Uchaguzi 2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

Chato na chamwino wamegoma kukemea udhalimu unaoendelea Nchini kote sasa?
Wanajitahidi sana kukemea sema kuna kigenge cha wahuni hakifuati taratibu na sheria halafu kinandoto ya kupewa kuongoza nchi.

MAGUFULI4LIFE.
 
Mabomu yanatumika kutuliza vurugu ili wahusika waweze kuendelea na taratibu zao. Mpaka mabomu yanarindima ni kwamba sio watu wawili wanalumbana bali makundi ya watu. Waacheni Police wafanye kazi zao
 
Ahaaaa ahaaaa nimecheka ile mbaya. Huwa unaleta post ndefu hapa jukwaani na kiingereza cha English course, niliwahi kukuambia kila kitu kina wakati wake. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, sio kwamba ccm haijafanya kitu, bali hiki sio kizazi cha ccm bali ni kizazi tofauti. Namna pekee ya kuifanya ccm iendelee kukaa madarakani sio kuleta maendeleo, bali ni kutumia vyombo vya dola kushurutisha kukaa madarakani.

Ccm naifananisha na mwanamke mzee anayejipamba ili kuvutia wanaume. Kimsingi hawezi kuvutia wanaume, bali itabidi atumie, pesa, ushirikina na mbinu nyingine chafu ili akubalike. Na kimsingi hatukubalika bali ataliwa pesa zake, na bado wanaume watapenda wanawake wenye umri mdogo. Hali ya ccm kupambana na ukweli inazidi kuwa wazi, na kudhibitisha kuwa wakati ni ukuta.

Mmekwisha nyinyi mmebakia domo la kelele. Tarehe 29th October, utaanza kutafuta maneno ya kutunga kama walivyo malaya. Hii kelele imefika mwesho na utapata taabu hata nguvu ya kuandika.

Na mtapigwa kipigo takatifu Cha Mtoto akome, Ni hata itokee mmepata wabunge 10 tuu, kichwa changu atakikuta kariimjee kinaning'inia.

Chama cha Mbowe, Chadomo.
 
Jumla ya wapiga kura 29m,
jumla ya wanachama CCM 15m+, hii ni zaidi ya 50% ya wapiga kura wote
jumla ya wanachama wa chadema 2m,
jumla ya wajumbe wa serikali za mitaa 97%+ (ikumbukwe hawa ndio wenye watu na majirani wema)

Gerald .M Magembe hawa upinzani kuendelea kuwaaminisha waliowatuma eti wataibiwa kura ni utapeli na kuishinda CCM ni ndoto.
 
Sio kwa kura boss, ndio maana unaishia kuandika utoto hapa.
 
🐰🐰 A Rabbit entered a shop and asked: "Do you have carrots?". They said, "no we don't have." The following day the rabbit came to the shop and asked again, "Do you have carrots?" They replied angrily, " We said we don't have carrots, if you come back again asking, we gonna screw a nail in your head with a hammer!" The third day the rabbit came yet again and asked, "Do you have a hammer? They replied, "NO." He said, "What about nails?" They said, "NO." Then he calmly asked, "Do you have carrots?" 🤣😅
Don't let the devil Lissu scare you, Lissu doesn't have anything. Just CCM Magufuli pursues your dreams. 🐰
 
Boss huwa nikiona unaandika kwa kingereza huwa ninacheka sana. Halafu inaonekana ww ni limbukeni fulani uliyekuja mjini ukubwani, hivyo unadhani ukiongea kiingereza kutaongeza thamani ya hoja zako. Lakini ukipitia unachoondika, ni utoto mtupu.
 
Jumla ya wapiga kura 29m,
jumla ya wanachama CCM 15m+, hii ni zaidi ya 50% ya wapiga kura wote
jumla ya wanachama wa chadema 2m,
jumla ya wajumbe wa serikali za mitaa 97%+ (ikumbukwe hawa ndio wenye watu na majirani wema)

Gerald .M Magembe hawa upinzani kuendelea kuwaaminisha waliowatuma eti wataibiwa kura ni utapeli na kuishinda CCM ni ndoto.
Kama huo ni ukweli, Kwanini mtumie mbinu chafu za kupita bila kupingwa, kwa kutumia polisi, tume, wakurugenzi na takukuru?! Kama gemu mna uhakika wa ushindi Kwanini mfanye mbinu chafu?
 
Adui namba moja wa watanzania ni ccm!
Anatujengea chuki na matabaka watanzania,
Tumuondoe huyu adui maana ameshageuza polis kama kikundi chake cha kulinda maslahi yake,
 
Uhuni wa CCM sasaaa basiiiii !!
Hapa ni kubanana mguu kwa mguu!!

Kwanza hayo majina waliyokata yarudi yote ama lah mchakato uanze upya..

Vinginevyo majirani watatuamulia!!
 
Kama huo ni ukweli, Kwanini mtumie mbinu chafu za kupita bila kupingwa, kwa kutumia polisi, tume, wakurugenzi na takukuru?! Kama gemu mna uhakika wa ushindi Kwanini mfanye mbinu chafu?
Hakuna siku CCM wametumia mbinu chafu ni hofu yako tuu
 
Acha ubwege wewe Yaani Nchi nzima CCM wanafanya hujuma wewe unataka upate taarifa za pande mbili? Acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
Unaye sumbuliwa na Bange/Bangi inajulikana, ndio maana hicho kilevi kinakusababisha kufikis
 
Back
Top Bottom