Uchaguzi 2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

Kwa jinsi nchi hii ilivyo kubwa,sidhani kama kuna Polisi wa kutosha kudhibiti maelfu ya wapinzani wa nchi hii.

Wacheni tufike wanakotaka kutufikisha labda ndio heshima itafuata.

Bwani fulani Jumapili huyo kanisani anasahau Mungu hadhihakiwi.

Kuna Polisi wengi tuu wa ziada, ambao hawana kazi ya kufanya kutokana na utilivu wa hiari hasa katika mikoa zaidi ya saba katika kipindi hichi cha Uchaguzi, Mikoa yenyewe ni mkoa wa Simiyu, Shinyanga, Geita, Tabora, Katavi, Mwanza, Rukwa, Dodoma, Iringa na Mkoa wa Singida.
 
Chadema mnaponza mpaka wake za watu wanafungiwa ndani ya ofisi badala ya kuhudumia waume zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…