OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
1. Tulieni nyumbani muwe na Heshima kwa wazazi, Walezi na Wakubwa wenu halafu mzingatie Ushauri wa bure mnaopewa mara kwa mara kutoka kwa waliowatangulia. Acheni na Epukeni ile tabia ya kujazana ujinga wa Rika lenu(Mashosti)e.g. binti anajigamba mbele ya wenzake "aah; Mm siwezi kuolewa na mtu kama yule mbona hana lolote, hajawahi kuninunulia hata ....hanitoi out.....n.k. .badala ya kuona mbali kwamba kwa hii fursa je, tunaweza kuyajenga kwa pamoja? Jiungeni katika vikundi vya Ujasiriamali, Vikoba au tafuteni mikopo halali muanzishe miradi midogo-midogo itakayo wakeep busy. Kama ni mtu wa Imani jiunge katika vikundi vilivyopo huko kwenye imani yako. Muwe na roho ya kupenda kujitoa kusaidia wengine e.g. kufundisha/kulea watoto au kuwatunza Wazee, n.k.. Acheni na Kataeni kwa nguvu zote kule kujiona kwamba kwa kuwa ww ni Ke ndo mtaji au ww ni wa kipekee sana. Acheni kupenda starehe na anasa kupita kiasi e.g. kwenda kulundikana baa/vilabuni au kujipitisha-pitisha maeneo huku mmevaa zile naniliu zenu.1. Tuende wapi sasa?
2. Unataka tukapange?
3. Mtoto wa kike kwenda kupanga ni balaa jingine hilo.
2. Kama una kipato cha kukuwezesha, basi tumia kipato hicho kutoa support(wapige tafu) hapo unapoishi- hawatatamani uondoke.
3. Ni nini haswa kinachowasumbua/kera kiasi hata mdiriki kuwaza kwenda kupanga? au ni ile dhambi ya Adamu na Eva inawatafuna? 😳