mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Katibu wao alithibitisha hiloAhaaaa ahaaaa nimecheka ile mbaya. Huwa unaleta post ndefu hapa jukwaani na kiingereza cha English course, niliwahi kukuambia kila kitu kina wakati wake. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, sio kwamba ccm haijafanya kitu, bali hiki sio kizazi cha ccm bali ni kizazi tofauti. Namna pekee ya kuifanya ccm iendelee kukaa madarakani sio kuleta maendeleo, bali ni kutumia vyombo vya dola kushurutisha kukaa madarakani.
Ccm naifananisha na mwanamke mzee anayejipamba ili kuvutia wanaume. Kimsingi hawezi kuvutia wanaume, bali itabidi atumie, pesa, ushirikina na mbinu nyingine chafu ili akubalike. Na kimsingi hatukubalika bali ataliwa pesa zake, na bado wanaume watapenda wanawake wenye umri mdogo. Hali ya ccm kupambana na ukweli inazidi kuwa wazi, na kudhibitisha kuwa wakati ni ukuta.
Ova