Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Ndugu yangu, nimefanya utafiti mdogo na kugundua kuwa Magufuli na ccm wametambua hawashindi Uchaguzi huu hivyo bora hata machafuko yatokee na hali ya hatari itangazwe wabakie madarakani.Kwa jinsi nchi hii ilivyo kubwa,sidhani kama kuna Polisi wa kutosha kudhibiti maelfu ya wapinzani wa nchi hii.
Wacheni tufike wanakotaka kutufikisha labda ndio heshima itafuata.
Bwani fulani Jumapili huyo kanisani anasahau Mungu hadhihakiwi.
Na hii inatokana na Lissu alivyo wabana bila woga katika kila kona huku akiapa kuwa hata kubali ujinga wowote.
Evidence! https://t.co/psD6wF9nHo