Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Una uhakika kuwa hao mabinti wana adabu kwa wazazi wao?Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.
Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.
Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.
Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.
Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Naunga mkono hoja!!!Hili kama sio tangazo, basi ni mtego
Umeandika upumbavuHebu fanya kuweka mawasiliano ya hao wawili, kuna vikazi kibao vya kujiskiza hii dar.
Ni ajabu binti kusema hana kazi dar ni ajabu mno, mabinti wanaajirika sana kwenye sekta nyingi.
Ujue mzazi anamchoka kwakua ni kula kulala, at 25yrs kua kula kulala haipendezi aisee.
Ajishkize hata kwenye shughuli yoyote walau awe anatoka asubuhi na kurudi jioni, atapata tu akili ya kusepa.
Sisi ndo tubadili mindset, ila kuwalaumu hao wazazi ni kazi bure.
Niko single, niunganishe na mmoja wapo nipate jiko mie. #joke
Matarajio makubwa kutoka kwa watoto ,kama wao ni maskini wanategemea mtoto aje kuwalisha ni ujinga.Umaskini ni fedheha. Wazazi wa kiafrika ni shida. Ukihoji unatishiwa kulaaniwa. Wazazi wengi wanawatendea vibaya watoto wao ambao bado hawajajipata kiuchumi. Mtoto aliye vizuri kifedha huheshimiwa na kusikilizwa. Watoto ambao bado hawana kazi wanapitia mengi sana kutokana na upuuzi wa wazazi. Jamii nayo huishia kusema mzazi hakosei. Mimi ninashauri kama watu wazae kwa mpango kuliko kuleta duniani watoto watakaokuja kuishi kifukara. Na kama wewe bado ni maskini sana tumia condom au jiunge CHAPUTA.
π€£π€£π€£π€£Tatizo ni umaskini. Watu mnajua mna uwezo wa mtoto mmoja nyie mnaleta watatu. Wengine hamtakiwi hata kuingia kwenye ndoa hadi vipato vyenu vianze kuwa sawa lakini tayari mna watoto wanne.
Wazazi maskini huzaa watoto ili baadae waje kuwasaidia na sio watoto kujisaidia wao kwanza. Mtoto wa maskini na yeye huwa maskini kwa sababu badala ya kuanza kujiletea maendeleo huanza kwa kuwaletea maendeleo wazazi wake kwanza. Huwa ni mtihani sana.Matarajio makubwa kutoka kwa watoto ,kama wao ni maskini wanategemea mtoto aje kuwalisha ni ujinga.
Matajiri ndio kwanza wanakumbatia watoto wao ,ili wawe sehemu ya biashara zao wanawapenyeza kweny nafasi muhimu
Mzee hizo shuhuda si za wazazi maskini wa Dar jamaa kasema au hujui kusoma. Mnajifanyaga wajanja nyie maskini wa Dar na kila kitu kututupia wa Mikoani.Ndio maana madem wengi wakimaliza chuo tu wakipata bwana wanang'ang'ania uwapangie au wahamie kwako huku nnapoishi nashuhudia sio po
Huwa hawapendi kurudi mikoani kabisaaa
Ni sahihi, maosha ya maigizo ndio chanzo cha hayo yote.Watoto wa kike wanataka kuiishi kivyuo nyumbani (kizungu) ata kupika hayapiki, usafi hayafanyi kulala tu wakati wote ,wengi hawaambiliki ata kwa Kaka zao majibu ya short tu, 24hrs charting.
Unategemea hutofukuzwa , wasiishi kama Mfalume na Malikia ingali Baba na Mama wapo ndo wenye vyeo hivyo.
Kuna mzazi alishamtamkia haya maneno mwanae baada ya kukaa zaidi ya miaka 5 bila kazi ya kueleweka, Mungu si John baptist sasa ni mtumishi wa umma nafasi nzuri Tu, hiyo huyo mzazi wake full praises on him kama si yeye aliyekuwa kutwa akimsema si chochote, si lolote mpaka kwa majirani. Tuwasamehe tu wazazi wetu wanaopitia frustrations nyingi......Acha tu! Mi nishaambiwa nina laana ndio maana sifanikiwi kila nikifanyacho ...maneno haya niliambiwa na mama yangu mzazi niliporudisha mpira kwa kipa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hongera, wakianza tu unitafute junior wangu wa 835πnashukuru Mungu sinyanyapaliwi kwetu ndo kwanza nanenepa mieπππ
Hata kuku akishaona vifaranga wamekua kiasi cha kumudu kujitegemea kwa kujitafutia wenyewe msosi anawadonoa kichwani wasepe wakakamate panzi.Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.
Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.
Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.
Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.
Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Ni human nature, ni rahisi mzazi kukaa na kijana wa kiume ambaye hajaoa kuliko kukaa na binti ambaye hajaolewa, yani ndani ya moyo anakuwa anakuona kama mzembe, akiwaza mpaka sasa binti hujaolewa anaona kama problem is you, kwa nn usipate mwanaume?Hujaelezea vizuri.
Ni kwasababu wazazi wanataka mabinti waolewe haraka au?