Mkuu, kuolewa ni bahati,Binti anaweza akachumbiwa na wengi lkn asiolewe kwa sababu hajaona anayeweza kuishi naye,tunaweza tukawalaumu Binti zetu kuwa wanachagua wanaume lkn tuangalie pia maamuzi yao,bint hawezi kumkataa kijana pasipo sababu,kumbuka yy ndo anayeenda kuishi na huyo mtu,ndio maana akimkataa lazima tukubali maamuzi yake,imagine mtoto wako wa kike umemlazimisha aolewe na mtu ambaye hajampenda kwa sababu tu umemlazimisha,then siku anarudi nyumbani ana alama au amewekewa kilema kabisa utajiskiaje kama mzazi wake?? Mi nafikiri tu tuwaombee mabint zetu wapate wenzao wema,na kama hajataka kuolewa tusiwalazimishe Bali tuwakemee pale watakapoonesha mienendo mibaya kwa wazazi.