Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
-
- #61
Hakuna sehemu mimi nimetumia Biblia na Quran maandiko ya "Udini" mimi sina dini sio mkristo wala muislamu...mimi ni mimi na Mungu ni mkuu wa wote asiye na dini na mwenye Udini pia kama wewe[emoji1]Mimi nimeshaleta uthibitisho/aya "Uislamu ni dini ya haki/kweli, sasa na wewe nakuomba ututhibitishie/aya ndani ya biblia yenu isemayo "Ukristo ni dini ya haki/kweli" !!
Umenena mkuu[emoji122][emoji122]..wewe ni mtu mwenye uelewa na usiyetaka kuendeleza Udini...unatumia hoja kujibu..sio wengine wanatumia maandiko yao ya kidini (Biblia na Quran) kuja kutetea Udini wao tena.[emoji122][emoji122][emoji122]..wewe ni great thinker...
Haya mkuu, kulingana na haya maandiko uliyo leta hapa Mungu ndio ame create vyote peace and evil ile kauli yako ya "God can not exist without Satan" ina maana kwamba Mungu kamuumba shetani ili washindane?? Maana naona wewe unaanza tena kutetea upande mmoja wa "Mungu' ndio creator wa vyote..je shetani yeye ni creator wa kipi hapo peace au evil? Au naye kaumbwa na Mungu?.....afu pia wewe inaonesha tena unaanza kutetea dini yako Imani kupitia maandiko yako ya"Biblia"..ambapo tayari una leta Udini...unakuwa huna uthibitisho kamili wa kuthibitisha zaidi ya kutumia maandiko yako..unapotumia "Biblia" kubishana unakaribisha tena Udini wa mtu mwenye Quran aje Aku kosoe.. maana hivi vitabu viwili ndio chanzo cha Ubishi wa kidini usio isha....
Dini ni "Imani na mawazo ya kibinadamu yasiyo na uthibitisho kamili" yanayo amini kuna Nguvu kuu muweza wa vyote iitwayo Mungu.Dini hujaribu kumgawa Mungu katika vipande vya Udini...Dini ni nini?
Sawa "good cannot exist without evil" swali je kipi kilianza Kabla ya mwenzake? Good or evil? Nipe majibu kwa pande zote mbili.kama ni Good kwa nini? Kama ni Evil? Kwa nini?...kama ni vyote Kwa pamoja nani alifanya vi exist katika upamoja huo?God cannot exist without satan = good cannot exist without evil.
Majadiliano gani hayo mkuu unayo maanisha??? Ya kidini, kisiasa, kijamii, kielimu,kiafya,kiburudani.Au yapi hayo?...Uzi huu umejikita kwenye majadiliano ya " ubishi wa kidini" Usivyo na MAFUNZO wala faida yeyote kwa watu.Acha watu watumie uhuru wao wa kikatiba. Majadiliano yasio na matusi wala vitisho yafaa sana kwa watu kujifunza!
Mfano ukienda ule uzi wa Isa ni Yesu ama sio kuna mambo mengi ya kujifunza toka pande zote. Unaweza kuita ubishi but kama kuna facts zinawekwa watu wanajifunza.Majadiliano gani hayo mkuu unayo maanisha??? Ya kidini, kisiasa, kijamii, kielimu,kiafya,kiburudani.Au yapi hayo?...Uzi huu umejikita kwenye majadiliano ya " ubishi wa kidini" Usivyo na MAFUNZO wala faida yeyote kwa watu.
Yeah! Ni kweli mkuu, watu wanajifunza na kila mtu anapaswa abaki kuheshimu dini ya mwenzake na asijaribu kutetea upande wa dini yake zaidi.., Maana atakachokuwa anatetea kinaweza kiwe sawa au kisiwe sawa kwa mwenzake wa dini ya pili.. tukubali kwamba binadamu tumeumbwa tofauti kiimani,kimaoni, kimtazamo..na Dini moja haiwezi kuwa bora zaidi ya nyingine.Mfano ukienda ule uzi wa Isa ni Yesu ama sio kuna mambo mengi ya kujifunza toka pande zote. Unaweza kuita ubishi but kama kuna facts zinawekwa watu wanajifunza.
As long as hakuna matusi wala kutishiana, uwe ubishi ama la kama watu wanaweka mambo ambayo wengine wanajifunza naona ni heri.
Hata kama ni pumba na hazimwumizi mto yeyote shida ni nini? Si unaachana na huo uzi unaenda uzi mwingine?
Kimsing sijaona haja ya malalamiko. Mungu hajawazuia. Katiba haijawazuia. Hutaweza kuwazuia! That's the bottom line!
Kweli mkuu...ni hatari [emoji1][emoji1]Hatari sana...
God and satan are the two sides of the same coin, same as good and evil, two sides of the same coin.Sawa "good cannot exist without evil" swali je kipi kilianza Kabla ya mwenzake? Good or evil? Nipe majibu kwa pande zote mbili.kama ni Good kwa nini? Kama ni Evil? Kwa nini?...kama ni vyote Kwa pamoja nani alifanya vi exist katika upamoja huo?
Mkuu..Sasa hapa una maanisha "Mungu ni shetani, na Shetani ni Mungu"..?? Kama hu maanishi hivi..swali niku ulize, Who is the owner of the Coin?God and satan are the two sides of the same coin, same as good and evil, two sides of the same coin.
Mkuu..Sasa hapa una maanisha "Mungu ni shetani, na Shetani ni Mungu"..??
Mkuu, uko vizuri umenipa Hoja bila kuegemea maandiko ya ki imani..una uelewa mpana sana [emoji3447][emoji3447][emoji119][emoji119]Correct
Pamoja chief.Mkuu, uko vizuri umenipa Hoja bila kuegemea maandiko ya ki imani..una uelewa mpana sana [emoji3447][emoji3447][emoji119][emoji119]
Sasa hapo ndio umeona miujiza ngoja nikueleze. Leo hii tukichukua sperm yako moja tunaweza ibadilisha na mtoto akazaliwa bila miguu. Hivyo vitu vikitokea kakawaida tunasema mutation mtu kuzaliwa bila miguuUnaona ni Jambo rahisi kwa kuwa umepewa uwezo wa kutembea.unaweza kuniambia walemavu wa miguu walikosea Nini mpaka wamenyimwa uwezo wa kutembea?
Hizo hekaya kawasimulie watotoFanya ili mema umuone siku moja au tenda maovu siku ya mwisho umuone shetani live. Uchaguzi ni wako.
Kupitia kitu gani imekuwa dini ya haki. Huko wafuasi wa Buddha nao wanaamini dini yao ni ya kweli na wana mambo ya peponi na motoni. Wahindu pia wanaamini dini yao ni ya kweli na wanazo pepo na motoni.Mimi nimeshaleta uthibitisho/aya "Uislamu ni dini ya haki/kweli, sasa na wewe nakuomba ututhibitishie/aya ndani ya biblia yenu isemayo "Ukristo ni dini ya haki/kweli" !!