Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Una wangapi au nawe bado?Pole Yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una wangapi au nawe bado?Pole Yao.
Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye NdoaUstawi wa kifedha kijana anaweza kuujenga bila ndoa mkuu ambapo kwenye maisha ya sasa hilo ni jambo kuu zaid.
dah,
kucheka natamani ila naskia huruma sana gentleman,
sawa bana nimekuelewa![]()
FeministIla watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Bado...Una wangapi au nawe bado?
Ukiona mtu mpaka awe na ndoa ndio awe na nidhamu jua huyu hana malengo ya maisha yake , wapo ndugu zetu kwenye ndoa tunawasaidia mpaka karo za watoto 🤔Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa
Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000
Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia
Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari
Jaribu kupima hayo
Na hata kupata watoto nayo imekuwa changamoto ujueNini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
naskia huruma sana.
Mungu Ibariki Tanzania
Kazana...Bado...
Cha muhimu ni kujibu hoja zao za sababu za movementTuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa
Haipendezi kukuta movement za Vijana wetu wa kiume kukataa Ndoa
Unadhani bila Vijana wa kiume kuwa willingly Kuoa, hao mabinti wataolewa na nani?
Tupige vita movement ya Vijana wa kiume Kukataa Ndoa
Jaribu kutokuwa na mtoto ndiyo utaelewa vizuri jibu la swali lakoNini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
naskia huruma sana.
Mungu Ibariki Tanzania
Umewahi kujiuliza iwapo watu watasimama Kuzaliana, hizo nguvu kazi za kuendesha huo Uchumi zitatoka wapi?Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Hoja zao ni zipi?Cha muhimu ni kujibu hoja zao za sababu za movement
Angalia ni kundi lipi lenye unafuuUkiona mtu mpaka awe na ndoa ndio awe na nidhamu jua huyu hana malengo ya maisha yake , wapo ndugu zetu kwenye ndoa tunawasaidia mpaka karo za watoto 🤔
Tajiri namba moja duniani hana ndoa mkuu , una amini na yeye hajitambui?Angalia ni kundi lipi lenye unafuu
Ni Wanaume wachache wenye familia zao (Ndoa) ambao hawajitambui
Hujamalizia wafike wapi kwa maombi na sadakaChangamoto za uzazi zilianzia kwa Hana au nadhani Ana pale kwenye kitabu Cha Samweli ni miaka mingi
We umeona wanaohangaika ila amini wapo wengi sana wasiohangaika ni ukigusa imo na maisha yanaendelea
Kwa wanaohangaika sababu zitakuwa zile zile
Lishe na afya ya uzazi isio nzuri
kuna mambo hayahitaji kujaribu gentleman ila ukikosea utaishia kujuta tu,Jaribu kutokuwa na mtoto ndiyo utaelewa vizuri jibu la swali lako
Angalia rationaleTajiri namba moja duniani hana ndoa mkuu , una amini na yeye hajitambui?
mkuu kuna wanawake kadhaa nawajua wamezaa wakiwa kwenye 30 za mwisho na 40mwili wa mwanamke unakua mature na active kuzaa kuanzia miaka 16 hadi 25 then unaanza kupungua uwezo