Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

Ina fuatana na mazingira mfano binti kama hajapata mtu wa kuja kumchumbia hapo ukimfukuza utakuwa kichaa tena kichaa kwelikweli.

Ila binti yangu akiwa na tabia ya kuwakataa wanaume wa maana wanao kuja kumchumbia na kumpa thamani ya kuwa mke, badala yake anaenda kuliwa hovyo na mabodaboda na masharobaro mitaani hata mm kwangu hakai ,na ww mzazi ukimdekeza binti mwenye akili za kipumbavu kama huyo utakuwa una pwaya sana.

Binti una miaka 23 husomi ,huna kazi inayo kupa kikwazo cha kuolewa, sio mgonjwa, wanaume wa kukuchumbia unawapata na bado hutaki kuolewa ww kama si malaya tukuiteje?
Umejuaje km watu wa namna hiyo hajakutana nao?
 
Ni kweli wafukuzwe mi nitawapa hifadhi gheto kwangu kila mmoja anakuja kulala siku moja moja
 
Back
Top Bottom