Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Wewe mzee ni muongo sana
Uongo wangu ni upi Mkuu, Wazee hatujui kusema uongo ujue 🤗

Vipi umechagua Kuoa ama timu Kataa Ndoa?

Oneeni huruma mabinti zetu huku mtaani, wapeni stiri kama vitabu vya Imani zetu zinavyotuongoza

Kumbukeni, Punyeto ni dhambi mjue 😜
 
🤣🤣🤣Na sisi hatuwatak vijana wasiojielewa Babu Tena hasa Hao kataa ndoa na tutaolewa na wanaume walioimarika kiakili
 
🤣🤣🤣Na sisi hatuwatak vijana wasiojielewa Babu Tena hasa Hao kataa ndoa na tutaolewa na wanaume walioimarika kiakili
Hili ni la muhimu sana Mjukuu

Wakati wa Mungu ndiyo wakati sahihi

Never hurry
 
Ndoa na financial literacy havina uhusiano mkuu? Unaweza kulelewa kwenye familia bora sana na ukawa mbumbumbu tu hamna formula, taja weusi wenye elimu ya fedha kwa kuwa tu wana hiyo family background unayosema na sio factor ingine?
Wapo Mkuu, angalia familia ya Mzee Mengi, Ndesamburo, Mzee Rugemarila hata Mo dewji
 
Wapo Mkuu, angalia familia ya Mzee Mengi, Ndesamburo, Mzee Rugemarila hata Mo dewji (mhindi)
Hawajawa na literacy kwa sababu ya ndoa bora but kwa kuelimishwa na kupelekwa shule kikamilifu. Katika watu wenye ndoa bora na mzee Mengi (RIP) unamuhesabu? Kateseka maisha yake yote akaja kupumzishwa uzeeni wakati pia anachunwa? Nilimsikia kwa sauti yake akisema ninanukuu "ninashukuru sana kumpata huyu binti angalau nakula chakula kilichopikwa nyumbani baada ya makumi ya miaka"
 
Nkimaliza kuwasimanga mkumbuke hili: kila mtu alozaliwa kwa wakati tofauti na ndivyo hivyo hata rizq za ndoa, mali na pesa zinavyokuja tofauti.
Pili; target ya kila mzazi pindi anavyolea mtoto wakike hakuna anayetaman mwanaye azaliye nyumbani , kisa kakosa mume huo uduwanzi haupo
MAISHA NI MAGUMU KISORO ACHENI WATU WAPAMBANE WAPATE KILE WANACHOTAMANI.
Uzi uishie hapa!
 
Kabisa Cha ajabu wenye watoto na walioolewa ndio wanawapa stress walio Bado Kwa maswali wee km una watoto kwann asitulie alee wanae Huwa najiuliza mtu kutokuwa na mtoto inamuathiri vipi ambae anao watatu
Binadamu baadhi wana roho mbaya so kwa kuuliza maswali kama hayo wanafarijika ndani ya mioyo yao.
 
Hawajawa na literacy kwa sababu ya ndoa bora but kwa kuelimishwa na kupelekwa shule kikamilifu. Katika watu wenye ndoa bora na mzee Mengi (RIP) unamuhesabu? Kateseka maisha yake yote akaja kupumzishwa uzeeni wakati pia anachunwa? Nilimsikia kwa sauti yake akisema ninanukuu "ninashukuru sana kumpata huyu binti angalau nakula chakula kilichopikwa nyumbani baada ya makumi ya miaka"
Usikariri habari za mtandaoni alizokuwa anaandika yule Mama wawili baada ya kuchukua nywila (password) ya Marehemu Mzee Mengi.

Soma Kitabu chake cha "I must, I will, I can" utapata ujumbe mzima

Familia ndiyo msingi wa wale watoto kufanya vizuri kwenye biashara na usimamizi wa Mali Kwa ujumla
 
Back
Top Bottom