Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo

Mfano ukienda ule uzi wa Isa ni Yesu ama sio kuna mambo mengi ya kujifunza toka pande zote. Unaweza kuita ubishi but kama kuna facts zinawekwa watu wanajifunza.

As long as hakuna matusi wala kutishiana, uwe ubishi ama la kama watu wanaweka mambo ambayo wengine wanajifunza naona ni heri.

Hata kama ni pumba na hazimwumizi mto yeyote shida ni nini? Si unaachana na huo uzi unaenda uzi mwingine?

Kimsing sijaona haja ya malalamiko. Mungu hajawazuia. Katiba haijawazuia. Hutaweza kuwazuia! That's the bottom line!
Vitabu vya dini havina fact yoyote zaidi ya kuhamasisha biashara ya utumwa na kuvamia jamii za watu kuchukua watumwa au kufanya mauaji
 
Kama Mungu alia agiza maandiko ya kidini yaandikwe na wanadamu kwa maagizo yake mwenyewe iweje sasa aridhie uwepo wa maandiko mawili yanayo pingana yenyewe kwa yenyewe (Biblia na Quran zinapingana kwenye hoja)....?????
Anzia hapo kutafiti, mbele utakutana na Nuru itakuongoza, Ila kuwa huru usijifunge na upande wowote.
 
Nimeshatafiti na kuhitimisha kwamba maandiko ya Kidini yote "Biblia na Quran" Hakuna lenye usahihi, ukweli na uthibitisho wa kumthibitisha Mungu zaidi ya kila andiko kujiona bora zaidi ya andiko lenzake...na kuleta "Udini" kwa watumiaji wake. Yote ni maandiko ya kufikirika na kusadikika..
 
Leta huo utafiti kuwa Biblia haina usahihi katika claims zake. Nami nitakusaidia kuziona. Ukivaa miwani ya kijani, bluu huonekana njano....!
 
God and Satan are the two sides of the same Coin.One cannot exist without the other.
 
Sasa hapo ndio umeona miujiza ngoja nikueleze. Leo hii tukichukua sperm yako moja tunaweza ibadilisha na mtoto akazaliwa bila miguu. Hivyo vitu vikitokea kakawaida tunasema mutation mtu kuzaliwa bila miguu
Na wewe ulivyotoka na miguu miwili zilichukuliwa sperm ngap?
 
Attachments

  • 306717785_5525862210860732_2885162847610841606_n.jpg
    306717785_5525862210860732_2885162847610841606_n.jpg
    74.5 KB · Views: 5
God and Satan are the two sides of the same Coin.One cannot exist without the other.
Ah! Hata mimi naweza kusema wewe ni mjukuu wa shetani. Kudai hata kichaa anaweza kudai yeye ni Biden.

Prove sasa unachokisema au utakuwa huna tofauti na kichaa huyo!
 
Ni kweli kabisa mkuu..Dini na Imani zetu hazitaki zihojiwe na ukijaribu kufanya hivyo inaonekana unapingana na dini au imani hiyo.. Faith prevents reasonable thinking...hili ni tatizo sana
Faith without reasoning is a superstition.
 
Kivipi mkuu? Maana Dini nyingi zina mafumbo wenyewe wanaita DOGMA..ukitaka kuhoji una ambiwa "You just believe no questions"..Ukihoji eti ni kosa kidini...!!! Basi dini zetu ni uchawi pia[emoji1]
 
Ah! Hata mimi naweza kusema wewe ni mjukuu wa shetani. Kudai hata kichaa anaweza kudai yeye ni Biden.

Prove sasa unachokisema au utakuwa huna tofauti na kichaa huyo!
Nimeshakwambia tangu mwanzo Hakuna uthibitisho wala proves zozote za ki Biblia, au Quran au kisayansi zinaweza kuthibitisha kwa ukamili na uhalisia kwamba "God exist or not"...kila mtu anajaribu kutoa kile anachokijua na kuki elewa tu maana ndicho ulichojifunza..usitake uone kwamba unacho amini wewe ni sawa na ninacho amini mimi.. unachofanya wewe hapa ni kutetea kile unachojua tu ambacho ni "Udini"...Hutaki kukubali hoja za mwingine na kuziona sahihi maana tayari una Udini ndani yako..huna unachojua nje ya maandiko yako zaidi ya kuendelea kuyatetea na kuona mawazo ya wengine ni ya kijinga...
 
Nimeshakwambia tangu mwanzo Hakuna uthibitisho wala proves zozote za ki Biblia, au Quran au kisayansi zinaweza kuthibitisha kwa ukamili na uhalisia kwamba "God exist or not".
Achana na Quran sijakuuliza kuhusu Quran so ni ujinga kuiweka. Nimekuuliza huo utafiti ulioufanya ukapata haya majibu uko wapi? Au unataka kuwa mbishi bila facts?

..kila mtu anajaribu kutoa kile anachokijua na kuki elewa tu maana ndicho ulichojifunza..usitake uone kwamba unacho amini wewe ni sawa na ninacho amini mimi.. unachofanya wewe hapa ni kutetea kile unachojua tu ambacho ni "Udini"...
Hapa issue sio kutoa unachokifahamu ila kilicho halisi na kweli. Kwa hiyo kwa mantiki yako kichaa anayedai ni Einstein Albert tumsikilizi kwa sababu tu ndicho anachoamini? Itakuwa ni ukichaa huu!
Hutaki kukubali hoja za mwingine na kuziona sahihi maana tayari una Udini ndani yako.
Siwezi kukubali kila kitu ambacho unalipuka navho tu eti kwa sababu utanishutumu nina udini. Upuuzi huu! Ukileta hoja uwe na facts za kuzitetea sio kulia lia. Unesema Biblia haija prove popote uwepo wa Mungu ma kwamba haina uvuvio wa Mungu ukimaanisha ni product ya watu. Fine, leta hiyo research basi hauleti bali kelele zisizo na mashiko...

Acha kulia lia leta hiyo research
.huna unachojua nje ya maandiko yako zaidi ya kuendelea kuyatetea na kuona mawazo ya wengine ni ya kijinga...
Mawazo yako ya kijinga kwa sababu hayaambatani na ushahidi wa unachodai. Ukisema wewe ni rais wa Marekani tukidai hati za viapo vilivyosainiwa na CJ Roberts unavileta hapa sio kulialia na kutia huruma. Haisaidii!

Never allege that which you don't have even a fake proof!
 
Achana na Quran sijakuuliza kuhusu Quran so ni ujinga kuiweka. Nimekuuliza huo utafiti ulioufanya ukapata haya majibu uko wapi? Au unataka kuwa mbishi bila facts?

Hapa issue sio kutoa unachokifahamu ila kilicho halisi na kweli. Kwa hiyo kwa mantiki yako kichaa anayedai ni Einstein Albert tumsikilizi kwa sababu tu ndicho anachoamini? Itakuwa ni ukichaa huu!

Siwezi kukubali kila kitu ambacho unalipuka navho tu eti kwa sababu utanishutumu nina udini. Upuuzi huu! Ukileta hoja uwe na facts za kuzitetea sio kulia lia. Unesema Biblia haija prove popote uwepo wa Mungu ma kwamba haina uvuvio wa Mungu ukimaanisha ni product ya watu. Fine, leta hiyo research basi hauleti bali kelele zisizo na mashiko...

Acha kulia lia leta hiyo research

Mawazo yako ya kijinga kwa sababu hayaambatani na ushahidi wa unachodai. Ukisema wewe ni rais wa Marekani tukidai hati za viapo vilivyosainiwa na CJ Roberts unavileta hapa sio kulialia na kutia huruma. Haisaidii!

Never allege that which you don't have even a fake proof!
Mkuu hebu ngoja twende taratibu bila hasira. Nipe kwanza facts na research zako,Nje ya (biblia na Quran)..Zinazo thibitisha na kutoa ushahidi wazi wazi kwamba Biblia na Quran ndivyo vitabu vilivyo na "ukweli na usahihi".. Usitumie Biblia na Quran kama ndio Facts na researchs zako ulizotumia kufanya utafiti huu.. kwamba Mungu anathibitishwa na Biblia na Quran....facts zangu ni kwamba Mungu haelezeki kwa mfano wowote ule..
 
Mkuu hebu ngoja twende taratibu bila hasira. Nipe kwanza facts na research zako,Nje ya (biblia na Quran)..Zinazo thibitisha na kutoa ushahidi wazi wazi kwamba Biblia na Quran ndivyo vitabu vilivyo na "ukweli na usahihi
Mimi nitakupa maana kwa miaka sasa nimekuwa nazitoa JF bila hiyana. Ila uanze wewe uliyesema umefanya research na ukathibitisha somehow kuwa Biblia... narudia Biblia tena narudia ili iingie vizuri akilini mwako Biblia haina Divine Origin na kuwa haithibitishi in any way kuwa Mungu yupo.

Ukionesha hii nitakwenda nawe dot to dot kuonyesha si tu kwamba Mungu yupo na Biblia ni Neno la Mungu bali pia uko na hali mbaya mbele zake ikitokea ukavuta leo hii.

But kwanza leta research husika!
 
Na wewe ulivyotoka na miguu miwili zilichukuliwa sperm ngap?
wewe acha maneno mengi binadamu na sokwe tofauti ni 0.02% ukitaka kushangaa zaidi . mfumo wa ulinzi wa mwili kipindi unazaliwa ni sawasawa na mti au bacteria. utagundua kuwa kumsingizia mungu kuwa alituumba huo ni uongo.
kama mwili upo perfect mbona hatuoni vizuri na yani tuna blind spot viumbe wote wa nchi kavu
 
Sasa hapo ndio umeona miujiza ngoja nikueleze. Leo hii tukichukua sperm yako moja tunaweza ibadilisha na mtoto akazaliwa bila miguu. Hivyo vitu vikitokea kakawaida tunasema mutation mtu kuzaliwa bila miguu
Sasa hapo si unachukua DNA ya Mungu na kuipunguza info za miguu. Wala sio maajabu. Maajabu chukua sperm ya Sokwe halafu toa mtu bila kugusa DNA ya mwanadamu ndio utajua hujui!

Umekariri sana shida na mkiisha karirishwa hakuna Mungu basi ni kujifanya mwajua kila kitu na ma genious.

Unaongelea DNA information ila tunajua information ikiwemo Alphabet haijawahi tokea tu. Hata mtoto wa chekechea ukimwambia ile ABC...Z ilitokea bahati mbaya bila kuwepo ntelligence atakucheka. Ila mnaamini complex alphabet ya uhai yaani DNA ilikuja tu bahati mbaya.

Mi sishangai lakini, Mungu alishawasema mtakuwepo na mtakuwa na upumbavu wa kujitakia...

Romans 1
18 For the wrath of God is revealed from heaven against all ungodliness and unrighteousness of men, who hold the truth in unrighteousness;

19 Because that which may be known of God is manifest in them; for God hath shewed it unto them.

20 For the invisible things of him from the creation of the world are clearly seen, being understood by the things that are made, even his eternal power and Godhead; so that they are without excuse:

21 Because that, when they knew God, they glorified him not as God, neither were thankful; but became vain in their imaginations, and their foolish heart was darkened.

22 Professing themselves to be wise, they became fools,

23 And changed the glory of the uncorruptible God into an image made like to corruptible man, and to birds, and fourfooted beasts, and creeping things.

24 Wherefore God also gave them up to uncleanness through the lusts of their own hearts, to dishonour their own bodies between themselves:

25 Who changed the truth of God into a lie, and worshipped and served the creature more than the Creator, who is blessed for ever. Amen.

26 For this cause God gave them up unto vile affections: for even their women did change the natural use into that which is against nature:

27 And likewise also the men, leaving the natural use of the woman, burned in their lust one toward another; men with men working that which is unseemly, and receiving in themselves that recompence of their error which was meet.

28 And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient;

29 Being filled with all unrighteousness, fornication, wickedness, covetousness, maliciousness; full of envy, murder, debate, deceit, malignity; whisperers,

30 Backbiters, haters of God, despiteful, proud, boasters, inventors of evil things, disobedient to parents,

31 Without understanding, covenantbreakers, without natural affection, implacable, unmerciful:

32 Who knowing the judgment of God, that they which commit such things are worthy of death, not only do the same, but have pleasure in them that do them.
 
mungu hakujua kuwa kuna DNA si angesema kuwa mwili wa kila kiumbe kuna DNA
 
Back
Top Bottom