Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 sasa basi aelekeze nguvu zake ktk kutatua kero za maji na gloves 🤣🤣 mambo ya mimba aachane nayoHahaha............mtoa mada ana stress gani wakati ni Mhe. Mbunge wa Jimbo Moja wapo Tanzania Bara 😜
Kataa ndoa 😂Tuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa
Haipendezi kukuta movement za Vijana wetu wa kiume kukataa Ndoa
Unadhani bila Vijana wa kiume kuwa willingly Kuoa, hao mabinti wataolewa na nani?
Tupige vita movement ya Vijana wa kiume Kukataa Ndoa
dah ume nichekesha Sana 😆 🤣dah,
kucheka natamani ila naskia huruma sana gentleman,
sawa bana nimekuelewa![]()
hebu mfikishe kwangu tumuone😊🦅Gentleman 😊 nakusalimia...pia Asante Sanaa kwa mada nzurii..yupo mmoja ana ELIMU nzurii... biashara zake nzurii.... alinambia Dr am 4 real PhD yaan sitaki kuamini nazeekea nyumbani.
Akaendelea sina mume, sina mtoto,umri unaenda acha TU sijui kakosea wapi.
Hapa nakupinga mkuu, site wengine kila shilingi Ina faida kubwa.Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa
Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000
Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia
Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari
Jaribu kupima hayo
gentleman,gentleman,
usinichochee kucheka bas aise, dah🐒
Mchaga wa machame.hebu mfikishe kwangu tumuone😊🦅
Lakini ni wachache wenye hiyo mentality yakoHapa nakupinga mkuu, site wengine kila shilingi Ina faida kubwa.
niki weka picha ya kopo la shilingi zangu, una weza usi amini🤣😆
Sio ukoje....ni mzembe kwani haujui kutumia condom?Inasikitisha sana ila mimi sijui nikoje, yani kila mwanamke nnaelala nae lazima apate mimba.
Ningekua na hela za kutosha ningefungua kashule ka watoto wangu
Kuliko nivae condom bora nipige kunyetoSio ukoje....ni mzembe kwani haujui kutumia condom?
Bila shaka mada imekupiga kwenye mshono. Anyway, kama unataka mada za masuala ya uchumi izo zina jukwaa lakeIla watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Mshana Jr eti Kuna Demu mmachame, Wana lengo gani na mimi 😂 😂Mchaga wa machame.
Huyu aki kuta mi bahili, ana weza nita nguliza ili ale mbuzi wetu vizuri😂Jipakulie minyama Ila ule kwa tahadhari🤣
Ana miaka mingap?Gentleman 😊 nakusalimia...pia Asante Sanaa kwa mada nzurii..yupo mmoja ana ELIMU nzurii... biashara zake nzurii.... alinambia Dr am 4 real PhD yaan sitaki kuamini nazeekea nyumbani.
Akaendelea sina mume, sina mtoto,umri unaenda acha TU sijui kakosea wapi.