Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

naona kundi ni kubwa mno nyakati hizi sawa na wasaka ajira tu:pulpTRAVOLTA:
Kundi kubwa ni kutokana sababu kuu mbili
1.Uwazi,Sasa watu wanaongea matatizo Yao
2.Ongezeko la watu lazima tatizo likitokea lionekane kubwa
3.Njia za kupata taarifa zimekuwa nyingi (social media) hivyo watu wanaona Kila siku
 
Angalia ni kundi lipi lenye unafuu

Ni Wanaume wachache wenye familia zao (Ndoa) ambao hawajitambui
Elimu ya kutunza au kuwa na nidhamu ya fedha hasa kwa wahindi na waarabu, wanafundishwa wakiwa wadogo, ndio maana huku mbeleni wanakuwa na nidhamu kubwa upande wa fedha.

Sasa ww huna nidhamu ya fedha,halafu utegemee ndoa ikupe hiyo nidhamu, unajidanganya kwani tabia ulizokuwa nazo kabla ya ndoa ndizo hizo hizo utaingia nazo kwenye ndoa.
 
Bora niamini nisichokijua kuliko ndoa trust me ndoa ni scum inaleta stress n kupunguza maisha ya watu kuish Kwa hekaheka zisizoeleweka magonjwa ya kujitakia yaan ndoa kichefuchefu
Haya mambo ya wazungu tu wametuletea yakatutoa ufahamu na kufanya ndio standard ya maisha ya mtu mweusi, huwezi kuamini watu hata wawe na pesa kiasi gani na elimu ya juu kiasi gani bado wanaamini wasipoa au kuolewa wamefeli maisha kibongobongo 😛 😛
 
mkuu kuna wanawake kadhaa nawajua wamezaa wakiwa kwenye 30 za mwisho na 40

huwa ni madawa yanatumika au kuna namna?
Hiyo kawaida sana ni wengi tu tena ...Wakina jokate na kuanzia hapo wana feelings zile zile kama aliyezaa na miaka 18 ...

Mwisho wa siku mtu ukipata mtoto ,ukaonja karaha za malezi unaona ni yale yale hamna jipya.
 
Elimu ya kutunza au kuwa na nidhamu ya fedha hasa kwa wahindi na waarabu, wanafundishwa wakiwa wadogo, ndio maana huku mbeleni wanakuwa na nidhamu kubwa upande wa fedha.

Sasa ww huna nidhamu ya fedha,halafu utegemee ndoa ikupe hiyo nidhamu, unajidanganya kwani tabia ulizokuwa nazo kabla ya ndoa ndizo hizo hizo utaingia nazo kwenye ndoa.
Msingi wa hayo yote ni familia

Family background ina matter sana Bro

Hao Wahindi wamelelewa kwenye familia zilizo imara(Ndoa)
 
Yani Elon aone huu mjadala wa sisi wamatumbi ahuzunike ?😁😁😁
Elon musk si mzulu wa hapo kwa madiba gentleman,

kwao ni kijijini mno ndrani ndrani huko Africa Kusini, afadhalli hata wewe mmatumbi wa goba unaenjoy 🐒
 
Nkimaliza kuwasimanga mkumbuke hili: kila mtu alozaliwa kwa wakati tofauti na ndivyo hivyo hata rizq za ndoa, mali na pesa zinavyokuja tofauti.
Pili; target ya kila mzazi pindi anavyolea mtoto wakike hakuna anayetaman mwanaye azaliye nyumbani , kisa kakosa mume huo uduwanzi haupo
MAISHA NI MAGUMU KISORO ACHENI WATU WAPAMBANE WAPATE KILE WANACHOTAMANI.
Hakika ,naona binadamu tunapeana hofu sana ...Haya mambo hayana formula lolote linaweza kutokea.
 
Msingi wa hayo yote ni familia

Family background ina matter sana Bro

Hao Wahindi wamelelewa kwenye familia zilizo imara(Ndoa)
Lakini swala nidhamu ya fedha wenzetu wanafundishwa wakiwa wadogo, hajalishi yupo ndani ya ndoa au laah.
 
Nkimaliza kuwasimanga mkumbuke hili: kila mtu alozaliwa kwa wakati tofauti na ndivyo hivyo hata rizq za ndoa, mali na pesa zinavyokuja tofauti.
Pili; target ya kila mzazi pindi anavyolea mtoto wakike hakuna anayetaman mwanaye azaliye nyumbani , kisa kakosa mume huo uduwanzi haupo
MAISHA NI MAGUMU KISORO ACHENI WATU WAPAMBANE WAPATE KILE WANACHOTAMANI.
Hakika umesema vyema
 
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒

naskia huruma sana.

Mungu Ibariki Tanzania
Hakuna binti anayeweza akawa bikra asiolewe, jamani waambieni mabinti wajitunze ndio thamani, hakuna mwanaume anayependa kugusa mwili ulioguswa na wanaume mia kidogo, wewe kuwa bikra hata mahari unavyotaka utatolewa tu no matter what.
Kama bikra sio dili basi hakuna haja ya mwanaume kuwa na hela ndio aoe. Yaani life ni trading kukubali ukatae, unapewa matunzo na wewe unatoa mwili safi kabisa kimalaika, watu hawajui effects za bikra, why Gadafi alikuwa analindwa na mabikra ndio walikuwa bodigadi wake
 
Gentleman,
hapo kwenye final, eti utakufa na kuacha kila kitu ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana,

ni muhimu sana kuzaa ikiwa una afya nzuri ya uzazi na kiakili pia, ili hatimae basi pawepo watakao kuzika ikiwa kufa ndio jambo la maana zaidi 🐒
Hizi kanuni ndugu yangu hazifanyi kazi kabisa kwa maisha ya sasa ,kuzaa lazima uwe tayari na unajua kabisa...Mfano : Mtu ambaye hana mtoto wala ndoa kosa lake liko wapi?

Kuzaa kuna hasara pia kwa sababu ya matarajio mengi juu ya mtoto ,hapa kitaa kuna mother ana watoto 8 ,mmoja kafiriki , wamebaku 7 wote ni hoe hae ni machungu...Wawili ni vibaka wanamlaza roho kutwa kwenda kuwatoa jela ,kingine hamna mtoto kafaulu form 4 zaidi ya wakwanza ambaye ni marehemu.

Mtoto wake wa mwisho kamzaa 2003 ,bado wanakaa kweny nyumba ya mzee kwa vile anajiweza ana mali za kutosha.
 
Kilamtu na alivokadiriwa ukiitunza na kujiheshimu hata ukiwa na umri gani utaolewa tu kikubwa subra Kuomba update mtu sahihi

wengine ndoa zimewapa kifo wengine zimewapa ulemavi wa maisha
Wengine zimefanya wameharibika nafsi Kwa chuki wengine wamepataa mental problem
 
Msingi wa hayo yote ni familia

Family background ina matter sana Bro

Hao Wahindi wamelelewa kwenye familia zilizo imara(Ndoa)

Ndoa na financial literacy havina uhusiano mkuu? Unaweza kulelewa kwenye familia bora sana na ukawa mbumbumbu tu hamna formula, taja weusi wenye elimu ya fedha kwa kuwa tu wana hiyo family background unayosema na sio factor ingine?
 
Ndoa ina faida nyingi kwa wanandoa, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya faida kuu za ndoa:

1. Upendo na Ushirikiano

Ndoa huleta mshikamano wa kihisia na kiroho kati ya wanandoa.

Hutoa fursa ya kushirikiana katika changamoto na mafanikio ya maisha.

2. Msaada wa Kihisia na Kijamii

Wanandoa wanapata faraja, ushauri, na msaada wakati wa shida.

Huongeza furaha na kupunguza upweke.

3. Ujenzi wa Familia Imara

Ndoa huleta utulivu wa kifamilia, muhimu kwa malezi bora ya watoto.

Watoto hukua katika mazingira yenye upendo na maadili mazuri.

4. Faida za Kiafya

Tafiti zinaonyesha kuwa watu walio kwenye ndoa mara nyingi huishi maisha marefu na yenye afya bora.

Kupata mwenza wa kushirikiana naye huweza kupunguza mfadhaiko na msongo wa mawazo.

5. Ustawi wa Kifedha

Wanandoa hushirikiana katika kupanga na kutumia rasilimali zao kwa ufanisi zaidi.

Uwezo wa kuwekeza pamoja na kujenga maisha bora ya kifamilia huongezeka.

6. Uimarishaji wa Maadili

Ndoa husaidia kudumisha maadili na desturi za kijamii.

Hupunguza tabia hatarishi kama uzinzi na uasherati.

7. Baraka za Kiroho

Katika dini nyingi, ndoa inachukuliwa kama ibada au agano takatifu linaloleta baraka.

Huimarisha imani na kumfanya mtu aishi kwa maadili mema.

Kwa ujumla, ndoa ni taasisi muhimu inayochangia ustawi wa mtu binafsi, familia, na jamii kwa ujumla.
Safi sana kwa mwongozo huu. Kuna faida nyingi ya kuwa na ndoa.

1. Mwanaume hupanuka kimawazo na kifikra.

2. Mwanaume humuogezea bidii ya kufanya kazi ili familia yake iweze kuishi vizuri na kula milo 3 kwa siku.
 
Hakuna binti anayeweza akawa bikra asiolewe, jamani waambieni mabinti wajitunze ndio thamani, hakuna mwanaume anayependa kugusa mwili ulioguswa na wanaume mia kidogo, wewe kuwa bikra hata mahari unavyotaka utatolewa tu no matter what.
Kama bikra sio dili basi hakuna haja ya mwanaume kuwa na hela ndio aoe. Yaani life ni trading kukubali ukatae, unapewa matunzo na wewe unatoa mwili safi kabisa kimalaika, watu hawajui effects za bikra, why Gadafi alikuwa analindwa na mabikra ndio walikuwa bodigadi wake
vichocheo vya kimwili vinawawafosi mabinti wengi kushindwa kujizuia na kuhimili vishindo vya hisia za kimwili kutokana na sayansi na technolojia, wanajikuta wanajiingiza kwenye mapenzi mapema kuliko kawaida 🐒
 
Elon musk si mzulu wa hapo kwa madiba gentleman,

kwao ni kijijini mno ndrani ndrani huko Africa Kusini, afadhalli hata wewe mmatumbi wa goba unaenjoy 🐒
Jidanganye mkuu😁😁 Elon umatumbi wake upo wapi?
 
Back
Top Bottom