa sana vijana wenzangu wanavyojitutumua ili kuwaridhsha wanawake ama kutafuta uthibitisho(seek validation) kutoka kwao, kwangu huo huwa nauona kama ni udhaifu.
Andika kiswahili tuelewe wote!! Bob Marley kafanyaje??Girls ain't nothing but trouble-Fresha Prince and DJ Jazzy Jeff.
No woman no cry- Bob Marley
Father of non!!Na wakaka wa kisasa nao vipi? Wana siha gani wakati wengi ni wanaume wa Dar na wanaopenda kulelewa na mimama?
Ndege gani?? Jamiiforums kuna matajiri kinyamaHuyo unaomwongelea bikra anayo? Kama bikra hipo hata ndege namnunulia! Shida ni kwamba hata marinda hawana!
Fatal Human SufferingSehemu zao za siri ni maficho ya magonjwa mbali mbali waliyoyapata wakati wakitafuta fedha kwa wanaume mbalimbali.
Magonjwa hayo yataku-process katika hatua mbalimbali za fatal human suffering
Dah!! Kinyaaa kabisa......Vibinti "k" zinanuka utadhani choo cha mbezi mwisho stand ya daladala! Wanatafuta maisha kwa kutumia "k". Hizo "k" zimechakatwa kwa mafuta, mate, nnnya ya nyuma inaingizwa mbele! Zimetanuliwa mdebwedo alafu akikutana na jimwanaume jinga linamwekea vigezo na masharti! Kwa "k" hipi?
Wamelala??Ngoja waamke
Well saidBinafsi naona kawa Wazazi kuna sehemu tumekosea kwenye malezi yao.
Sote tunafahamu, Kila uozo kwenye jamii asili yake ni kulega lega Kwa familia. Kama watoto watalelewa kwenye misingi mizuri, hayo mambo sio rahisi kuyaona yakitokea.
Mbona Wanawake na mabinti wa zamani ambao ndiyo mama zenu/Bibi zenu hawakuwa hivyo?
Turudi nyuma na kusimamia malezi ya watoto wetu ipasavyo
Vinginevyo tunaandaa Wake na Waume wa hovyo wa baadaye.
Kamwe usitegemee mtoto alelewa na Mama peke yake Kwa kudanga utegemee naye asije kuwa gold digger (mdangaji) akikuwa
Huwezi kupanda Mahindi shambani kwako uje utegemee kuvuna Maharage.
Tunavuna tulichopanda
Ni kweli, kadri tunavyolega lega kwenye malezi yao ndivyo tunavyofanya kesho yao kuwa yenye Giza Nene.Well said
Wazazi tujitafakari, seriously me Nina watoto wakiume, naogopa future Yao itakuwaje!!
Hii lugha sio yetu mkuu wewe huna shida kikubwa ueleweKiingereza ndo shida au shida ni mimi??
Wakikaa huko kwenye masaluni ni ujinga tu ndio wanachofundishana mwanaume ukiwa mjinga lazima uliweVijana mnapaswa mtambue kwamba wanawake wa miaka hii hasa Hawa kisasa waliopo mijini ni watu wenye tamaa sana na wengi wao wanajifanya wako too ambitious, yaani Wana malengo makubwa sana na katika malengo hayo suala la ndoa kwao sio kipaumbele kabisa.
Ukiona mwanamke yeyote wa mjini hususani jijini Dar anaolewa, basi ujue kwenye hiyo ndoa anaingia kimikakati, yaani hiyo ndoa kashachungulia na kuona kwamba ni daraja rahisi la yeye kufikia matamanio yake.
Hapa dar karibu Kila mwanamke unayemuona huko barabarani ana ndoto siku Moja awe anamiliki Nyumba Mbezi beach, awe anamiliki angalau hata magari mawili au matatu ya kutembelea, awe anamiliki Boutique kubwa ya nguo za kike na za kiume huko Sinza, awe anamiliki apartments kadhaa huko kigamboni Tena awe anapangisha wazungu, awe anamililiki mashamba na plots Kadhaa huko morogoro..... Na vyote hivi anataka viwe katika jina lake.
Sasa kutimiza haya natamanio yate kwa Juhudi zao wenyewe binafsi huwa hawawezi, kwa hiyo unakuta wanaingia kwenye multiple relationships na wanaume Kibao lengo ikiwa asaidiwe na wanaume hao kutimiza malengo hayo.... Na pale inapotokea amepata kibopa mwenye hela za kutosha basi ana anafanya haraka iwezekanavyo aolewe na kibopa huyo hili atimiziwe matamanio yake kwa haraka halafu baada ya hapo anaomba taraka.
Vijana mnatakiwa kuwa makini sana na hiki kizazi Cha wanawake wenye tamaa ya Mali na maisha ya anasa, wewe mwanaume wanakuchukulia kama daraja tu la kumfikisha kwenye nchi ya ahadi na usifikiri sijui eti wanakupenda acha ujinga
Father of all including your father and grandpa.Father of non!!