Uchaguzi 2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

Uchaguzi 2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

Mapolisi ya Tanzania yamebebelea makamasi kichwani yanafikri yana ubongo! Pumbavu kabisa ,
Na yalivyo na maisha magumu sasa!
nadhani ndio polisi wenye mshahara duni kuliko nchi yoyote africa
 
Mumewe yuko bize kuimba mapambio wacha wamsaidie
Anankosa gani mwanamke mwenzio huyo?
Kwako Nini afanyiwe ukatili huo.
Naumia Sana,najiuliza vp angekua Dada yangu,mama yangu, mdogo wangu,shangazi yangu,mke wangu ndugu yangu,jirani yangu.
Aaah inauma Sana,
Naomba wasimguse Wala wasimdhuru.
 
Wafanye tu itavyowapendeza, ukiingia kwenye siasa ukubaliane na yote
Anankosa gani mwanamke mwenzio huyo?
Kwako Nini afanyiwe ukatili huo.
Naumia Sana,najiuliza vp angekua Dada yangu,mama yangu, mdogo wangu,shangazi yangu,mke wangu ndugu yangu,jirani yangu.
Aaah inauma Sana,
Naomba wasimguse Wala wasimdhuru.
 
Mabom hayajawahi kuwa suluhu ya aman, bali haki ndio nguzo kuu ya Iman, ccm wanaotetea amani hawatetei haki, sisi tunaotetea haki tunambiwa tunafanya uchochezi wa kuvuruga amani, msingi au ngozo ya amani ni haki nasivinginevyo.

Ccm wamechoka kushindana, wamefanya siasa peke yao miaka mitano lakini bado watu wana imani na upinzani, wameona isiwe tabu bora wavuruge mechi.
 
Kuna Polisi wengi tuu wa ziada, ambao hawana kazi ya kufanya kutokana na utilivu wa hiari hasa katika mikoa zaidi ya saba katika kipindi hichi cha Uchaguzi, Mikoa yenyewe ni mkoa wa Simiyu, Shinyanga, Geita, Tabora, Katavi, Mwanza, Rukwa, Dodoma, Iringa na Mkoa wa Singida.

Ahaaaa ahaaaa nimecheka ile mbaya. Huwa unaleta post ndefu hapa jukwaani na kiingereza cha English course, niliwahi kukuambia kila kitu kina wakati wake. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, sio kwamba ccm haijafanya kitu, bali hiki sio kizazi cha ccm bali ni kizazi tofauti. Namna pekee ya kuifanya ccm iendelee kukaa madarakani sio kuleta maendeleo, bali ni kutumia vyombo vya dola kushurutisha kukaa madarakani.

Ccm naifananisha na mwanamke mzee anayejipamba ili kuvutia wanaume. Kimsingi hawezi kuvutia wanaume, bali itabidi atumie, pesa, ushirikina na mbinu nyingine chafu ili akubalike. Na kimsingi hatukubalika bali ataliwa pesa zake, na bado wanaume watapenda wanawake wenye umri mdogo. Hali ya ccm kupambana na ukweli inazidi kuwa wazi, na kudhibitisha kuwa wakati ni ukuta.
 
Endeleeni tu kuelewana, mi naingia kulala na mchepuko wangu. Asubuhi tutawaletea chai hospitali kama si kituo cha polisi. Kazi njema
Duh! Kiongozi ccm nchi imeshawashinda wamebaki kulazimisha, hali inayopelekea amani ya nchi kuvurugika kwa kasi ya ajabu. Halafu wewe bado unawaza ngono?
 
Chadema uzeni sera jamani na sio vurugu.

Au vurugu ndio sera yenu.
Vurugu zinaletwa na Tume sio Chadema kuwa muelewa,,,WANAKATWA BILA ISSUE ZA MSINGI,,,UNATAKA WAKUBALI HUJUMA KAMA KONDOO MKUU KAMA WEWE NI MWOGA WAOMBE TUME WATENDE HAKI NDO SULUHISHO WANAVYO IFANYIA CCM WAIFANYIE NA CHADEMA HIVYO HIVYO,,,VINGINEVYO AWAMU HII KINANUKA NA HUTA AMINI UVUMILIVU SASA BASII
 
Vurugu zinaletwa na Tume sio Chadema kuwa muelewa,,,WANAKATWA BILA ISSUE ZA MSINGI,,,UNATAKA WAKUBALI HUJUMA KAMA KONDOO MKUU KAMA WEWE NI MWOGA WAOMBE TUME WATENDE HAKI NDO SULUHISHO WANAVYO IFANYIA CCM WAIFANYIE NA CHADEMA HIVYO HIVYO,,,VINGINEVYO AWAMU HII KINANUKA NA HUTA AMINI UVUMILIVU SASA BASII
Duuuh
 
Back
Top Bottom