Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

Habari za wakati huu ndugu zangu....

Wazazi wamekua wakijitahidi kulea mabinti zao vyema japo Lipo wimbi kubwa sana la wanawake kubweteka na kua malimbukeni kupita kiasi, hali hii imesababisha kujiona wao ni wao na wanaweza kuishi wenyewe bila kua na mwanaume atakae kua kichwa ..

Mtazamo huu umechangia sana wanawake wengi kukataa wanaume wanaokuja kuwa chumbia kwa lengo la kuwa oa na kuweka ndani kama mke halali, na hili limechangiwa sana na kuiga wanawake wenzao hasa wanao wadanganya ndoa ni chungu, ndoa ni karaha, mwanamke ni jeshi kubwa , mwanamke anaweza , mwanamke ni mpambanaji na nguvu kubwa sana inayotoka kwa masingle maza walio zalishwa na kuachika kutokana na tabia zao mbaya ..

Mabinti wengi sana wameharibika na kuwaharibu wale wenzao wachache walio salia salia na tabia njema, inasikitisha sana kukuta binti wa miaka 15+ anao mtazamo wakuja kuishi mwenyewe bila mwanaume naye anasema hataki kuolewa , tena anafika mbali zaidi ana kuambia nitazaa tuu na nitalea mwenyewe... Hebu jiulize hii elimu au huu mtazamo kaupata wapi kama sio kutoka kwa wanawake wenzake/ mabinti wenzake / hawa hawa masingle maza wanao ongoza kuharibu mabinti kwa kuwaambia kuishi na mwanaume ni utumwa..

Swala hili limesababisha sana wanawake wengi/ mabinti wengi kwa sasa kukataa wanaume pale wanapotongozwa kwa nia ya kuolewa na wengine kufikia mbali kutaka tuu mbegu na ukimpa mbegu hapo anakuona wewe huna thamani tena na sio kitu. Wengine wanakataa wanaume mpaka wanakuja kujutia ukubwani anapopita umri wa kuolewa nakuja kugundua kwamba walidanganyika na hawawezi tena kurudisha siku nyuma kutokana na kupoteza mvuto kwa mwanaume na hivyo kubaki kwa wazazi wao, majumbani au kwenye himaya za koo zao ,ndugu jamaa na marafiki wakiwa magroup kwa magroup huku wakiendelea na kuharibu mabinti wanao chipukia wenye nia na ndoto za kuolewa na kuishi mume na mke.

Hivyo kama unaye binti au unaye mwanamke ambae hajaolewa nayupo katika umri wa kuolewa huyo ni hatari kwa kizazi cha mabinti wa sasa huyo mfukuze nyumbani acha maramoja kumchekea chekea hakika kwa kufanya hivyo ulimwengu utamchapa na hamu ya kuolewa itamjia na atajifunza mengi sana kuhusu maisha ya upweke kwa kweli...mfukuze kabisa nyumbani mwache ulimwengu ukamfunze thamani ya kuwa na mwanaume na kuolewa na ukamshape namna ya yeye kubehave kama mwanamke mbele ya wanaume
Una umri gani wewe. Hebu subiri wa kwako akue halafu umfukuze. Na wa kiume asipooa umri unamwacha utamfanyaje. We bado mtoto kua kwanza
 
Kwa hiyo wanawake kumbe nawo wanatongoza nilikua sijui aisee, kumbe na wao wanatoa mahari kama wanaume haya mambo ya haki sawa
C alikuambia ana hisia na mtu mwingine ? Unaonekana ulikuwa unafosi king mkuu
 
Sawa ana hisia naye Huyo mtu mwingine ana mpango wa kumuoa hivi unaelewa nachoongea

Kulikua na dada yangu kamngangania mwanaume kwa madai ana hisia nae, huku mwanaume hata ampendi kilitokea kamzalisha na kamtelekeza na hatoi hata mia ya matunzo na hii ndo scenerio single mother wengi waliokutana nao

Unatakiwa ufahamu mwanaume ndo anaweza pigania penzi na ndo anayeamua kuoa na hata tarehe ya ndoa ndo anapanga yeye,

Mwanaume anapenda ndo anatongoza, huku mwanamke akisubiria kuja kutongozwa ni vigumu sana mtu unayesubiria kuja kuwa na machaguzi unakua limited sana
 
Sawa ana hisia naye Huyo mtu mwingine ana mpango wa kumuoa hivi unaelewa nachoongea

Kulikua na dada yangu kamngangania mwanaume kwa madai ana hisia nae, huku mwanaume hata ampendi kilitokea kamzalisha na kamtelekeza na hatoi hata mia ya matunzo na hii ndo scenerio single mother waliokutana nao
Mahusiano hayana guarantee ni kama betting tu.
Je mpaka sasa huyo mwamba alimuoa huyo binti aliyekukataa?
 
Mahusiano hayana guarantee ni kama betting tu.
Je mpaka huyo mwamba alimuoa huyo binti aliyekukataa?
Sio betting asili itabaki asili na kamwe huwezi pambana na asili
Mwanamke ndio anapenda lakin muanzilishi mahusiano ni mwanaume kwa sababu kapewa uthubutu wa kutongoza

Ni nadra sana ikatokea mwanamke anakupenda wewe ukampenda ila kiasili wanawake wamepewa uwezo wa kuishi na mwanaume hata kama hampendi in first place sababu wanaweza kupenda kwa kujifunza (love through learning)
 
Sio betting asili itabaki asili na kamwe huwezi pambana na asili
Mwanamke ndio anapenda lakin muanzilishi mahusiano ni mwanaume kwa sababu kapewa uthubutu wa kutongoza
Pamoja na mwanaume kupewa uthubutu wa kutongoza lakini mwanamke nae ana maamuzi akubali au akatae.
Hata mimi nimekula vibuti vya kutosha tu
 
Ni kweli mwanamke ana haki ya kukataa wanaume, ila anatakiwa afahamu ni ngumu sana kupata mwanaume anayemtaka yeye in short ana limited option ni tofauti na mwanaume

Hata ukiwauliza wanawake walio wengi ambao wako kwenye ndoa watakuambia waume zao in first place waliku hata hawawapendi kihivyo ila walikuwa hawana jinsi ikabidi wawakubalie
 
Hizi mentality ndo zimeharibu wanawake wa sasa
Mwanamke anaenda kuolewa ila ana uhakika akiviruga huko atapokelewa mikono miwili nyumbani sio sawa
In short wanaoharibu watoto ni wazazi wenye akili kama hizi

Uko sahihi....

Lakini binti yangu ni binti yangu...

Aolewe asiolewe...

Avuruge ndoa asivuruge....

Aishi atakavyo...

As long as she is happy....

She is my daughter na kamwe thamani yake na upendo wake kwangu hauwezi kuthaminishwa wala kuegemezwa kwenye vigezo myopic na artificial kama ndoa....

Eti aende akateswe huko na vijana hawa pasua kichwa wa sasa hawa halafu aogope kurudi kwangu babake! Kisa? Asipokuja kwangu atakwenda kwa nani? Nilimzaa wa nini sasa? Kwa nini naitwa baba yake?

Jizazi!
 
Uko sahihi....

Lakini binti yangu ni binti yangu...

Aolewe asiolewe...

Avuruge ndoa asivuruge....

Aishi atakavyo...

As long as she is happy....

She is my daughter na kamwe thamani yake na upendo wake kwangu hauwezi kuthaminishwa wala kuegemezwa kwenye vigezo myopic na artificial kama ndoa....

Eti aende akateswe huko na vijana hawa pasua kichwa wa sasa hawa halafu aogope kurudi kwangu babake? Asipokuja kwangu atakwenda kwa nani? Nilimzaa wa nini sasa? Kwa nini naitwa baba yake?
Kama mtoto wa kike ndo unamlelea hivyo sipati picha huyo mtoto wako wa kiume atakua ni dhaifu balaaa itakua mke akimzingua kidogo anakimbilia nyumbani

Ndo maana tunakizazi nyoronyoro sana sababu ya malezi mabovu kama haya kuna siku wewe haupo dunia ataishije, umekua mzee nguvu huna ataishije
Ndo maana sishangai maswala ya ushoga yanarindima sana kwa sababu watoto wanalelewa kinyoronyoro sana
 
Habari za wakati huu ndugu zangu....

Wazazi wamekua wakijitahidi kulea mabinti zao vyema japo Lipo wimbi kubwa sana la wanawake kubweteka na kua malimbukeni kupita kiasi, hali hii imesababisha kujiona wao ni wao na wanaweza kuishi wenyewe bila kua na mwanaume atakae kua kichwa ..

Mtazamo huu umechangia sana wanawake wengi kukataa wanaume wanaokuja kuwa chumbia kwa lengo la kuwa oa na kuweka ndani kama mke halali, na hili limechangiwa sana na kuiga wanawake wenzao hasa wanao wadanganya ndoa ni chungu, ndoa ni karaha, mwanamke ni jeshi kubwa , mwanamke anaweza , mwanamke ni mpambanaji na nguvu kubwa sana inayotoka kwa masingle maza walio zalishwa na kuachika kutokana na tabia zao mbaya ..

Mabinti wengi sana wameharibika na kuwaharibu wale wenzao wachache walio salia salia na tabia njema, inasikitisha sana kukuta binti wa miaka 15+ anao mtazamo wakuja kuishi mwenyewe bila mwanaume naye anasema hataki kuolewa , tena anafika mbali zaidi ana kuambia nitazaa tuu na nitalea mwenyewe... Hebu jiulize hii elimu au huu mtazamo kaupata wapi kama sio kutoka kwa wanawake wenzake/ mabinti wenzake / hawa hawa masingle maza wanao ongoza kuharibu mabinti kwa kuwaambia kuishi na mwanaume ni utumwa..

Swala hili limesababisha sana wanawake wengi/ mabinti wengi kwa sasa kukataa wanaume pale wanapotongozwa kwa nia ya kuolewa na wengine kufikia mbali kutaka tuu mbegu na ukimpa mbegu hapo anakuona wewe huna thamani tena na sio kitu. Wengine wanakataa wanaume mpaka wanakuja kujutia ukubwani anapopita umri wa kuolewa nakuja kugundua kwamba walidanganyika na hawawezi tena kurudisha siku nyuma kutokana na kupoteza mvuto kwa mwanaume na hivyo kubaki kwa wazazi wao, majumbani au kwenye himaya za koo zao ,ndugu jamaa na marafiki wakiwa magroup kwa magroup huku wakiendelea na kuharibu mabinti wanao chipukia wenye nia na ndoto za kuolewa na kuishi mume na mke.

Hivyo kama unaye binti au unaye mwanamke ambae hajaolewa nayupo katika umri wa kuolewa huyo ni hatari kwa kizazi cha mabinti wa sasa huyo mfukuze nyumbani acha maramoja kumchekea chekea hakika kwa kufanya hivyo ulimwengu utamchapa na hamu ya kuolewa itamjia na atajifunza mengi sana kuhusu maisha ya upweke kwa kweli...mfukuze kabisa nyumbani mwache ulimwengu ukamfunze thamani ya kuwa na mwanaume na kuolewa na ukamshape namna ya yeye kubehave kama mwanamke mbele ya wanaume
Mkuu shida sio wao shida ni wazazi wao ndio wamewageuza hao mabinti vitega uchumi mfano mimi mwaka flani hapo nyuma nilienda kumchumbia binti mmoja wa kiislamu cha ajabu binti alikubali na alikuwa haitaji mambo mengi ila wazazi wake ndio walikuwa wanakomaa mahari waliniambia nitoe milioni moja na laki nane ila mimi niliwaambia nina millioni moja tu na nilimuambia binti hali niliyonayo binti akanielewa cha ajabu baba mlezi akawa anakomaa tu mwisho wa siku nilibwaga manyanga chini
 
Katika vitu ambavyo siwezi kuvifanya ni kufukuza mtoto wa kike, mwanangu wa kike ataondoka nyumbani pale atakapoolewa tu ata akifikisha miaka 40 hakuna kuondoka nyumbani.
Akizaa watoto watatu nyumbani kwako utamlea yeye na watoto wake??
 
Tunatatizo sana la hawa vijana ambao wanakua wazazi wanaharibu sana watoto wanawalelea watoto vibaya ndo maana hatuna watu ambao ni wagumu tunakizazi nyoronyoro

Ukiangalia wanyama wanatabia ambazo nazipenda sana mtoto akifikia umri flani anafukuzwa na yeye aende akapambane na maisha yake sio kwamba hawampendi anatakiwa ajitegemee ni lazima sio option
 
Yaani mzazi amfukuze mtoto? Nani sasa atakaye mpokea kama wazazi wamemfukuza, nadhani kumfukuza ndio hatari sana kwa jamii kuliko kubaki nyumbani...
 
Mtoto anamiaka let say 25, wengine mpaka 40 wanakaa nyumbani comfortable na mzazi anaona ni sawa ndo maana kizazi hiki ni dhaifu sana
 
Miaka ijayo wanawake wengi watakuwa hawaolewi kipaumbele kitakuwa kupata watoto na wealthy, wachache wataolewa. Jitahidi umjenge mwanao wa kike katika mazingira ya utafutaji na kujitegemea ili awe na confidence mapema, aanze kuwa asset mapema, awe na uwezo wa kuyamudu mapenzi na ndoa bila kuyumbishwa. Wanaume huwa tunanyooka tukikutana na mwanamke mzuri msomi alafu anajielewa. Lakini hawa wenye makalio na pozi nyingi huchakatwa na kupigwa chini.
 
Ukiangalia wanyama wanatabia ambazo nazipenda sana mtoto akifikia umri flani anafukuzwa na yeye aende akapambane na maisha yake sio kwamba hawampendi anatakiwa ajitegemee ni lazima sio option

Mtoto anamiaka let say 25, wengine mpaka 40 wanakaa nyumbani comfortable na mzazi anaona ni sawa ndo maana kizazi hiki ni dhaifu sana
Ni sawa kabsa kwa wanyama kufanya hivo, ila sisi ni binadamu, tunaishi kwa malengo hapa duniani... mazingira ya kawaida tu kwa vijana wa kike na kiume useme umfukuze tu nyumbani bila maandalizi mazuri nikumwaribia maisha(japo kuna uwezekano wa kutoboa)... chamsingi wazazi wajenge njia ambazo niwezeshi kwa watoto wao ili wapate kujitegemea KUMSOMESHA TU MTOTO HAITOSHI
 
Ndo maana waafrika ni race dhaifu sana sababu ya watu wenye fikra zako na wanawalelea watoto wao kwenye fikra kama zako, ukikaa na wazungu utagundua wanafundishwa ujasiri tokea wakiwa wadogo na wanafundishwa kutokuogopa maisha

Wewe endelea kumlelea mtoto wako kimayai mayai
 
Back
Top Bottom