Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

 
Hahaha............mtoa mada ana stress gani wakati ni Mhe. Mbunge wa Jimbo Moja wapo Tanzania Bara 😜
🤣🤣🤣 sasa basi aelekeze nguvu zake ktk kutatua kero za maji na gloves 🤣🤣 mambo ya mimba aachane nayo
 
Yani 30-35 unawaita mabinti?hao si ni maajuza kabisa?
 
Tuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa

Haipendezi kukuta movement za Vijana wetu wa kiume kukataa Ndoa

Unadhani bila Vijana wa kiume kuwa willingly Kuoa, hao mabinti wataolewa na nani?

Tupige vita movement ya Vijana wa kiume Kukataa Ndoa
Kataa ndoa 😂
FB_IMG_17387810277890482.jpg
 
Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa

Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000

Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia

Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari

Jaribu kupima hayo
Hapa nakupinga mkuu, site wengine kila shilingi Ina faida kubwa.

niki weka picha ya kopo la shilingi zangu, una weza usi amini🤣😆
 
Hapa nakupinga mkuu, site wengine kila shilingi Ina faida kubwa.

niki weka picha ya kopo la shilingi zangu, una weza usi amini🤣😆
Lakini ni wachache wenye hiyo mentality yako

Wengine hadi ikitokea anaugua inabidi achangiwe hadi hela ya sindano 🙌
 
Inasikitisha sana ila mimi sijui nikoje, yani kila mwanamke nnaelala nae lazima apate mimba.
Ningekua na hela za kutosha ningefungua kashule ka watoto wangu
Sio ukoje....ni mzembe kwani haujui kutumia condom?
 
Kwa huo umri mwili wa mwanamke unakua umeshuka ufanisi katika kushika mimba, vile vile umri huo K inasoma mileage nyingi sana, body count kubwa inakuja na uwezekano mkubwa wa mimba zisitotarajiwa kitu kinachopelekea kufanya abortions mara kwa mara ambazo zinaalibu kizazi
 
Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.

Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Bila shaka mada imekupiga kwenye mshono. Anyway, kama unataka mada za masuala ya uchumi izo zina jukwaa lake
 
Back
Top Bottom