Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Uongo wangu ni upi Mkuu, Wazee hatujui kusema uongo ujue 🤗Wewe mzee ni muongo sana
Vipi umechagua Kuoa ama timu Kataa Ndoa?
Oneeni huruma mabinti zetu huku mtaani, wapeni stiri kama vitabu vya Imani zetu zinavyotuongoza
Kumbukeni, Punyeto ni dhambi mjue 😜