Mabomu ya awamu ya 5 yanaweza kumlipukia Rais Samia

Ni mtazamo wake tuu na hauna ukweli wowote kisayansi zaidi ya porojo . These kind of politicians have been a waste to this country....everyone is working to fill his/ her stomach without considering our future generations.

Kuna muda huwa nawaza kuwa wapinzani watanzania ni Kama hawajui wanataka Nini.
1.Je wanataka kuongoza nchi?
2. Je wanashindania ni chama gani kitakuwa Chama kikuu Cha upinzani?
3.Au wanatafuta mwanya na wao wazishambulie rasilimali za nchi Kama wenzao wanavyofanya?
4. Au labda wanataka kulipiza kisasi kwa ccm inavyotumia dola kuwaminya?
 
Miaka mitano ya Jpm ilijikita kweny uongo mwanzo mwisho
Yaani ni miaka ambayo watu tuligeuzwa ndondocha huku wengine wakifurahia kuwa ndondocha manake unapowadhihirishia yaliyo dhahiri, kwa uzwazwa wanaamua kuendelea kukumbatia uongo!!
 
Mataga bwana hamjambo kwa pointless
 
Mpaka leo hujui upinzani unataka nini? we utakuwa mjinga wa kutupwa nchi nzima.
 
Yaani ni miaka ambayo watu tuligeuzwa ndondocha huku wengine wakifurahia kuwa ndondocha manake unapowadhihirishia yaliyo dhahiri, kwa uzwazwa wanaamua kuendelea kukumbatia uongo!!
Sumu ya yule jamaa haitotoka kiurahisi Mkuu.

Wanavyomchukia Samia nia ajabu. Ila ajabu kubwa haohao walikuwa tayari kufanya uhaini wa kumsimika rais waliyemtaka wao bila uwoga baada ya Taa kuzimika....taaa! Na hili wangelipongeza hawa walevi wa Pombe.

Hawa watu ni wahaini. Ndiyo maana hawana akili, akili yao ni uhaini tu.
 
Pole sana...

Bila shaka nawe ni Victim mwingine wa uongo wa awamu iliyopita, au uliamua tu kusikiliza kila unachoambiwa:-
Mkuu, salaamu.

Maswali
1. Kauli ya gesi siyo yetu ilitolewa lini kwa mara ya kwanza?
2. Marekebisho ya sheria za madini na rasilimali nyingine nchini yalikamilika lini?
3. Uendelezaji wa kuchakata gesi kuwa liquid ulirejea lini?

Karibu kwa majibu.
 
Ingia barabarani wewe si mnampinga Hanganya mkiwa uvunguni
Hahaha...mkuu yaishe Basi sisi sote ni wahanga wa siasa mbovu za nchi hii.....sio ccm Wala upinzani wote ni walewale. Usije kunikaba bure ndotoni.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™
 
Hahaha...mkuu yaishe Basi sisi sote ni wahanga wa siasa mbovu za nchi hii.....sio ccm Wala upinzani wote ni walewale. Usije kunikaba bure ndotoni.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™
Nyie ccm mna neemeka
 
Hapana mkuu wakubwa ndio wananeemeka sie makapuku siku ya nne hatuna maji.
Mnatuchora tu hapa. Hulo Masako unakoishi kuna tatizo la maji? Kila nyumba ina Simu tank la litre laki moja. Hata yakikatika mwaka
 
Gesi sio yetu ni ya nani?
 
Wee na wee unatetea ujinga ..kikwete rafiki yake na zito aliongeza kiasi gani cha umeme
 
Yule jamaa aliwaunga Wanavijiji kwenye REA wakati anajua fika vyanzo vya kufua Umeme ni vya kuungaunga.
Ila JPM bhana, aliongea na Mungu kuwa pindi awapo madarakani mito ijae maji sio?
Kwann maji saiv ndo yapungue, mara service ndo muda wake, mara Tanzania hakuna crane ya kubeba tanni 30??
Kwa style hii wanataka kuleja hoja za umeme wa shida so tusitishe SGR..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…