Ndugu yangu, nimefanya utafiti mdogo na kugundua kuwa Magufuli na ccm wametambua hawashindi Uchaguzi huu hivyo bora hata machafuko yatokee na hali ya hatari itangazwe wabakie madarakani.Kwa jinsi nchi hii ilivyo kubwa,sidhani kama kuna Polisi wa kutosha kudhibiti maelfu ya wapinzani wa nchi hii.
Wacheni tufike wanakotaka kutufikisha labda ndio heshima itafuata.
Bwani fulani Jumapili huyo kanisani anasahau Mungu hadhihakiwi.
Acha ubwege wewe Yaani Nchi nzima CCM wanafanya hujuma wewe unataka upate taarifa za pande mbili? Acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoniSababu ya madaraka ndio maana unaombea nchi yako mabaya? Ndio ulafi wa wapi huo??
Madai ya mtu wako au mapenzi wako , haimaanishi kama ni kweli, hivyo vita subiri tusikie taarifa za pande zote.
Au as mtu wa Kati
Mwingulu ni kunguru sanaMwigullu anaogopa mama tumbili?
Swala la kua na utambulisho bandia ni swala lililowekwa na Jamii forum wenyewe sasa usidhani watu wanaogopa kuweka majina yao.au unadhani uko kwenye mitandao mingine ni wote wanamajina bandia?,au unadhani uko kwenye hiyo mitandao watu hawajadili kuhusu ubabaishaji unaoendelea.Na sidhani kama kua na utambulisho bandia ni sababu ya mtu kutotambulika endapo atakua kaharibu,swala hapa ni wenye wajibu wakutoa haki nakuilinda amani wafanye wajibu wao kwaweledi.Umejificha kwenye fake id alafu unalialia ukombozi. Kama kweli ww sio muoga weka jina lako sahihi kwenye id
Hahahaaaa....... anaogopa " mdada"!Mwingulu ni kunguru sana
Labda maelfu ya wapinzani kwenye mitandao..ila kitaa weupe kabisa mgambo tu wanatoshaKwa jinsi nchi hii ilivyo kubwa,sidhani kama kuna Polisi wa kutosha kudhibiti maelfu ya wapinzani wa nchi hii.
Wacheni tufike wanakotaka kutufikisha labda ndio heshima itafuata.
Bwani fulani Jumapili huyo kanisani anasahau Mungu hadhihakiwi.
Aibu sana kwa Mwanaume kumuogopa mwanamke, kama kuna mwenye namba yake huyo dada na yeye mwambieni aweke pingamizi kwa mwingulu Nchemba kuwa hilo jina siyo lake mmiliki wa jina yupo shinyanga.Hahahaaaa....... anaogopa " mdada"!
Mwingulu Nchemba jina siyo lake anatumia vyeti vya kununua toka Huko shinyangaNdugu yangu, nimefanya utafiti mdogo na kugundua kuwa Magufuli na ccm wametambua hawashindi Uchaguzi huu hivyo bora hata machafuko yatokee na hali ya hatari itangazwe wabakie madarakani.
Na hii inatokana na Lissu alivyo wabana bila woga katika kila kona huku akiapa kuwa hata kubali ujinga wowote.
Evidence! https://t.co/psD6wF9nHo
Chato na chamwino wamegoma kukemea udhalimu unaoendelea Nchini kote sasa?Na wabelgiji wanasemaje mkuu!
MAGUFULI4LIFE.
Wao wanaamini katika mabomu na nguvu za dola!!! Wanaamini katika maguvu na udhalimu kuwa ndio suluhisho na kukubalika.Mabom hayajawahi kuwa suluhu ya aman, bali haki ndio nguzo kuu ya Iman, ccm wanaotetea amani hawatetei haki, sisi tunaotetea haki tunambiwa tunafanya uchochezi wa kuvuruga amani, msingi au ngozo ya amani ni haki nasivinginevyo.