Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
- #61
Hakuna sehemu mimi nimetumia Biblia na Quran maandiko ya "Udini" mimi sina dini sio mkristo wala muislamu...mimi ni mimi na Mungu ni mkuu wa wote asiye na dini na mwenye Udini pia kama wewe[emoji1]Mimi nimeshaleta uthibitisho/aya "Uislamu ni dini ya haki/kweli, sasa na wewe nakuomba ututhibitishie/aya ndani ya biblia yenu isemayo "Ukristo ni dini ya haki/kweli" !!