Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Your browser is not able to display this video.
 
Hahaha............mtoa mada ana stress gani wakati ni Mhe. Mbunge wa Jimbo Moja wapo Tanzania Bara 😜
🤣🤣🤣 sasa basi aelekeze nguvu zake ktk kutatua kero za maji na gloves 🤣🤣 mambo ya mimba aachane nayo
 
Yani 30-35 unawaita mabinti?hao si ni maajuza kabisa?
 
Kataa ndoa 😂
 
Hapa nakupinga mkuu, site wengine kila shilingi Ina faida kubwa.

niki weka picha ya kopo la shilingi zangu, una weza usi amini🤣😆
 
Hapa nakupinga mkuu, site wengine kila shilingi Ina faida kubwa.

niki weka picha ya kopo la shilingi zangu, una weza usi amini🤣😆
Lakini ni wachache wenye hiyo mentality yako

Wengine hadi ikitokea anaugua inabidi achangiwe hadi hela ya sindano 🙌
 
Inasikitisha sana ila mimi sijui nikoje, yani kila mwanamke nnaelala nae lazima apate mimba.
Ningekua na hela za kutosha ningefungua kashule ka watoto wangu
Sio ukoje....ni mzembe kwani haujui kutumia condom?
 
Kwa huo umri mwili wa mwanamke unakua umeshuka ufanisi katika kushika mimba, vile vile umri huo K inasoma mileage nyingi sana, body count kubwa inakuja na uwezekano mkubwa wa mimba zisitotarajiwa kitu kinachopelekea kufanya abortions mara kwa mara ambazo zinaalibu kizazi
 
Bila shaka mada imekupiga kwenye mshono. Anyway, kama unataka mada za masuala ya uchumi izo zina jukwaa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…