Uongo wangu ni upi Mkuu, Wazee hatujui kusema uongo ujue π€Wewe mzee ni muongo sana
π€£π€£π€£Na sisi hatuwatak vijana wasiojielewa Babu Tena hasa Hao kataa ndoa na tutaolewa na wanaume walioimarika kiakiliUongo wangu ni upi Mkuu, Wazee hatujui kusema uongo ujue π€
Vipi umechagua Kuoa ama timu Kataa Ndoa?
Oneeni huruma mabinti zetu huku mtaani, wapeni stiri kama vitabu vya Imani zetu zinavyotuongoza
Kumbukeni, Punyeto ni dhambi mjue π
Hili ni la muhimu sana Mjukuuπ€£π€£π€£Na sisi hatuwatak vijana wasiojielewa Babu Tena hasa Hao kataa ndoa na tutaolewa na wanaume walioimarika kiakili
KabisaHili ni la muhimu sana Mjukuu
Wakati wa Mungu ndiyo wakati sahihi
Never hurry
Mkishindwana na hao Vijana, karibuni Kwa Wazee mje kutufariji sasa πKabisa
πππKwani ushapata penshen Yako tayariMkishindwana na hao Vijana, karibuni Kwa Wazee mje kutufariji sasa π
Hakika Mkuu, Ndoa ni baraka sanaSafi sana kwa mwongozo huu. Kuna faida nyingi ya kuwa na ndoa.
1. Mwanaume hupanuka kimawazo na kifikra.
2. Mwanaume humuogezea bidii ya kufanya kazi ili familia yake iweze kuishi vizuri na kula milo 3 kwa siku.
Inatoka Mwezi Ujao Mjukuu, hebu ufanye uje tu π€πππKwani ushapata penshen Yako tayari
Wapo Mkuu, angalia familia ya Mzee Mengi, Ndesamburo, Mzee Rugemarila hata Mo dewjiNdoa na financial literacy havina uhusiano mkuu? Unaweza kulelewa kwenye familia bora sana na ukawa mbumbumbu tu hamna formula, taja weusi wenye elimu ya fedha kwa kuwa tu wana hiyo family background unayosema na sio factor ingine?
Hahahaha, waje tumalizie nao uzeeMkishindwana na hao Vijana, karibuni Kwa Wazee mje kutufariji sasa π
Kabisa Mkuu, Wazee tupo tunawasubiriHahahaha, waje tumalizie nao uzee
Sawa nitakuja BabuπInatoka Mwezi Ujao Mjukuu, hebu ufanye uje tu π€
Hatuna haraka wao wakiwa tayari tu tunawakaribishaKabisa Mkuu, Wazee tupo tunawasubiri
Hawajawa na literacy kwa sababu ya ndoa bora but kwa kuelimishwa na kupelekwa shule kikamilifu. Katika watu wenye ndoa bora na mzee Mengi (RIP) unamuhesabu? Kateseka maisha yake yote akaja kupumzishwa uzeeni wakati pia anachunwa? Nilimsikia kwa sauti yake akisema ninanukuu "ninashukuru sana kumpata huyu binti angalau nakula chakula kilichopikwa nyumbani baada ya makumi ya miaka"Wapo Mkuu, angalia familia ya Mzee Mengi, Ndesamburo, Mzee Rugemarila hata Mo dewji (mhindi)
Huyu gentleman mleta mada ana depression kuliko hao wanawake anaodai kuwa wanazisakanya mimbaMume bora hutoka kwa Bwana, na Watoto ni zawadi kutoka Kwa Mungu
Don't stress up our beautiful ladies out there
Uzi uishie hapa!Nkimaliza kuwasimanga mkumbuke hili: kila mtu alozaliwa kwa wakati tofauti na ndivyo hivyo hata rizq za ndoa, mali na pesa zinavyokuja tofauti.
Pili; target ya kila mzazi pindi anavyolea mtoto wakike hakuna anayetaman mwanaye azaliye nyumbani , kisa kakosa mume huo uduwanzi haupo
MAISHA NI MAGUMU KISORO ACHENI WATU WAPAMBANE WAPATE KILE WANACHOTAMANI.
Binadamu baadhi wana roho mbaya so kwa kuuliza maswali kama hayo wanafarijika ndani ya mioyo yao.Kabisa Cha ajabu wenye watoto na walioolewa ndio wanawapa stress walio Bado Kwa maswali wee km una watoto kwann asitulie alee wanae Huwa najiuliza mtu kutokuwa na mtoto inamuathiri vipi ambae anao watatu
Hahaha............mtoa mada ana stress gani wakati ni Mhe. Mbunge wa Jimbo Moja wapo Tanzania Bara πHuyu gentleman mleta mada ana depression kuliko hao wanawake anaodai kuwa wanazisakanya mimba
Usikariri habari za mtandaoni alizokuwa anaandika yule Mama wawili baada ya kuchukua nywila (password) ya Marehemu Mzee Mengi.Hawajawa na literacy kwa sababu ya ndoa bora but kwa kuelimishwa na kupelekwa shule kikamilifu. Katika watu wenye ndoa bora na mzee Mengi (RIP) unamuhesabu? Kateseka maisha yake yote akaja kupumzishwa uzeeni wakati pia anachunwa? Nilimsikia kwa sauti yake akisema ninanukuu "ninashukuru sana kumpata huyu binti angalau nakula chakula kilichopikwa nyumbani baada ya makumi ya miaka"
Kabisa Mzee mwenzangu, na hivi kiwango cha pension kimepanda washindwe wao tuHatuna haraka wao wakiwa tayari tu tunawakaribisha