Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Ustawi wa kifedha kijana anaweza kuujenga bila ndoa mkuu ambapo kwenye maisha ya sasa hilo ni jambo kuu zaid.
Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa

Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000

Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia

Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari

Jaribu kupima hayo
 
dah,
kucheka natamani ila naskia huruma sana gentleman,

sawa bana nimekuelewa:whatBlink:
Usimuonee huruma mwanamke ambaye alikitumia vibaya kipindi chake akiwa kwenye peak ya urembo

Mwanamke single mwenye 30+ ni malaya, jiulize ameshatoa mimba ngapi? Usikute P2 alizomeza unaweza kufungua pharmacy ya kuuza P2 na ikajaa sasa hapo kuna kushika mimba kweli?

Amini ameshatumika sana na alipata nafasi akazichezea let them reap what they sow
 
Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.

Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Feminist
 
Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa

Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000

Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia

Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari

Jaribu kupima hayo
Ukiona mtu mpaka awe na ndoa ndio awe na nidhamu jua huyu hana malengo ya maisha yake , wapo ndugu zetu kwenye ndoa tunawasaidia mpaka karo za watoto 🤔
 
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒

naskia huruma sana.

Mungu Ibariki Tanzania
Na hata kupata watoto nayo imekuwa changamoto ujue

Ni rahisi kupata mtoto wa kwanza ila kuendelea na wapili sasa ndio changamoto ilipo
 
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒

naskia huruma sana.

Mungu Ibariki Tanzania
Jaribu kutokuwa na mtoto ndiyo utaelewa vizuri jibu la swali lako
 
Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.

Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Umewahi kujiuliza iwapo watu watasimama Kuzaliana, hizo nguvu kazi za kuendesha huo Uchumi zitatoka wapi?

Tuna hiyo teknolojia ya kutumia robots kuendesha shughuli zetu za kiuchumi?
 
Changamoto za uzazi zilianzia kwa Hana au nadhani Ana pale kwenye kitabu Cha Samweli ni miaka mingi
We umeona wanaohangaika ila amini wapo wengi sana wasiohangaika ni ukigusa imo na maisha yanaendelea
Kwa wanaohangaika sababu zitakuwa zile zile
Lishe na afya ya uzazi isio nzuri
Hujamalizia wafike wapi kwa maombi na sadaka
 
Jaribu kutokuwa na mtoto ndiyo utaelewa vizuri jibu la swali lako
kuna mambo hayahitaji kujaribu gentleman ila ukikosea utaishia kujuta tu,

Kwa Neema na baraka za Mungu binafsi ninao na ninaona huruma sana kwa mahangaiko wanayopitia wale ambao jua linakaribia kuzama huku uwezekano ukiyoyoma.

ni muhimu kujadli hoja hii katika ujumla ili kuepuka kuonekana wazi kumlenga mtu moja pekee 🐒
 
Back
Top Bottom