Mabinti wanaomaliza vyuo na kurudi nyumbani wananyanyapaliwa sana na wazazi kuliko vijana wa kiume

Hakuna mzazi mwenye akili timamu anayeweza akamnyanyapa mwanae eti kwasababu amekosa kazi ..nakataa utakuwa umetunga tu

Japo halii hii huwa inawaumiza zaidi kwasababu amekusomesha akiwa na matumaini nawe ipo siku utakuwa msaada hapo nyumbani ..

Ndo hapa binti anakuja kuolewa na mwanaume ambae hajampenda Ila anaolewa kwasababu amechoka kukaa home.
 
Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.

Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.

Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.

Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.

Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.

Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Una uhakika kuwa hao mabinti wana adabu kwa wazazi wao?
Uzoefu unaonesha kuwa binti akiwa na adabu na msikivu, anaweza kuishi nyumbani hata awe na miaka 45.
 
Watoto wa kike wanataka kuiishi kivyuo nyumbani (kizungu) ata kupika hayapiki, usafi hayafanyi kulala tu wakati wote ,wengi hawaambiliki ata kwa Kaka zao majibu ya short tu, 24hrs charting.

Unategemea hutofukuzwa , wasiishi kama Mfalume na Malikia ingali Baba na Mama wapo ndo wenye vyeo hivyo.
 
Hebu fanya kuweka mawasiliano ya hao wawili, kuna vikazi kibao vya kujiskiza hii dar.

Ni ajabu binti kusema hana kazi dar ni ajabu mno, mabinti wanaajirika sana kwenye sekta nyingi.

Ujue mzazi anamchoka kwakua ni kula kulala, at 25yrs kua kula kulala haipendezi aisee.
Ajishkize hata kwenye shughuli yoyote walau awe anatoka asubuhi na kurudi jioni, atapata tu akili ya kusepa.

Sisi ndo tubadili mindset, ila kuwalaumu hao wazazi ni kazi bure.

Niko single, niunganishe na mmoja wapo nipate jiko mie. #joke
Umeandika upumbavu
 
Umaskini ni fedheha. Wazazi wa kiafrika ni shida. Ukihoji unatishiwa kulaaniwa. Wazazi wengi wanawatendea vibaya watoto wao ambao bado hawajajipata kiuchumi. Mtoto aliye vizuri kifedha huheshimiwa na kusikilizwa. Watoto ambao bado hawana kazi wanapitia mengi sana kutokana na upuuzi wa wazazi. Jamii nayo huishia kusema mzazi hakosei. Mimi ninashauri kama watu wazae kwa mpango kuliko kuleta duniani watoto watakaokuja kuishi kifukara. Na kama wewe bado ni maskini sana tumia condom au jiunge CHAPUTA.
 
Wazazi ndio wa hovyo ,inakuwaje uzae mwenyewe baadae unatarajia awe na pesa ...Ishu ya kunyanyaswa ni serious maana kuna binti niliongea nae ila kasoma cheti tu .

Baadae alianza kuletewa kasumba za kuolewa na kujitegemea ,mpaka kakimbia Dar analipwa mshahara 150k kweny pharmacy tena kwa nadra ,maisha ni magumu sana kwake.
 
Umaskini ni fedheha. Wazazi wa kiafrika ni shida. Ukihoji unatishiwa kulaaniwa. Wazazi wengi wanawatendea vibaya watoto wao ambao bado hawajajipata kiuchumi. Mtoto aliye vizuri kifedha huheshimiwa na kusikilizwa. Watoto ambao bado hawana kazi wanapitia mengi sana kutokana na upuuzi wa wazazi. Jamii nayo huishia kusema mzazi hakosei. Mimi ninashauri kama watu wazae kwa mpango kuliko kuleta duniani watoto watakaokuja kuishi kifukara. Na kama wewe bado ni maskini sana tumia condom au jiunge CHAPUTA.
Matarajio makubwa kutoka kwa watoto ,kama wao ni maskini wanategemea mtoto aje kuwalisha ni ujinga.

Matajiri ndio kwanza wanakumbatia watoto wao ,ili wawe sehemu ya biashara zao wanawapenyeza kweny nafasi muhimu
 
Wazazi maskini huzaa watoto ili baadae waje kuwasaidia na sio watoto kujisaidia wao kwanza. Mtoto wa maskini na yeye huwa maskini kwa sababu badala ya kuanza kujiletea maendeleo huanza kwa kuwaletea maendeleo wazazi wake kwanza. Huwa ni mtihani sana.
 
Ndio maana madem wengi wakimaliza chuo tu wakipata bwana wanang'ang'ania uwapangie au wahamie kwako huku nnapoishi nashuhudia sio po

Huwa hawapendi kurudi mikoani kabisaaa
Mzee hizo shuhuda si za wazazi maskini wa Dar jamaa kasema au hujui kusoma. Mnajifanyaga wajanja nyie maskini wa Dar na kila kitu kututupia wa Mikoani.
 
Watoto wa kike wanataka kuiishi kivyuo nyumbani (kizungu) ata kupika hayapiki, usafi hayafanyi kulala tu wakati wote ,wengi hawaambiliki ata kwa Kaka zao majibu ya short tu, 24hrs charting.

Unategemea hutofukuzwa , wasiishi kama Mfalume na Malikia ingali Baba na Mama wapo ndo wenye vyeo hivyo.
Ni sahihi, maosha ya maigizo ndio chanzo cha hayo yote.
 
Acha tu! Mi nishaambiwa nina laana ndio maana sifanikiwi kila nikifanyacho ...maneno haya niliambiwa na mama yangu mzazi niliporudisha mpira kwa kipa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kuna mzazi alishamtamkia haya maneno mwanae baada ya kukaa zaidi ya miaka 5 bila kazi ya kueleweka, Mungu si John baptist sasa ni mtumishi wa umma nafasi nzuri Tu, hiyo huyo mzazi wake full praises on him kama si yeye aliyekuwa kutwa akimsema si chochote, si lolote mpaka kwa majirani. Tuwasamehe tu wazazi wetu wanaopitia frustrations nyingi......
 
Watu weusi bado Sana .

Watu wasipojifunza kuishi kwa kushirikiana basi maisha kwao yataendelea kuwa Magumu Sana tena Sana.

Njaa hasa za chakula ndo zinawasumbua plus umasikini wa fikra na roho.

Watoto wa kike wengi hawajitambui wapo emotional driven hisia zinawaongoza na sio wao kuongoza hisia.

Hivyo watoto wa kike Kama una hasira huwezi kuishi naye maana mtagombana Sana.

Ikiwa kweli MTU umesoma na umeelimika huwezi kushindwa kuwacontrol wazazi wako

Hapo tatizo lipo kwa hao watoto wa kike na sio wazazi na wakiendelea kulalamika hawatafanikiwa .

Wazingatie kutafuta positive katika kila negative wakae mbali na hesabu za ubaya, hila na chuki.
 
Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.

Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.

Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.

Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.

Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.

Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Hata kuku akishaona vifaranga wamekua kiasi cha kumudu kujitegemea kwa kujitafutia wenyewe msosi anawadonoa kichwani wasepe wakakamate panzi.
 
Hujaelezea vizuri.

Ni kwasababu wazazi wanataka mabinti waolewe haraka au?
Ni human nature, ni rahisi mzazi kukaa na kijana wa kiume ambaye hajaoa kuliko kukaa na binti ambaye hajaolewa, yani ndani ya moyo anakuwa anakuona kama mzembe, akiwaza mpaka sasa binti hujaolewa anaona kama problem is you, kwa nn usipate mwanaume?

Hiyo ni nafsi yake inamuambia ivo.
 
Back
Top Bottom