Sumve 2015 mimi niko kijijini Iselamagazi - Shinyanga na wenzangu na smartphone tunazo za kutosha na tunajua yote..
By the way unaelewa hata maana ya "legacy" kweli wewe?
Tuashumu unaelewa. Na naamini unaelewa kuwa mtu aweza kuacha kumbukumbu mbaya au nzuri, au siyo..? Sasa baba yako ametuachia kumbukumbu gani...?
Kwa hiyo ni kweli kabisa, baba yako Maguguli Pombe ameacha kumbukumbu (wewe unaita - legacy) ambayo pengine haitafutika kwenye vichwa vya watu...
You know what?
It's NEGATIVE LEGACY. Ni kumbukumbu mbaya. Ndiyo hii ya mgawo wa umeme...
Ushauri kwako.
Acha Mwendazake aende zake apotee na mabaya yake. Think about the future, think about positivity. Forget about him and his negativity...