Hoja zipo kwa mfano.Kama Mungu alia agiza maandiko ya kidini yaandikwe na wanadamu kwa maagizo yake mwenyewe iweje sasa aridhie uwepo wa maandiko mawili yanayo pingana yenyewe kwa yenyewe (Biblia na Quran zinapingana kwenye hoja)....?????
Kama Mungu alia agiza maandiko ya kidini yaandikwe na wanadamu kwa maagizo yake mwenyewe iweje sasa aridhie uwepo wa maandiko mawili yanayo pingana yenyewe kwa yenyewe (Biblia na Quran zinapingana kwenye hoja)....?????
Hamna mtu aliyemuona Mungu mbona hatokei mbele za watu kujisema mimi MunguLakini Mungu uongea uonekana kupitia wanadamu.
Vimeandikwa kwa mikono ya wanadamu kwa maagizo ya Mungu
Hata akitokeza amtoamini.Hamna mtu aliyemuona Mungu mbona hatokei mbele za watu kujisema mimi Mungu
ulishawahi kujiuliza kwanini miguu yako ikitembea inapishana?
Ukiona hivyo ujue Kuna Kuna shida kati ya mmoja wapo.Kama Mungu alia agiza maandiko ya kidini yaandikwe na wanadamu kwa maagizo yake mwenyewe iweje sasa aridhie uwepo wa maandiko mawili yanayo pingana yenyewe kwa yenyewe (Biblia na Quran zinapingana kwenye hoja)....?????
Huo utofauti uliopo ndo ukamilifu wenyewe.ndo maana ukitembea miguu inapishana mmoja unaenda mbele meingine unauacha nyuma.vipi Kama ingekuwa miguu inaenda sawa ingekuwaje?.Ukiona hivyo ujue Kuna Kuna shida kati ya mmoja wapo.
Miguu inapishana kwa wanadamu wote awe mkristo, muislamu, mpagani wote tuko na hali sawa ya upishano wa miguu. Kwa vile sote ni "Binadamu" kwa hiyo huu si mfano stahiki wa kulinganisha na dini.ulishawahi kujiuliza kwanini miguu yako ikitembea inapishana?
Mungu haelezeki kwa mifano ya kibinadamu maana kila kitu sasa kitakuwa mfano wa "yeye"maana ndio Muumbaji wa kila kitu hata hizo hoja chanzo chake ni yeye na bado haelezeki kwa uthibitisho uliokamilika.Hoja zipo kwa mfano.
Vp Kama miguu ingekuwa inakwenda sawa ungeweza kutembea?ndivyo ilivyo kwenyee dini vipi Kama biblia na Quran vingekuwa ni kitabu kimoja?Miguu inapishana kwa wanadamu wote awe mkristo, muislamu, mpagani wote tuko na hali sawa ya upishano wa miguu. Kwa vile sote ni "Binadamu" kwa hiyo huu si mfano stahiki wa kulinganisha na dini.
Na tuumbe kwa mfano wetu.Mungu haelezeki kwa mifano ya kibinadamu maana kila kitu sasa kitakuwa mfano wa "yeye"maana ndio Muumbaji wa kila kitu hata hizo hoja chanzo chake ni yeye na bado haelezeki kwa uthibitisho uliokamilika.
Hapa panatakiwa kuwa na religion tolerance basi..kimtaa ukitoa dhihaka za mitandao watu sikukuu zote za dini wanasherekea sijui chuki zinatoka wapi?Kwetu waafrika Udini ni utumwa wa kifikra mkubwa sana kiasi kwamba Akili zimesha athirika na Udini... Mfano mtu anapo tukana au anapo taja dini yako kwenye tukio baya anakuwa hana uelewa na ni mjinga anakuwa hajui na haelewi anacho kitetea, halafu ukimjibu kwa kubishana naye..Na wewe unakuwa tena una "Udini" unajaribu kutetea dini yako uliyo nayo kwa vile tu umesikia imetajwa,Mtu anapo taja dini yako kwenye tukio baya ukamjibu unakuwa anatetea kile ulicho aminishwa na viongozi wa dini na jinsi ulivyofundishwa na kuaminishwa kupitia maandiko yako ya kidini(Biblia, Quran) vitabu ambavyo ni maandiko ya kibinadamu yanayo daiwa eti kuandikwa kwa uvuvio wa roho mtakatifu na andiko lingine ati lilishushwa toka juu mbinguni vitu visivyo na uthibitisho kamili.
God cannot exist without Satan.
Unavyosema "God can not exist without Satan" una maanisha kwamba Mungu ali muumba shetani ili washindane? au Mungu ana ukuu na nguvu sawa na shetani? Yupi ni mkuu kuliko mwenzake hapa??????.....Opposite attract, same repel.
Upinzani unanogesha na kuendesha maisha.
Kwanini hamna kampuni moja ya magari?
Kwanini hamna kampuni moja ya nguo?
Kwanini hamna kampuni moja ya viatu?
Uislam haunogi bila kuwepo ukristo, wala ukristo haunogi bila kuwepo uislam.
Someone has to be wrong so that I can feel right.
God cannot exist without Satan, and Satan cannot exist without God.
If Satan becomes non existent then everything about christianity and Islam becomes worthless and meaningless.
As much as we dont want Satan to exist, there's someone that needs Satan's presence in the world the most, and its none other than God.
Satan makes God's presence look meaningful and needed. Just like how CCM makes CHADEMA's presence look meaningful and needed.
We cannot achieve an absolute peace in the world because CHAOS and ORDER is what keeps the world running.
Everytime muslims seem to be at peace with christians, something comes up out of nowhere and destroys the peace, and we go back to hating each other.
Everytime white people seems to be at peace with black people, something comes up out of nowhere and destroys the peace, and we go back to hating each other.
They first destroy the peace, and then bring it back, and then they repeat that cycle again.. CHAOS & ORDER.
Ni kweli mkuu,maana Mungu Hana dini...ila Dini za mwanadamu zinamgawa Mungu aonekane nae ana Udini.Dini ni moja ya kitu cha kijinga na cha kipumbavu kupata kuanzishwa na mtu hapa duniani.
Existence yao inategemeana. One cannot exist without the other.Unavyosema "God can not exist without Satan" una maanisha kwamba Mungu ali muumba shetani ili washindane? au Mungu ana ukuu na nguvu sawa na shetani? Yupi ni mkuu kuliko mwenzake hapa??????.....
Kwa maana hiyo wote wana nguvu sawa na ukuu sawa?? Sasa kama wote ni sawa..kati ya Mungu na shetani Whou created the other? Kama hamna aliye muumba mwenzake wewe binafsi una amini kwa yupi Mungu au shetani? Ukibase upande mmoja wa Mungu au shetani basi tengua kauli yako ya "Existence yao inategemea" ...Existence yao inategemeana. One cannot exist without the other.
Ukichukua betri then ukiangalia mwanzo wake na mwisho wake unaona nini?Kwa maana hiyo wote wana nguvu sawa na ukuu sawa?? Sasa kama wote ni sawa..kati ya Mungu na shetani Whou created the other? Kama hamna aliye muumba mwenzake wewe binafsi una amini kwa yupi Mungu au shetani? Ukibase upande mmoja wa Mungu au shetani basi tengua kauli yako ya "Existence yao inategemea" ...
Umekurupuka nini mkuu? Rudi katika Aya ya kwanza kabisa ya huu Uzi utakuta haya maneno niliyo anza nayo Nilisema napenda nizungumzie..najinukuu hapa:"Hasa dini kuu mbili Uislamu na ukristo maana ndio zenye wafuasi na waamini wengi duniani"..mwisho wa kujinukuu..sio kwamba dini zipo mbili zipo nyingi tu kuna Uhindu, Ubudha,ushinto, Rastafarians, Freemason, na nyingine nyingi nyingi.Umeanza kwa kukosea na fikra finyu kufikiri dini ziko mbili tu.