Mabinti wa siku hizi ni hatari kwa afya, wengi watapinga

Mabinti wa siku hizi ni hatari kwa afya, wengi watapinga

Huyo ndie demu wako ?

Hapana.

Huyu ni yule niliyemuacha kabla sijakutana na yule Pendo wa chamazi ambaye nilikula na rafiki yake pamoja na mamdogo wake wakati nimeshahamishia mapenzi kwa Tuma wa Vikunai ambaye hatukudumu sana maana mama yake alinikatalia mzigo baada ya kuona sms za Tuma na Mwanaidi na Tatu na Zena kwenye simu yangu ya voda na ni bahati nzuri hakuigusa ya airtel ...
 
Prioritize yourself kaka ....fanya yako jijenge timiza malengo yako Kisha ndio uanze deal na ya watu ....

Tuendelee kusubiri mpaka tupate mwanamke alie tayari kujenga pamoja sio kubeba mbao akajenge kwake... yule anaetambua maana ya teamwork sio hizi ng'ombe zilizo Jaa ubinafsi utapeli tamaa na Kamasi kichwani
Kiingereza ndo shida au shida ni mimi??
 
Ukiwa na akili Timamu hauwezi ukawa na mawazo ya kutaka kufanya kitu ili umridhishe mtu (mwanamke/mwanaume) hususani kimapenzi.
Huwa nashangaa sana vijana wenzangu wanavyojitutumua ili kuwaridhsha wanawake ama kutafuta uthibitisho(seek validation) kutoka kwao, kwangu huo huwa nauona kama ni udhaifu.
Kwahiyo hawa vijana ni punguani sio?
 
Vibinti "k" zinanuka utadhani choo cha mbezi mwisho stand ya daladala! Wanatafuta maisha kwa kutumia "k". Hizo "k" zimechakatwa kwa mafuta, mate, nnnya ya nyuma inaingizwa mbele! Zimetanuliwa mdebwedo alafu akikutana na jimwanaume jinga linamwekea vigezo na masharti! Kwa "k" hipi?
Dah!! Kinyaaa kabisa......
 
Shida mkuu hata matarajio yao kuridhishwa kingono huongezeka kila siku...

Utasikia jaribu kutumia mkongo, mara mbona zamani ulikua na uwezo...

Kiufupi sisi wanaume ndio tunaochezewa na wanawake, ila kuna mentality kwamba wanaume ndio tunawachezea wanawake sijui kwanini,,,,? 🤔🤔
 
Binafsi naona kawa Wazazi kuna sehemu tumekosea kwenye malezi yao.

Sote tunafahamu, Kila uozo kwenye jamii asili yake ni kulega lega Kwa familia. Kama watoto watalelewa kwenye misingi mizuri, hayo mambo sio rahisi kuyaona yakitokea.

Mbona Wanawake na mabinti wa zamani ambao ndiyo mama zenu/Bibi zenu hawakuwa hivyo?

Turudi nyuma na kusimamia malezi ya watoto wetu ipasavyo

Vinginevyo tunaandaa Wake na Waume wa hovyo wa baadaye.

Kamwe usitegemee mtoto alelewa na Mama peke yake Kwa kudanga utegemee naye asije kuwa gold digger (mdangaji) akikuwa

Huwezi kupanda Mahindi shambani kwako uje utegemee kuvuna Maharage.

Tunavuna tulichopanda
Well said
Wazazi tujitafakari, seriously me Nina watoto wakiume, naogopa future Yao itakuwaje!!
 
Vijana mnapaswa mtambue kwamba wanawake wa miaka hii hasa Hawa kisasa waliopo mijini ni watu wenye tamaa sana na wengi wao wanajifanya wako too ambitious, yaani Wana malengo makubwa sana na katika malengo hayo suala la ndoa kwao sio kipaumbele kabisa.

Ukiona mwanamke yeyote wa mjini hususani jijini Dar anaolewa, basi ujue kwenye hiyo ndoa anaingia kimikakati, yaani hiyo ndoa kashachungulia na kuona kwamba ni daraja rahisi la yeye kufikia matamanio yake.

Hapa dar karibu Kila mwanamke unayemuona huko barabarani ana ndoto siku Moja awe anamiliki Nyumba Mbezi beach, awe anamiliki angalau hata magari mawili au matatu ya kutembelea, awe anamiliki Boutique kubwa ya nguo za kike na za kiume huko Sinza, awe anamiliki apartments kadhaa huko kigamboni Tena awe anapangisha wazungu, awe anamililiki mashamba na plots Kadhaa huko morogoro..... Na vyote hivi anataka viwe katika jina lake.

Sasa kutimiza haya natamanio yate kwa Juhudi zao wenyewe binafsi huwa hawawezi, kwa hiyo unakuta wanaingia kwenye multiple relationships na wanaume Kibao lengo ikiwa asaidiwe na wanaume hao kutimiza malengo hayo.... Na pale inapotokea amepata kibopa mwenye hela za kutosha basi ana anafanya haraka iwezekanavyo aolewe na kibopa huyo hili atimiziwe matamanio yake kwa haraka halafu baada ya hapo anaomba taraka.

Vijana mnatakiwa kuwa makini sana na hiki kizazi Cha wanawake wenye tamaa ya Mali na maisha ya anasa, wewe mwanaume wanakuchukulia kama daraja tu la kumfikisha kwenye nchi ya ahadi na usifikiri sijui eti wanakupenda acha ujinga
 
Wakikaa huko kwenye masaluni ni ujinga tu ndio wanachofundishana mwanaume ukiwa mjinga lazima uliwe
 
Back
Top Bottom