Kundi kubwa ni kutokana sababu kuu mbilinaona kundi ni kubwa mno nyakati hizi sawa na wasaka ajira tu
Elimu ya kutunza au kuwa na nidhamu ya fedha hasa kwa wahindi na waarabu, wanafundishwa wakiwa wadogo, ndio maana huku mbeleni wanakuwa na nidhamu kubwa upande wa fedha.Angalia ni kundi lipi lenye unafuu
Ni Wanaume wachache wenye familia zao (Ndoa) ambao hawajitambui
Haya mambo ya wazungu tu wametuletea yakatutoa ufahamu na kufanya ndio standard ya maisha ya mtu mweusi, huwezi kuamini watu hata wawe na pesa kiasi gani na elimu ya juu kiasi gani bado wanaamini wasipoa au kuolewa wamefeli maisha kibongobongo 😛 😛Bora niamini nisichokijua kuliko ndoa trust me ndoa ni scum inaleta stress n kupunguza maisha ya watu kuish Kwa hekaheka zisizoeleweka magonjwa ya kujitakia yaan ndoa kichefuchefu
Hiyo kawaida sana ni wengi tu tena ...Wakina jokate na kuanzia hapo wana feelings zile zile kama aliyezaa na miaka 18 ...mkuu kuna wanawake kadhaa nawajua wamezaa wakiwa kwenye 30 za mwisho na 40
huwa ni madawa yanatumika au kuna namna?
Ni kweli ila kwa sasa hasara ni nyingi kuliko faida, labda mfumo dume urudi , kwa sababu ndoa na mfumo dume ni kama maji na samaki🤔Pamoja na changamoto hizo, bado Ndoa ina umuhimu sana Kwa mustakabali wa Vizazi vyetu
Msingi wa hayo yote ni familiaElimu ya kutunza au kuwa na nidhamu ya fedha hasa kwa wahindi na waarabu, wanafundishwa wakiwa wadogo, ndio maana huku mbeleni wanakuwa na nidhamu kubwa upande wa fedha.
Sasa ww huna nidhamu ya fedha,halafu utegemee ndoa ikupe hiyo nidhamu, unajidanganya kwani tabia ulizokuwa nazo kabla ya ndoa ndizo hizo hizo utaingia nazo kwenye ndoa.
Hakika ,naona binadamu tunapeana hofu sana ...Haya mambo hayana formula lolote linaweza kutokea.Nkimaliza kuwasimanga mkumbuke hili: kila mtu alozaliwa kwa wakati tofauti na ndivyo hivyo hata rizq za ndoa, mali na pesa zinavyokuja tofauti.
Pili; target ya kila mzazi pindi anavyolea mtoto wakike hakuna anayetaman mwanaye azaliye nyumbani , kisa kakosa mume huo uduwanzi haupo
MAISHA NI MAGUMU KISORO ACHENI WATU WAPAMBANE WAPATE KILE WANACHOTAMANI.
Lakini swala nidhamu ya fedha wenzetu wanafundishwa wakiwa wadogo, hajalishi yupo ndani ya ndoa au laah.Msingi wa hayo yote ni familia
Family background ina matter sana Bro
Hao Wahindi wamelelewa kwenye familia zilizo imara(Ndoa)
Hakika umesema vyemaNkimaliza kuwasimanga mkumbuke hili: kila mtu alozaliwa kwa wakati tofauti na ndivyo hivyo hata rizq za ndoa, mali na pesa zinavyokuja tofauti.
Pili; target ya kila mzazi pindi anavyolea mtoto wakike hakuna anayetaman mwanaye azaliye nyumbani , kisa kakosa mume huo uduwanzi haupo
MAISHA NI MAGUMU KISORO ACHENI WATU WAPAMBANE WAPATE KILE WANACHOTAMANI.
Hakuna binti anayeweza akawa bikra asiolewe, jamani waambieni mabinti wajitunze ndio thamani, hakuna mwanaume anayependa kugusa mwili ulioguswa na wanaume mia kidogo, wewe kuwa bikra hata mahari unavyotaka utatolewa tu no matter what.Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
naskia huruma sana.
Mungu Ibariki Tanzania
Hizi kanuni ndugu yangu hazifanyi kazi kabisa kwa maisha ya sasa ,kuzaa lazima uwe tayari na unajua kabisa...Mfano : Mtu ambaye hana mtoto wala ndoa kosa lake liko wapi?Gentleman,
hapo kwenye final, eti utakufa na kuacha kila kitu ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana,
ni muhimu sana kuzaa ikiwa una afya nzuri ya uzazi na kiakili pia, ili hatimae basi pawepo watakao kuzika ikiwa kufa ndio jambo la maana zaidi 🐒
Acha kabisaKumbe na wewe ni mwanachama [emoji1787][emoji1787] safi sana
Msingi wa hayo yote ni familia
Family background ina matter sana Bro
Hao Wahindi wamelelewa kwenye familia zilizo imara(Ndoa)
Safi sana kwa mwongozo huu. Kuna faida nyingi ya kuwa na ndoa.Ndoa ina faida nyingi kwa wanandoa, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya faida kuu za ndoa:
1. Upendo na Ushirikiano
Ndoa huleta mshikamano wa kihisia na kiroho kati ya wanandoa.
Hutoa fursa ya kushirikiana katika changamoto na mafanikio ya maisha.
2. Msaada wa Kihisia na Kijamii
Wanandoa wanapata faraja, ushauri, na msaada wakati wa shida.
Huongeza furaha na kupunguza upweke.
3. Ujenzi wa Familia Imara
Ndoa huleta utulivu wa kifamilia, muhimu kwa malezi bora ya watoto.
Watoto hukua katika mazingira yenye upendo na maadili mazuri.
4. Faida za Kiafya
Tafiti zinaonyesha kuwa watu walio kwenye ndoa mara nyingi huishi maisha marefu na yenye afya bora.
Kupata mwenza wa kushirikiana naye huweza kupunguza mfadhaiko na msongo wa mawazo.
5. Ustawi wa Kifedha
Wanandoa hushirikiana katika kupanga na kutumia rasilimali zao kwa ufanisi zaidi.
Uwezo wa kuwekeza pamoja na kujenga maisha bora ya kifamilia huongezeka.
6. Uimarishaji wa Maadili
Ndoa husaidia kudumisha maadili na desturi za kijamii.
Hupunguza tabia hatarishi kama uzinzi na uasherati.
7. Baraka za Kiroho
Katika dini nyingi, ndoa inachukuliwa kama ibada au agano takatifu linaloleta baraka.
Huimarisha imani na kumfanya mtu aishi kwa maadili mema.
Kwa ujumla, ndoa ni taasisi muhimu inayochangia ustawi wa mtu binafsi, familia, na jamii kwa ujumla.
Kama Mungu hajakujaalia kuzaa, unafanyaje?Ndo wazae sasa. Mambo ya kuzeeka huna wa kukukumbusha kumeza dawa za presha hakuna anayetaka.
vichocheo vya kimwili vinawawafosi mabinti wengi kushindwa kujizuia na kuhimili vishindo vya hisia za kimwili kutokana na sayansi na technolojia, wanajikuta wanajiingiza kwenye mapenzi mapema kuliko kawaida 🐒Hakuna binti anayeweza akawa bikra asiolewe, jamani waambieni mabinti wajitunze ndio thamani, hakuna mwanaume anayependa kugusa mwili ulioguswa na wanaume mia kidogo, wewe kuwa bikra hata mahari unavyotaka utatolewa tu no matter what.
Kama bikra sio dili basi hakuna haja ya mwanaume kuwa na hela ndio aoe. Yaani life ni trading kukubali ukatae, unapewa matunzo na wewe unatoa mwili safi kabisa kimalaika, watu hawajui effects za bikra, why Gadafi alikuwa analindwa na mabikra ndio walikuwa bodigadi wake
Jidanganye mkuu😁😁 Elon umatumbi wake upo wapi?Elon musk si mzulu wa hapo kwa madiba gentleman,
kwao ni kijijini mno ndrani ndrani huko Africa Kusini, afadhalli hata wewe mmatumbi wa goba unaenjoy 🐒